UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,243
- 11,077
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!
Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!
Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.
Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo
Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-
1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.
2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!
3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!
4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians
5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!
6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!
Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!