Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027

............ baada ya mwezi mzima walioomba wapewe nafasi, matokeo yake wakaonekana wakikokota vifaru vyao T9 Tanker, vikiwa vibovu, wakaunda tume na kumfukuza kazi mkuu wa majeshi wao.
fafanua ilikuwa wapi na lini???prove please
 
Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !

You tell me, how many philistians are in Israel? You don't get a picture, If one(1) Israelite = 1027 Palestine. Then there must be a lot of salvages some-where, now tell me where?
 
................ kwakuwa una Simba na Kondoo ambao ndio Waungu wako ? punguzeni kuandika ujinga humu ! kila siku Wapelestina wanakamtwa na kufungwa kwa uonevu na ubeberu, leo nyie mmekalia kubeza. Si ajabu hata makaburu walikuwa na watu wa kuwasapoti, na walihalalisha ubaguzi wao kwa kutumia Biblia !

Are you happy now!!! Young man, you are touching fire. I warned you before, but it seems you just want some of that "juice". Don't you?

If I was you, I will be thinking, why (1) Israelite = 1027 Palestine? Does it means that Israelites are better than Palestine to the point of (1) Israelite = 1027 Palestine.

Open your eyes and see the inconspicuous veracity. I just helped you. Free of charge.
 
Hii sasa ni kufruh, yaani thamani ya Israel 1 ni Palestine 1027? MziziMkavu unaionaje hii namba, does it make sense?

Usishangae bwana hiyo ndiyo thamani ya muIsrael mmoja. Hilo ndilo taifa linalothamini watu wake! Siyo kwetu wanajeshi wanapigana nje pesa inaingizwa kwa acc ya mtu mmoja kwa maslahi ya kundi flani
 
Ni kweli unayo sema lakini kutokana na hao waIsrail ni wachache kuliko hao wapalestina sizani kama hao waIsrail waliopo hapo Israil wanazidi zaidi ya Watu Millioni 7 ukilinganisha na hao Wapalestina na waarabu wote ndio wako wengi ni sawa sawa tu Mwi-Israil mmoja sawa na Wapalestina 1000. Kwa sababu akifa mu Israil mmoja inakuwa kwao hao WaIsrail pigo kubwa wamepata Wapalestina wanazaliana kama kuku anavyotaga mayai.

Bila kusahau kuwa wingi wa jeshi siyo ushindi wa vita, na wingi wa wapumbavu wengi hakuwezi kuzalisha hekima! Badala yake kutaongeza janga la upumbavu. Hujajua tu mheshimiwa kuwa waisrail ni wengi sana duniani ila wanaokaa Israel ndio wachache kulingana na eneo lao. Hata hapa kwetu wapo, marekani,russia,na sehemu zingine wamejazana. Ukitaka kujua litokee tatizo linalimhusu mwisrael ndipo utawaona usijue wametoka wapi
 
Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !

wewe unajua au unaota! Wewe naona masaburi yako kazini kwa saana!
 
Kaazi kweli kweli, mbona unataka kuharibu hii thread? Are you sure you want to deal with me? If I was you, I wouldn't. Mkuu MziziMkavu ni jamaa yangu wa siku nyingi na si dhani kama ni busara kumharibia thread yake, kama ambavyo utakavyo wewe Ali Kombo. Heshma ni kitu ya bure,.

Mwambie huyo, amezoea kukurupuka na kutukana watu. Cjui anatumwa na nani maana inaonekana anayemtuma hamlipi mshahara vizuri
 
lakini waligonga mwamba kwa Hiz-bullah

Thubutu, ile vita kama hukuisoma hawakuwa wanawataka Hizbulla walikuwa wanawataka Iran na Syria waingie vitani. Hata baada ya vita walisema kuwa Hizbulla wako nao siku zote ila walikuwa wanataka wafadhili wao waingie vitani! Kile ni chambo stay tuned! Utaona
 
................ kwakuwa una Simba na Kondoo ambao ndio Waungu wako ? punguzeni kuandika ujinga humu ! kila siku Wapelestina wanakamtwa na kufungwa kwa uonevu na ubeberu, leo nyie mmekalia kubeza. Si ajabu hata makaburu walikuwa na watu wa kuwasapoti, na walihalalisha ubaguzi wao kwa kutumia Biblia !

Majini yako kazini! Hatushangai maana siyo akili yako. Huku dini umeiingizaje tena?
 
Usishangae bwana hiyo ndiyo thamani ya muIsrael mmoja. Hilo ndilo taifa linalothamini watu wake! Siyo kwetu wanajeshi wanapigana nje pesa inaingizwa kwa acc ya mtu mmoja kwa maslahi ya kundi flani

Thanks you have said it correctly.
 
Are you happy now!!! Young man, you are touching fire. I warned you before, but it seems you just want some of that "juice". Don't you?

If I was you, I will be thinking, why (1) Israelite = 1027 Palestine? Does it means that Israelites are better than Palestine to the point of (1) Israelite = 1027 Palestine.

Open your eyes and see the inconspicuous veracity. I just helped you. Free of charge.

You are either deceived or blind...choose one
 
Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !

sasa hapa nani anatumia masaburi kufikiri kati yenu,ni kweli kwa wale ambao ubongo umeganda kama wewe wapalestina wameshinda,sababu wao wametoa mfungwa mmoja kwenye magereza yao (wamebakiwa na wengi) wakati waisrael wametoa wafungwa wengi (wamebakiwa na wachache !) kweli wewe ni great sinker ! mwisrael mmoja wapalestina lundo...!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom