Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya!

Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!.

Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi"

Kiranga ni nani?

Huyu ni jamaa ambaye JF expert ambaye haamini uwepo wa Mungu kabisa.

Mimi kama Mkristo ninaye muamini Mungu,huwa sichukizwi wala sikerwi na ambacho anakiamini Kiranga

Watu wengi wanaojiita Wakristo kwa Waisilamu huwa wanafanya maigizo ya kuishi namna ya mafundisho ya dini zao zinavyotaka,watu wengi wamekuwa washupavu wa hizi dini huku wakimuona Kiranga na wenzie wasioamini uwepo wa Mungu kama walio na dhambi kupitiliza kuliko wao.

Hata wewe kabla hujamjua Mungu yawezekana ulikuwa kama Kiranga na ndugu zake,kibaya zaidi umemjua Mungu lakini bado Kiranga ana unafuu kuliko wewe!.

Kwanini?

1. Kuna mwanamke/mwanaume anayemuamini Mungu lakini kwenye biashara zake pale Kariakoo, Tandika, Mbezi, Buguruni bado anatumia Ushirikina akimini itavuta wateja wengi! Huyu mtu utamkuta kila Ijumaa, jumapili au Jumamosi anaenda kumuabudu Mungu tena anakuwa wakwanza kutiririsha machozi wakati wa maombi lakini akitoka hapo anaendelea na ushirikina wake lakini huyo Mungu wake anayemfanya alie wakati wa maombi anamuweka mfukoni!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kama atafanya biashara akatumia ushirikina kwasababu aamini uwepo wa Mungu kuliko wewe unayejiita Mkristo na unaendelea kutumia Ushirikina.

2. Endelea kufanya Ngono,Uzinzi na Uasherati sana wakati huo huo unajiita Muisilamu au Mkristo na wakati ukielewa kabisa Mungu amekataa!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kufanya uzinzi na uasherati kwasababu aamini uwepo wa Mungu aliyekataza mambo hayo kuliko wewe unayejifanya kumjua huyo Mungu na bado unaendelea kufanya!.

3. Endeleza Uongo,majungu na Usengenyaji kwa sana huku ukiwa na matumaini ya kuirithi pepo au uzima wa milele kutoka kwenye mbingu ya huyo Mungu wako kuliko

Kiranga akiwa muongo, msengenyaji na mfitinishi hiyo ni haki yake kwasababu haamini uwepo wa Mungu wenu ambaye amaekaza hayo mambo kuliko wewe unayejifanya Msalia mtume wakati ni mnafiki kutwa nzima uongo na kuteta watu.

4. Mkristo au Muisilamu unakuta ni mfiadini kwelikweli lakini ni Mwizi, tapeli na mzurumati(Mzurumaji) mkubwa na hana aibu kabisa na kila siku ya ibada ndo kimbelembele na tumbo lake kwenda kuabudu na akitoka huko aachi tabi hizo.

Kiranga atakuwa na nafuu sana kuwa mwizi, tapeli na mzurumaji kwasababu aamini uwepo wa huyo Mungu aliyezuia mambo hayo kuliko wewe unayejidai unaye Mungu wakati hizo tabia hutaki kuziacha.

Msipobadirika Akianani siwatanii Kiranga huyu huyu mtamkuta peponi(Mbinguni) wakati huo wewe unajidhani unamubudu Mungu moto ukikungoja!.
 
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe,tofauti na hapo utaambulia chuya!

1.Kuna mwanamke/mwanaume anayemuamini Mungu lakini kwenye biashara zake pale Kariakoo,Tandika,Mbezi,Buguruni bado anatumia Ushirikina akimini itavuta wateja wengi!,Huyu mtu utamkuta kila Ijumaa,jumapili au Jumamosi anaenda kumuabudu Mungu tena anakuwa wakwanza kutiririsha machozi wakati wa maombi lakini akitoka hapo anaendelea na ushirikina wake lakini huyo Mungu wake anayemfanya alie wakati wa maombi anamuweka mfukoni!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kama atafanya biashara akatumia ushirikina kwasababu aamini uwepo wa Mungu kuliko wewe unayejiita Mkristo na unaendelea kutumia Ushirikina.

2.Endelea kufanya Ngono,Uzinzi na Uasherati sana wakati huo huo unajiita Muisilamu au Mkristo na wakati ukielewa kabisa Mungu amekataa!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kufanya uzinzi na uasherati kwasababu aamini uwepo wa Mungu aliyekataza mambo hayo kuliko wewe unayejifanya kumjua huyo Mungu na bado unaendelea kufanya!.

