Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027

Mkuu, mimi bado nashangaa Mkuu. Maana tukiwapa hesabu ya UTATU, wanasema haiwezekani. Lakini hii leo wamekuja na kubwa yake ETI Moja (1) = 1027. Aiseeehhhh. Allah must be great.

Mkuu mambo mengine hadi utakaswe akili ndipo utayaelewa! Usiwashangae wahurumie na kuwaombea.. Na pi tutambue tu kuwa miungu wana tufauti na MUNGU tunayemwabudu! halafu majini yakiighilibu akili ya mtu yanamharibia mtazamo kabisa, black anaiona white na white anaiona black. Hata maandishi yanatoka kushoto kuja kulia!. Ilimradi tu mambo vululuvululu!
 
........... Kafiri ni Kafiri tuu ! amejawa na upofu ! Je hujui Wachina na Wakorea wanaandika kutoka juu kwenda chini ? hili halikushangazi ? Kiebrania au kiaramu, unaandika kutoka wapi kwenda wapi ? ukiandikan kutoka kushoto kwenda kulia ni kumpinga Mwenyezi Mungu na ni dalili ya Ukafiri ? Moyo wako uko upande gani ? mguu upi huanza kutangulia kabla ya mwingine ? changamoto ndogo ndogo tu za kukuonyesha jinsi ilivyopotea. Katika hayo maandishi uliyotaja, Je huwezi kusoma na kuhitimu kuwa Daktari ? kama jibu ni ndio, lengo la mawasiliano na elimu halijatimia ?
 
Ukinunua nyanya mbovu GUNIA MOJA KWA T/SHILINGI 200,Je ni sawa na aliyenunua NYANYA NZIMA FUNGU MOJA LENYE NYANYA 5 KWA T/SHILINGI 200?. The later ataweza kwenda kuungia mboga wewe utaenda kuzitupa shimo la taka. Ndivyo wa Israel walivyo -think!.

............... hii ni wewe na sio wao ! Kukamatwa kwa Askari wa Kiisrael mwenye vifaa vya kila aina ni dalili ya kushindwa katika tukio husika ! na
mateka huwa anakombolewa. Walichofanya Wapelestina ni kudai jamaa zao waliofungwa kwa wingi katika magereza ya kizayuni " Deal imechukua miaka mitano (5 !), baada ya idadi kupunguzwa !"
 
Askari wa Israel are well trained angalia hata operation zao walizofanya ulimwenguni kote ni za mafanikio makubwa na kwa upande mwingine waweza sema ni za kiajabu-ajabu mfano vita vya siku sita vya Mashariki ya kati Kati ya Waarabu na Isarael,na 90 minutes at Entebe airport pia wana uwezo wa kuwa-target magaidi popote walipo,kwa maneno mengine Jeshi la israel lina Mkono mrefu wa kuweza kuwafikia mahasimu wake popote walikojificha.
Hii ndiyo inayowafanya wawe na dhamani sana hata katika vita vya 1967 walifuata ratio hiyo kubadirishana wafungwa wa kivita na waarabu.

...hapo hapo usiondoke, mimi nimekuwa nashangaa kama uwezo wa Wa-Israel ndo huo, kwanini walishindikwa kumpata huyo askari huko alikokua amefichwa? Kumbuka kuwa amefichwa na Hamas kwa miaka kama mitano hivi (tangu 2006 kama sikosei)!!
 
.............. hawana muda wa kufikiri hawa, ndio maana wanaamini " Mungu alikula mikate na samaki"
 
Miaka michache ijayo mwili wa askari mmojawa Israel Navigator Rod Alad mabaki yake yalibadirishwa na ma-Mia ya wapalestina hivyo msishangae kubadirishwa M-Israel 1=1027 Wapalestina.
 
Mkuu mambo mengine hadi utakaswe akili ndipo utayaelewa! Usiwashangae wahurumie na kuwaombea.. Na pi tutambue tu kuwa miungu wana tufauti na MUNGU tunayemwabudu! halafu majini yakiighilibu akili ya mtu yanamharibia mtazamo kabisa, black anaiona white na white anaiona black. Hata maandishi yanatoka kushoto kuja kulia!. Ilimradi tu mambo vululuvululu!

​Swadakta mukulu
 
suala sio namba suala ni negotiation...vile vile kuwa na wafungwa wengi ni cost na hatari kwa usalama pia, hivyo kimtazamo tofauti si suala la thamani bali ni suala la gharama za kuwamaintain wafungwa wengi, usalama wa nchi kuwa hatarini kwa kuwa na wafungwa wengi wapinzani n.k....nadhani its a fair deal kwa wote ndio maana wakaafiki.
 
Naona ktk hili Wapelastina na Arab ndiyo wameshinda zaidi. Kwa sababu, kama unakumbuka speech ya Obama kwamba Zion State itakuwa isolate zaidi kama haitoweza kutatua matatizo na jirani zake haswa ktk kipindi hichi cha Arab Spring.

Obama alipotoa hii speech alilaumiwa sana na Wayahudi kwa kuwatosa haswa pale Netanyahu alipoanza kubishana na Obama. Lakini hapa tunaona mshindi mwingine ni Obama; kwa sababu maneno aliyoyasema ni ya kweli.

Zion State imegundua kwamba Arab Spring imeleta chuki zaidi kwao, haswa pale walipoona Egypt walipofanya maandamano ya kupinga mauaji ya Wanajeshi wao, also pia mateso ya Wapelestina. Uhasama mwingine waliuona pale walipoona Turkey inazidi kuwa na siasa kali dhidi ya Israel.

Zion State wamegundua maneno ya Obama; kwamba wameanza kuwa Isolate in Mid East.

Hii yote waliyofanya kuhusu kubadilisha mwanajeshi ni Strategic plan ya kurudisha uhusiano mzuri na jirani zake na Arab States kama vile Egypt, Turkey, nk.

Goal yao si mwanajeshi kurudishwa; bali ni Urafiki na Arab States.

Natanyahu kagundua kwamba sera zake za ubabe zimepitwa na wakati. Kaamua kumsikiliza Obama, ili Zion State isiwe ISOLATE.
 
307818_246394462075837_116443395070945_674735_2103569570_n.jpg
 
Back
Top Bottom