Wabongo wengi hawafanikiwi Majuu kwasababu ya Tabia wanazotoka nazo Bongo wanadhani na wazungu wanatabia hizo

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.

Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!

Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!

Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.

Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo

Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-

1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.

2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!

3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!

4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians

5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!

6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!

Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Lazima nikubali sijafika Western Countries but ndoto ya kufika huko lazima nitaitimiza tu hata kama Kiranga ataendelea kuweka kauzibe vipi 😜 (Jokes)

Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.

Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!

Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!

Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.

Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo kama Bi Mkubwa Tukinao a.k.a FaizaFoxy.

Hebu Bi Tukinao FaizaFoxy njoo hapa unipe muongozo

Watanzania wa nje diaspora kwa miaka hii 10-15 tumeenda mbali sana. Tatizo letu tuna utamaduni wa kuonana tupo chini kila siku. Kuna Watanzania wengi wanakazi nzuri, wafanyabiashara na wataalamu sehemu mbali mbali. Tuna mdeical Drs, watu wana nursing homes, biashara za magari, technology consultants na wengine kama mimi consultant kwenye Healthcare tupo wengi tu. Mimi nipo Texas mfano namfahamu tuna Mtanzania ni Director wa Accounting department Toyota, pale Oklahoma tuna VP kwenye kampuni ya payment system, Tuna treasury wa Amazon, Tuna Director wa Technology BP, tuna Nurse practitioners wenye ofisi zao....... . Lakini kuna comminity ambazo bado kuna tabia za kuongeana ongeana kama Washington DC (DMV). Lakini sehemu nyingi Watanzania wanaendelea vizuri sana.

Tatizo la Watanzania wanatulingalinsha na Wanigeria ambao kwa mfano Wanigeria wapo karibu 200,000 hapa Texas wakati Watanzania wapo 2000 hatuwezi kujilinganisha nao. Pili Wanigeria wameanza kuja 1970's na 1980's wakati Watanzania wengi wamekuja kuanzia 1995 na wengi 2000-2010. Lakini nasikia sehemu nyingine Wanzanzibari wanajitemnga tenga sana na hii sio nzuri kwa jumuia zetu.
 
mkuu namimi nilikuwa miongoni mwa watu waliotamani sana maisha ya ughaibuni lakini nilichokutana nacho ni kwamba bila ku-adapt misha ya huku utakuwa hai ila hauishi,kodi,gharama za maisha ,mitindo ya maisha,utegemezi kutoka kwa ndugu na jamaa(kutoka tulikotoka) ni vitu vinavyofanya wabongo wengi na waafrika kiujumla tusitfanikiwe sana .Sijaongelea mindset ya wenyeji wa huku iko kinyume na ya kwetu.KARIBU UJE UJIONEE.
 
Watanzania wa nje diaspora kwa miaka hii 10-15 tumeenda mbali sana. Tatizo letu tuna utamaduni wa kuonana tupo chini kila siku. Kuna Watanzania wengi wanakazi nzuri, wafanyabiashara na wataalamu sehemu mbali mbali. Tuna mdeical Drs, watu wana nursing homes, biashara za magari, technology consultants na wengine kama mimi consultant kwenye Healthcare tupo wengi tu. Mimi nipo Texas mfano namfahamu tuna Mtanzania ni Director wa Accounting department Toyota, pale Oklahoma tuna VP kwenye kampuni ya payment system, Tuna treasury wa Amazon, Tuna Director wa Technology BP, tuna Nurse practitioners wenye ofisi zao....... . Lakini kuna comminity ambazo bado kuna tabia za kuongeana ongeana kama Washington DC (DMV). Lakini sehemu nyingi Watanzania wanaendelea vizuri sana.

Tatizo la Watanzania wanatulingalinsha na Wanigeria ambao kwa mfano Wanigeria wapo karibu 200,000 hapa Texas wakati Watanzania wapo 2000 hatuwezi kujilinganisha nao. Pili Wanigeria wameanza kuja 1970's na 1980's wakati Watanzania wengi wamekuja kuanzia 1995 na wengi 2000-2010. Lakini nasikia sehemu nyingine Wanzanzibari wanajitemnga tenga sana na hii sio nzuri kwa jumuia zetu.

Mkuu mzanzibar siyo Mtanzania,hili likuingie kichwani kuanzia leo!
 
Kuna dogo flani alikuja hapa. Alikuwa na moto sana wa kubeba boksi. Nikamconnect kwasababu mimi nikikurecomend kwa supervisor lazima tunapata kazi.

Dogo akapewa kusafisha duka flani kwenye mall masaa manne. Hakuridhika eti anataka asafishe mall yote peke yake. Nikiwa namuangalia tu.

