Wabongo wanahadhirika SA.

Kwa kweli si Waafrika tu ndiyo wanaoganga njaa Ulaya........ huku nakutana nao wachina....wahindi .....wapakistan..... watu toka south amerika.....west africa ndiyo usiseme (ni wengi mno)........

Lakini kwa mimi, naona kwa wabongo kujilipua ni by choice is not by chance......maana bongo kuna fursa nyingi sana.....kuna mashamba mengi.....ukienda sumbawanga ardhi ipo....ukienda kilomero moro ndiyo usiseme......

Na vijana hajui tu maisha ya ulaya......ni magumu kupindukia.....bora ukae bongo unaweza kufanya kitu cha maana, lakini siyo majuu.....
 
Kama ni kuadhirika kimaisha sio SA tu hata ulaya wapo watanzania wanaadhirika kweli kweli. Juzi juzi nilikuwa London,jamaa moja aliingia kwenye Mgahawa, akaangaza angaza macho, alipotuona na kutusikia tukiongea kiswahili wakati tunakula (tulikuwa waTZ 2 na Mkenya moja) akaja kutuomba chakula. Ukweli sikuamini macho na masikio yangu, lakini huo ndio ukweli uliotokea.Baada ya kumdadisi anatoka wapi hapa TZ akatueleza kwamba anatoka DSM sehemu za Ubungo Msewe

kwann wasirudi bongo 2
 
Asante sana,kweli wamenishangazaa sana.yaani nimeshindwa mijitu hii haina akili.tangu lini kuandika/kusema ukweli imekua ni udaku.basi tusisema chochote maana kila kinachoandikwa ni udaku.eti mwingine anauliza kama wale jamaa niliwauliza passport zao ili kudhibitisha kama kweli ni wabongo,ujinga mwiigine nakwambia ni wa kuzaliwa.

Kuna wale very open minded ,but few like that snitch Askari Kanzu and abdullahim
got some serious problem.

To abdulahim
it seems the issue of prostitution touched one of you very sensitive nerve.now that you have mentioned you have siblings in kenya it makes me wonder,you are a tanzanian but you have siblings in kenya,how come?do you have siblings in uganda too? if you do, then you have proof my point.you dont need any stats.

Hata mimi ni mjinga tena sana tu....na asiyekubali ujinga hawezi kuwas mwelevu
na mimi ninachojiuliza ni kwambaq mkuu ametoa mada lakini anatakiwa atuambie
je hayo mazingira aliyoyaona huko ni mara yake ya kwanza? je'alitembelea bandari ya dar es salaam hata mara moja au kule ferry?

Kifupi ni kwamba kule bandarini wapo wakenya,waganda,wamalawi,n.k
na wao wanafikira kama za hao aliowaona SA ila cha kujiuliza je nini kinachowasibu watu hawa wa dunia ya tatu kufanya hayo......ni kukosa fursa bora katika nchi zao
ama kwa kukosa elimu au mazingira yamepelekea hayo.

Na wengi wao kama utawahoji vizuri utaona wana mawazo mazuri kuliko
hata wengi wetu..... ila kwakuwa wapo ughaibuni basi wanakuwa hivyo na kina
chotakiwa ni kujitahidi kuweka fursa nyingi ili kuwapa tija nchini mwao na kutolijua
hili ndiyo maana wengi wanatoa critics juu ya hiyo mada.
 
Ndugu yangu finest, hakuna mtu anatrust waKenya, hata ukienda States leo, uulize kwenye African communities watu gani hawaaminiwi, ni waKenya na wa Nigeria, hata hapa nyumbani sisi wenyewe hatuaminiani.. cha kushangaza ni kuwa bishara zetu zimenawiri sana huko ambako hatuaminiwi, nadhani nyie mnafocus sana na side shows hadi mnapoteza ramani ya target yenyu. Mwanabiashara mkenya ni tofauti sana na mfanyibiashara wa Kibongo, jiulize kwa nini? leo tukianzisha biashara mimi na wewe chances ziko high biashara yangu itanawiri kuliko yako, unless utumie chumaulete.
Sijakataa, ila talking about business my friend yes i run a business and for you info i have employed Kenyans and Tanzanians as well so if you think kwamba chances za wewe kuanzisha biashara yako itanawiri kuliko ya kwangu you are late because i am already there and funny enough of you to think of Chumaulete pole sana dont have an idiotic mind

NOTE: If you want to start a business come to me i will give you some piece of advice
 
Asante sana,kweli wamenishangazaa sana.yaani nimeshindwa mijitu hii haina akili.tangu lini kuandika/kusema ukweli imekua ni udaku.basi tusisema chochote maana kila kinachoandikwa ni udaku.eti mwingine anauliza kama wale jamaa niliwauliza passport zao ili kudhibitisha kama kweli ni wabongo,ujinga mwiigine nakwambia ni wa kuzaliwa.

