Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,313
Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha, alikuwa ni mwanachama wa CCM kwa muda mrefu hadi mwaka 2015 ambapo alihamia CHADEMA na kugombea urais lakini baadae alirudi tena CCM hadi umauti umemfika.