3.Endeleza Uongo,majungu na Usengenyaji kwa sana huku ukiwa na matumaini ya kuirithi pepo au uzima wa milele kutoka kwenye mbingu ya huyo Mungu wako kuliko

Kiranga akiwa muongo,msengenyaji na mfitinishi hiyo ni haki yake kwasababu haamini uwepo wa Mungu wenu ambaye amaekaza hayo mambo kuliko wewe unayejifanya Msalia mtume wakati ni mnafiki kutwa nzima uongo na kuteta watu.

4.Mkristo au Muisilamu unakuta ni mfiadini kwelikweli lakini ni Mwizi,tapeli na mzurumati(Mzurumaji) mkubwa na hana aibu kabisa na kila siku ya ibada ndo kimbelembele na tumbo lake kwenda kuabudu na akitoka huko aachi tabi hizo.

Kiranga atakuwa na nafuu sana kuwa mwizi,tapeli na mzurumaji kwasababu aamini uwepo wa huyo Mungu aliyezuia mambo hayo kuliko wewe unayejidai unaye Mungu wakati hizo tabia hutaki kuziacha.

Msipobadirika Akianani siwatanii Kiranga huyu huyu mtamkuta peponi(Mbinguni) wakati huo wewe unajidhani unamubudu Mungu moto ukikungoja!.
Kiranga hawezi kurithi uzima wa milele kwakuwa mrithishaji kwa mujibu wa maandiko matakatifu ni Mungu.

Uzima wa milele utarithishwa au kutorithishwa kwa wanaotambua uwepo wa Mungu.

Kiranga hana cha kurithi kwakuwa haamini uwepo wa Mungu.
 
Uzima wa milele maana yake nini?

Achana na imani zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha uzima wa milele wala usio uzima wa milele.
 
Mbona hata hiyo mbingu haipo! Kiranga
Licha ya kutofautiana katika mijadala ya kidini kwa lengo la kujifunza.

Waumini wengi ni miyeyusho tu.
Mimi nadhani umekuwa utamaduni kukutana na kusomeana hizo riwaya na hadithi.

Mtu anazini anaroga, mwizi, muóñgo ñ,k húyóhuyo yupo kußéma mambo yà Muñgu, hadi uñàjiúlizà Muñgu gàni wanayemuabudu,
tuishi maisha mema, tukiwatendea mema.

tußisahau kúíshi
 
Kiranga huwa hapendi mazoea si ajabu akakupuuza asiseme kitu. Kwanini umtag mara zote hizo si mara moja inatosha.

Kwenye mada, huwa siamini kama dini ndio njia ya kwenda mbinguni. Kabla ya uwepo wa Yesu, Musa, Mtume Muhammad, Nuhu na wengine kulikuwepo watu. Hapa Afrika kabla ya dini kuletwa kulikuwepo watu. Je hao wa mwanzo hawataenda mbinguni?

Alafu kama Mungu aliumba moto wa milele kabla ya mwanadamu, alitegemea nini? Na baadae aliumba mti wa lile tunda kisha akaumba mwanadamu bustani ileile. Na hapo alikwishamtupa shetani duniani wakati kwenye Milky Way Galaxy kuna nyota na sayari chungu nzima. Na bado kuna galaxies nyingine, kaacha mamilioni ya sayari kaja kumtupa shetani duniani. Au kwanini asimuue shetani biashara ikaisha, au kwanini asimchome mapema mpaka shetani ashawishi watu kwanza akachomwe nao.

Unaambiwa Mungu ana upendo kuliko mama yako. Je mama yako anaweza kukuchoma moto hata kidole ukimuibia hela?
Mbona tunaambiwa ukiiba hata kofia ukifa unachomwa moto wa milele. Unakufa na let's say 60yrs unachomwa milele.

Sasa kama moto upo si ni mpango wa Mungu, hamuoni aliandaa mazingira wezeshi.
Yeye si anajua kila kitu, si alijua hawa viumbe naoumba ni dhaifu na wadhambi. Kabla Jumanne Makanyaga unayesoma hapa haujaumbwa Mungu alijua leo utazini na huyo dada uliyenaye hapo. Usipofanya hivyo si unakinzana na uwezo wa Mungu wa kutambua kitu kabla hakijatokea?
Sasa kwanini uchomwe moto kwa kutimiza utambuzi wake.

