Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027

WaTZ mnafurahisha sana sasa hivi!!
Lakini kutokana na mleta mada yawezekana ikawa na ukweli bali wengi unatuwia vigumu kuukubali kutokana na unavyouma.
Mfano mwingine unaoweza kuhalalisha maelezo haya chukulia: Steve Jobs ni sawasawa na WATANZANIA wngapi!?
sawa na waafric a wote
 
yes thats how trade done btn israelis and arabs
the saga goes on..."the state of palestine"
 
Are you happy now!!! Young man, you are touching fire. I warned you before, but it seems you just want some of that "juice". Don't you?

If I was you, I will be thinking, why (1) Israelite = 1027 Palestine? Does it means that Israelites are better than Palestine to the point of (1) Israelite = 1027 Palestine.

Open your eyes and see the inconspicuous veracity. I just helped you. Free of charge.
............... Tatizo unatumia masaburi na ushabiki kuhukumu mambo yenye mantiki ! hivi Wapalestina wana vifaru vingapi na wazayuni wana vingapi ? Wapalestina wana ndege ngapi na Wazayuni wana ndege ngapi za kivita za kisasa ? Wapalestina wana Nuclear ? Wapelestina wana magereza mangapi ambayo wamewafunga waisrael/wazayuni ? kipi unalinganisha na kipi ?
 
sasa hapa nani anatumia masaburi kufikiri kati yenu,ni kweli kwa wale ambao ubongo umeganda kama wewe wapalestina wameshinda,sababu wao wametoa mfungwa mmoja kwenye magereza yao (wamebakiwa na wengi) wakati waisrael wametoa wafungwa wengi (wamebakiwa na wachache !) kweli wewe ni great sinker ! mwisrael mmoja wapalestina lundo...!!!!!!!!!!!!!!!!
........... Mpalestina ana gereza ambalo amefunga waizrael ? Je, Wazayuni/waisrael wamefunga wapelestina wangapi ? ukilijua hilo ndio utajua logic ya "swap" ya 1:1027 ratio ambayo imewachukua 5years wazayuni kukubali ! now stop thinking with your bumms !
 
None of the above. Help your friend to think. Is it okay to you, for One (1) Israelite to worth 1027 Palestines? Darwin suggests that the break between "man(Israelites) and his nearest allies(Palestines)" will be widened through the extinction of the great apes, Did Charles Darwin believe in racial inequality? - Features, Books - The Independent. Who do you think are apes between Israelites and Palestines?
.............. if that the case, between you and Palestines (the Apes) your (Maxshimba) a Baboon ! in regarding to Esraelites your a Hopeless Monkey !
 
2011-10-18T104052Z_01_JER21_RTRIDSP_3_PALESTINIANS-ISRAEL.jpg
Ndio huyu jamaa mwenyewe mwenye thamani sawa na wapalestina 1027
Kwa wenzetu haka kajamaa kataingiza kipato cha kutosha kwa kulipwa kufanya mahojiano, uandishi wa vitabu na utengenezaji wa films
 
sasa hapa nani anatumia masaburi kufikiri kati yenu,ni kweli kwa wale ambao ubongo umeganda kama wewe wapalestina wameshinda,sababu wao wametoa mfungwa mmoja kwenye magereza yao (wamebakiwa na wengi) wakati waisrael wametoa wafungwa wengi (wamebakiwa na wachache !) kweli wewe ni great sinker ! mwisrael mmoja wapalestina lundo...!!!!!!!!!!!!!!!!

Ukinunua nyanya mbovu GUNIA MOJA KWA T/SHILINGI 200,Je ni sawa na aliyenunua NYANYA NZIMA FUNGU MOJA LENYE NYANYA 5 KWA T/SHILINGI 200?. The later ataweza kwenda kuungia mboga wewe utaenda kuzitupa shimo la taka. Ndivyo wa Israel walivyo -think!.
 
naamini waisrael wakikuomba masaburi utawapa
 
Back
Top Bottom