Kuna wale very open minded ,but few like that snitch Askari Kanzu and abdullahim
got some serious problem.

To abdulahim
it seems the issue of prostitution touched one of you very sensitive nerve.now that you have mentioned you have siblings in kenya it makes me wonder,you are a tanzanian but you have siblings in kenya,how come?do you have siblings in uganda too? if you do, then you have proof my point.you dont need any stats
.

Prostituion imenitouch kwa sababu nimekuuliza data na umeshindwa kuleta? lol..what a douche.

Achana na familia yangu na wala usitake kunijulia undani wangu, kama unatafuta bwana we ni-PM tutarekebisha juu kwa juu.
 
i dont know about that,i was in SA for few days.

tena i came to realize few of you think to go to south africa is one hell of a big deal.come on ,its in africa and its not like you crossing the sea or such
What a joke, you just sound like an Entymologist
 
Mkenya Mkweli, mie ni Mkenya mwenzako.. hapa hawa ndugu zangu wanakuponda kwa kuleta hii mada si kwa kuwa topic yako ni mbaya, sababu inayofanya wakupeleke mbio ni kwa kuwa wewe ni Mkenya na umewakosoa jambo ambalo wanajua ni kweli.

Shida kubwa ya waTanzania hawajazoea kuambiwa ukweli, kwenye hii forum washa ni ban mara nyingi kwa kusema ukweli ambao wengi wao hawataki kuskia. Ukisoma magazeti yao na kuskiza news zao kwenye TV na Radio, kuna ushabiki mwingi na media hizi ni za kusifia serikali na rais, hamna wakukosoa jamii. Ndio maana ni ngumu kupata habari negative kuhusu Tanzania isipokuwa ile imeandikwa na foreigners ama kwenye blog sites kama hizi.

vumilia tu na u ignore ma trolls kama Abdulhalim na wacha1... hao ni clowns humu wako kwa sababu ya comic releif.

And how my ID could be coherent with ur idiotic 'assumptions'? stop involving my name with ur idiocy b4 i put my foot in2 ur a$$
 
Ndugu yangu finest, hakuna mtu anatrust waKenya, hata ukienda States leo, uulize kwenye African communities watu gani hawaaminiwi, ni waKenya na wa Nigeria, hata hapa nyumbani sisi wenyewe hatuaminiani.. cha kushangaza ni kuwa bishara zetu zimenawiri sana huko ambako hatuaminiwi, nadhani nyie mnafocus sana na side shows hadi mnapoteza ramani ya target yenyu. Mwanabiashara mkenya ni tofauti sana na mfanyibiashara wa Kibongo, jiulize kwa nini? leo tukianzisha biashara mimi na wewe chances ziko high biashara yangu itanawiri kuliko yako, unless utumie chumaulete.
Another question is why you Kenyans cant be trusted???
 
MITANZANIA ni idiot kabisa...mleta hoja kasema alioyaona ila kw aumbumbu wenu mnaanza kumshambulia kwa vijembe na bezo za kutaka kukataa ukweli....
nani asiejua ukweli wa maisha ya vijana wa kibongo SA? USA na majuu kwote??

yeye kama kawaona wabongo bandarini ni vema na haki mlitaka aseme kawaona na wagambia au wakenya? ndio maana mnadharaulika....

TATIZO LENU MITANZANIA hamtaki kuambiwa ukweli ujingab wenu ndio maana mpo hapo mlipo na kwa ubishi wenu kujifanya mnajua mtabaki hapo hapo na mnajiburuza wenzenu wanapaa....mmeniudhi

enough said.hakuna nyingine ya kuongeza.

we should learn sometimes to accept
criticism,although that was not my intention to criticize. eti makosa kubwa nimefanya nimeona nakuandika humu.
 