Maswali ni mengi ila majibu ni mawili tu. Takbir na kule kwingine Fumbo la imani.
 
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya!

Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!.

Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi"

Kiranga ni nani?

Huyu ni jamaa ambaye JF expert ambaye haamini uwepo wa Mungu kabisa.

Mimi kama Mkristo ninaye muamini Mungu,huwa sichukizwi wala sikerwi na ambacho anakiamini Kiranga

Watu wengi wanaojiita Wakristo kwa Waisilamu huwa wanafanya maigizo ya kuishi namna ya mafundisho ya dini zao zinavyotaka,watu wengi wamekuwa washupavu wa hizi dini huku wakimuona Kiranga na wenzie wasioamini uwepo wa Mungu kama walio na dhambi kupitiliza kuliko wao.

Hata wewe kabla hujamjua Mungu yawezekana ulikuwa kama Kiranga na ndugu zake,kibaya zaidi umemjua Mungu lakini bado Kiranga ana unafuu kuliko wewe!.

Kwanini?

1. Kuna mwanamke/mwanaume anayemuamini Mungu lakini kwenye biashara zake pale Kariakoo, Tandika, Mbezi, Buguruni bado anatumia Ushirikina akimini itavuta wateja wengi! Huyu mtu utamkuta kila Ijumaa, jumapili au Jumamosi anaenda kumuabudu Mungu tena anakuwa wakwanza kutiririsha machozi wakati wa maombi lakini akitoka hapo anaendelea na ushirikina wake lakini huyo Mungu wake anayemfanya alie wakati wa maombi anamuweka mfukoni!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kama atafanya biashara akatumia ushirikina kwasababu aamini uwepo wa Mungu kuliko wewe unayejiita Mkristo na unaendelea kutumia Ushirikina.

2. Endelea kufanya Ngono,Uzinzi na Uasherati sana wakati huo huo unajiita Muisilamu au Mkristo na wakati ukielewa kabisa Mungu amekataa!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kufanya uzinzi na uasherati kwasababu aamini uwepo wa Mungu aliyekataza mambo hayo kuliko wewe unayejifanya kumjua huyo Mungu na bado unaendelea kufanya!.

3. Endeleza Uongo,majungu na Usengenyaji kwa sana huku ukiwa na matumaini ya kuirithi pepo au uzima wa milele kutoka kwenye mbingu ya huyo Mungu wako kuliko

Kiranga akiwa muongo, msengenyaji na mfitinishi hiyo ni haki yake kwasababu haamini uwepo wa Mungu wenu ambaye amaekaza hayo mambo kuliko wewe unayejifanya Msalia mtume wakati ni mnafiki kutwa nzima uongo na kuteta watu.

4. Mkristo au Muisilamu unakuta ni mfiadini kwelikweli lakini ni Mwizi, tapeli na mzurumati(Mzurumaji) mkubwa na hana aibu kabisa na kila siku ya ibada ndo kimbelembele na tumbo lake kwenda kuabudu na akitoka huko aachi tabi hizo.

Kiranga atakuwa na nafuu sana kuwa mwizi, tapeli na mzurumaji kwasababu aamini uwepo wa huyo Mungu aliyezuia mambo hayo kuliko wewe unayejidai unaye Mungu wakati hizo tabia hutaki kuziacha.

Msipobadirika Akianani siwatanii Kiranga huyu huyu mtamkuta peponi(Mbinguni) wakati huo wewe unajidhani unamubudu Mungu moto ukikungoja!.
Mkuu,

Umenikumbusha kuna binti mmoja wa Kiislamu alikuwa girlfriend wangu. Sasa ukafika wakati wa mfungo wa Ramadhani, binti kafunga.

Nikawa namuwekea staha nisimuone kwa sababu najua kafunga, sijamuoa, na nikienda kumuona basi lazima tutapata vishawishi vya kufanya yetu yaliyo kinyume na kanuni za mfungo wa Ramadhani.

Cha ajabu yule binti yeye Muislamu ndiye alikuwa ananilazimisha tuwe pamoja na tufanye kile kinachoitwa zinaa katika dini yake, katika mfungo mtakatifu wa Ramadhani.

Mimi, ambaye nilikuwa nishamwambia sina dini na wala siamini kuwa Mungu yupo, ndiyo nikawa nina maswali mengi sana kuhusu hapa itakuwaje kufanya mambo yetu wakati wewe umefunga?