Nikamtaftia office cleaning sehemu nyingine masaa manne. Kwa siku masaa nane. Dogo akawa disappointed kwa nini haruhusiwi kufanya kazi kila siku. Labour law hairuhusu kwa kazi moja kufanya zaid ya 8 hrs na siyo kila siku.

Baada ya miezi sita dogo hoi. Sasa hivi anakula sosho tu na kuposti miaddidas na nike FB.
 
Mengi uliyoyaandika yanakaribiana na ukweli,

Uvivu na ujanja ujanja pamoja na kuridhika mapema ndio sumu kubwa kwa wabongo wengi,

Naendelea kukomaa na box,mengine ataongezea muosha masufuria Maghayo
Hahaha mkuu. Karibuni nauleta uzi wa kuosha vyombo yani bonge la contract sitasahu kukutag. Kwa ufupi tu nilistop kuosha vyombo kwa muda lakini narudi kwenye game Dishwashing na kitchen assistance.

Nimekua nafanya black job cash in hand. Amini usiamini mwezi wa sita na sana mwaka huu nilifanya masaa 1000 nakulipwa kwa saa 180 ddk kuna mzee mmoja tajiri ana shamba kubwa la miti.

Yani huyo mzee kumaliza kazi tu jioni anakudakishia madaf kama 70k- 80k madafu kwa saa.

Ana kazi nyingiii million of jobs hadi za kuokota matakataka. Ila ni during summer.
 
Kuna dogo flani alikuja hapa. Alikuwa na moto sana wa kubeba boksi. Nikamconnect kwasababu mimi nikikurecomend kwa supervisor lazima tunapata kazi.

Dogo akapewa kusafisha duka flani kwenye mall masaa manne. Hakuridhika eti anataka asafishe mall yote peke yake. Nikiwa namuangalia tu.

Nikamtaftia office cleaning sehemu nyingine masaa manne. Kwa siku masaa nane. Dogo akawa disappointed kwa nini haruhusiwi kufanya kazi kila siku. Labour law hairuhusu kwa kazi moja kufanya zaid ya 8 hrs na siyo kila siku.

Baada ya miezi sita dogo hoi. Sasa hivi nakulaani sosho tu na kuposti miaddidas na nike FB.

Mkuu Maghayo umefanya nimecheka usiku huu kama mwehu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Lazima nikubali sijafika Western Countries but ndoto ya kufika huko lazima nitaitimiza tu hata kama Kiranga ataendelea kuweka kauzibe vipi 😜 (Jokes)

Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.

Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!

Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!

Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.

Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo kama Bi Mkubwa Tukinao a.k.a FaizaFoxy.

Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-

1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.

2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!

3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!

4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians

5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!

6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!

Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!

Hebu Bi Tukinao FaizaFoxy njoo hapa unipe muongozo
UMUGHAKA wa bhaghaka umejua Sana kuuongea ukweli, wabongo wana matatizo makubwa yafuatayo:-
1. Ukosefu wa maadili
2. Laana, mikosi na magundu
3. Ushamba na ulimbukeni
4. Lack of determination
5. Uwongo hadi wanajidanganya wao wenyewe
 
Hahaha mkuu. Karibuni nauleta uzi wa kuosha vyombo yani bonge la contract sitasahu kukutag. Kwa ufupi tu nilistop kuosha vyombo kwa muda lakini narudi kwenye game Dishwashing na kitchen assistance.

Nimekua nafanya black job cash in hand. Amini usiamini mwezi wa sita na sana mwaka huu nilifanya masaa 1000 nakulipwa kwa saa 180 ddk kuna mzee mmoja tajiri ana shamba kubwa la miti.

Yani huyo mzee kumaliza kazi tu jioni anakudakishia madaf kama 70k- 80k madafu kwa saa.

Ana kazi nyingiii million of jobs hadi za kuokota matakataka. Ila ni during summer.

Mkuu Maghayo nikija huko nitakutafuta mkuu maana we jamaa ni mtu poa sana na inaonekana una stori za kuchekesha sana🤣🤣
 
Kingine nawashauri wanaotaka kuja ulaya kubeba angalau wasome hadi siksi A level. Inasidia sana. Unajua kuna utafauti wabeba boksi walioenda shule. Kiingereza siyo eti elimu hapa.

Boksi linachosha inafikia wakati unahitaji alternative.

Kunakipindi cha nyuma nikaenroll na siksi ya hapa ilikuwa shinikizo la X wangu aliyenileta huku wiki za mwanzo kuna mahesabu flani ilibidi tu solve maamae. Kichwa kilikuwa kinaspin around utadhani the earth on its axis. Nikasema this is bullshit nikatemana na shule. X alimind kichiz.

Ila najuta ningevumilia ningekuwa na elimu ya juu ya kujivunia siyo ya kutafuta kazi bali kuelimika.
 
Back
Top Bottom