eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,663
- 13,821
Kwa kweli si Waafrika tu ndiyo wanaoganga njaa Ulaya........ huku nakutana nao wachina....wahindi .....wapakistan..... watu toka south amerika.....west africa ndiyo usiseme (ni wengi mno)........
Lakini kwa mimi, naona kwa wabongo kujilipua ni by choice is not by chance......maana bongo kuna fursa nyingi sana.....kuna mashamba mengi.....ukienda sumbawanga ardhi ipo....ukienda kilomero moro ndiyo usiseme......
Na vijana hajui tu maisha ya ulaya......ni magumu kupindukia.....bora ukae bongo unaweza kufanya kitu cha maana, lakini siyo majuu.....