Yeye akawa sio tu hana hiyana wala pingamizi, ikawa kama analazimisha, ikawa kama anaumiss mkungunyama kichizi na nikimpa likizo ya mwezi mtukufu ataumia sana.

Sasa nikajiuliza, hapa nani Muislamu, nani atheist?

Mbona huyu binti Muislamu ndiye anafanya mambo kama atheist kwa kuunajisi mfungo kwa zinaa, na mimi atheist ndiye ninataka kufanya mambo kama Muislamu na kuheshimu mfungo?

Saad30
 
Itakuwa alikuwa anaitwa Hamida
 
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya!

Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!.

Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi"

Kiranga ni nani?

Huyu ni jamaa ambaye JF expert ambaye haamini uwepo wa Mungu kabisa.

Mimi kama Mkristo ninaye muamini Mungu,huwa sichukizwi wala sikerwi na ambacho anakiamini Kiranga

Watu wengi wanaojiita Wakristo kwa Waisilamu huwa wanafanya maigizo ya kuishi namna ya mafundisho ya dini zao zinavyotaka,watu wengi wamekuwa washupavu wa hizi dini huku wakimuona Kiranga na wenzie wasioamini uwepo wa Mungu kama walio na dhambi kupitiliza kuliko wao.

Hata wewe kabla hujamjua Mungu yawezekana ulikuwa kama Kiranga na ndugu zake,kibaya zaidi umemjua Mungu lakini bado Kiranga ana unafuu kuliko wewe!.

Kwanini?

1. Kuna mwanamke/mwanaume anayemuamini Mungu lakini kwenye biashara zake pale Kariakoo, Tandika, Mbezi, Buguruni bado anatumia Ushirikina akimini itavuta wateja wengi! Huyu mtu utamkuta kila Ijumaa, jumapili au Jumamosi anaenda kumuabudu Mungu tena anakuwa wakwanza kutiririsha machozi wakati wa maombi lakini akitoka hapo anaendelea na ushirikina wake lakini huyo Mungu wake anayemfanya alie wakati wa maombi anamuweka mfukoni!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kama atafanya biashara akatumia ushirikina kwasababu aamini uwepo wa Mungu kuliko wewe unayejiita Mkristo na unaendelea kutumia Ushirikina.

2. Endelea kufanya Ngono,Uzinzi na Uasherati sana wakati huo huo unajiita Muisilamu au Mkristo na wakati ukielewa kabisa Mungu amekataa!.

Kiranga atakuwa na unafuu sana kufanya uzinzi na uasherati kwasababu aamini uwepo wa Mungu aliyekataza mambo hayo kuliko wewe unayejifanya kumjua huyo Mungu na bado unaendelea kufanya!.

3. Endeleza Uongo,majungu na Usengenyaji kwa sana huku ukiwa na matumaini ya kuirithi pepo au uzima wa milele kutoka kwenye mbingu ya huyo Mungu wako kuliko

Kiranga akiwa muongo, msengenyaji na mfitinishi hiyo ni haki yake kwasababu haamini uwepo wa Mungu wenu ambaye amaekaza hayo mambo kuliko wewe unayejifanya Msalia mtume wakati ni mnafiki kutwa nzima uongo na kuteta watu.

4. Mkristo au Muisilamu unakuta ni mfiadini kwelikweli lakini ni Mwizi, tapeli na mzurumati(Mzurumaji) mkubwa na hana aibu kabisa na kila siku ya ibada ndo kimbelembele na tumbo lake kwenda kuabudu na akitoka huko aachi tabi hizo.

Kiranga atakuwa na nafuu sana kuwa mwizi, tapeli na mzurumaji kwasababu aamini uwepo wa huyo Mungu aliyezuia mambo hayo kuliko wewe unayejidai unaye Mungu wakati hizo tabia hutaki kuziacha.

Msipobadirika Akianani siwatanii Kiranga huyu huyu mtamkuta peponi(Mbinguni) wakati huo wewe unajidhani unamubudu Mungu moto ukikungoja!.
Watu wanafiki wataurithi vipi ufalme wa mbingu, kiranga ni mtu real sio muigizaji kama hao waabudu dini badala ya matendo.
 
Suala la kuurithi ufalme wa mbinguni (kama ipo) ni gumu kuliko wengi mnavyofikiri. Kwa imani zetu hizi za kuunga unga hakuna mtanzania atakatiza niko pale nimekaa.
 
Back
Top Bottom