Jamani si kusema kwa ubaya.nisharudi zangu kenya.

kitu chengine umalaya upo kila mahali,hata hapa kenya malaya wengi ni wabongo na waganda. lakini issue hapa ni hao mabaharia kama vile mwingine amesema.hili ni soma tosha tusije takakimbila ugenini kumbe maisha huko ni mabovu.

nilikuwa nadhani unaongea kwa kuwa objective, lakini kwa comment yako hii umejidhihirisha kuwa wewe ni mdwanzi tu.. hivi kweli unaweza sema Kenya kuna malaya wengi Wabongo na Waganda.. acha uongo bwana!!
 
Prostituion imenitouch kwa sababu nimekuuliza data na umeshindwa kuleta? lol..what a douche.

Achana na familia yangu na wala usitake kunijulia undani wangu, kama unatafuta bwana we ni-PM tutarekebisha juu kwa juu.

dude dont be a clown,show me any NGO or government that have collected data of how many prostitute they have in their country.you are really a joke.
 
Kwa kweli si Waafrika tu ndiyo wanaoganga njaa Ulaya........ huku nakutana nao wachina....wahindi .....wapakistan..... watu toka south amerika.....west africa ndiyo usiseme (ni wengi mno)........

Lakini kwa mimi, naona kwa wabongo kujilipua ni by choice is not by chance......maana bongo kuna fursa nyingi sana.....kuna mashamba mengi.....ukienda sumbawanga ardhi ipo....ukienda kilomero moro ndiyo usiseme......

Na vijana hajui tu maisha ya ulaya......ni magumu kupindukia.....bora ukae bongo unaweza kufanya kitu cha maana, lakini siyo majuu.....

Ulichonena kina usahihi.....lakini tujaribu kuangali sana hasa katika kilimo
na hata wakati mwingine hata serikali inajichanganya sana pale ambapo
inasisitiza kilimo kwanza bila kuwaambia wakulima walime nini,na kwanini
walime hicho,wapi walime,kwa kutumia nyenzo zipi,mazao kwa soko lipi,
je kilimo kinachotegemea umwagiliaji au mvua ya asili?

Kijana huyu wa leo anayejua utandawazi analima kwa tija ipi? na je tunaochangia
mada tulishawahi kulima hata kidogo...kifupi kilimo cha mkulima kama wale vijana
aliowakuta SA ni kamali ambapo kama jua litakuwa kali sana basi utatia moto mazao na kusubiri msimu unaofuata..na kama mvua zitakuwa nyingi basi mazao ni kubebwa
na mafuriko au tunajifanya hatujui?

ni nini tija ya falsafa kama haileti matokeo chanya na kama mwanajf unachangia
nini ili kuleta tija kwa watz wenzetu hilo ndiyo kubwa kuliko kuwabeza ndugu zetu.
 
wewe nawe mbwiga sijui? thread ni kuhusu watz wanavyotaabika SA not wakenya hapa
Wewe nawe sijui mdwanzi?? Unapo-quote post yangu uwe unaelewa nilimaanisha nini wakati namuuliza huyo mtu hilo swali
 
dude dont be a clown,show me any NGO or government that have collected data of how many prostitute they have in their country.you are really a joke.

Unaishi pango gani?
Mbona kuna nchi kibao tu kila malaya anarekodiwa na kulipishwa kodi? kumbe naongea na jitu zumbukuku kabisa hapa..sasa kama huko kwenu Kibera hakuna takwimu za malaya, unapata wapi audacity ya kusema malaya wengi huko Kenya ni watz na waganda?..i have been repeating the same argument over and iover lakini una kichwa kigumu kama jiwe, sasa i understand why.
 
Sijakataa, ila talking about business my friend yes i run a business and for you info i have employed Kenyans and Tanzanians as well so if you think kwamba chances za wewe kuanzisha biashara yako itanawiri kuliko ya kwangu you are late because i am already there and funny enough of you to think of Chumaulete pole sana dont have an idiotic mind

NOTE: If you want to start a business come to me i will give you some piece of advice

Mawazo ya kujitapa je, twaelimisha naona jamani watu sasa ni kejeli tu... am done.
 
Unaishi pango gani?
Mbona kuna nchi kibao tu kila malaya anarekodiwa na kulipishwa kodi? kumbe naongea na jitu zumbukuku kabisa hapa..sasa kama huko kwenu Kibera hakuna takwimu za malaya, unapata wapi audacity ya kusema malaya wengi huko Kenya ni watz na waganda?..i have been repeating the same argument over and iover lakini una kichwa kigumu kama jiwe, sasa i understand why.

Kama SOCRATES angefufuka leo angezimia kwa hawa great thinkers tulio
humu jamiif.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom