Hadi sasa hivi Wapalestina wanaendela kufa kwa mamia kwa siku, idadi sasa 27,365

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Yaani Israel imedhamiria, sio mchezo....HAMAS waligusa pabaya.

GAZA, Feb. 4 (Xinhua) -- The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks in the Gaza Strip has risen to 27,365, while 66,630 others were wounded, the Hamas-run Health Ministry said Sunday.

During the past 24 hours, the Israeli army killed 127 Palestinians and wounded 178 others in Gaza, the ministry spokesperson Ashraf Al-Qedra said in a press statement.

According to Palestinian security sources, Israel's air and artillery strikes continued in most parts of the strip, with its aircraft targeting dozens of homes in Khan Younis and a vehicle in Rafah in the south of the enclave.

Eyewitnesses said clashes between the Palestinian armed factions and the Israeli forces continued, especially in Gaza City and areas of northern Gaza.

Since Oct. 7, 2023, Israel has been launching a large-scale military campaign against Hamas in Gaza to retaliate against a surprise Hamas attack on southern Israel, which claimed the lives of about 1,200 Israelis, according to the Israeli authorities.
 
Mkuu wa majeshi wa Israel amedai Hadi kufikia mwezi July watahakikisha wanaua zaidi ya wapalestina 50,000.
Watoto wa Palestine wanakufa Sana na inatia huruma sana
 
Yaani Israel imedhamiria, sio mchezo....HAMAS waligusa pabaya.

GAZA, Feb. 4 (Xinhua) -- The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks in the Gaza Strip has risen to 27,365, while 66,630 others were wounded, the Hamas-run Health Ministry said Sunday.

During the past 24 hours, the Israeli army killed 127 Palestinians and wounded 178 others in Gaza, the ministry spokesperson Ashraf Al-Qedra said in a press statement.

According to Palestinian security sources, Israel's air and artillery strikes continued in most parts of the strip, with its aircraft targeting dozens of homes in Khan Younis and a vehicle in Rafah in the south of the enclave.

Eyewitnesses said clashes between the Palestinian armed factions and the Israeli forces continued, especially in Gaza City and areas of northern Gaza.

Since Oct. 7, 2023, Israel has been launching a large-scale military campaign against Hamas in Gaza to retaliate against a surprise Hamas attack on southern Israel, which claimed the lives of about 1,200 Israelis, according to the Israeli authorities.
Hongera zenu Israel
 
Wanavuna walichokipanda.

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Hamas wanataka kukubali mapigo ila iran amegoma kabisa na kiongozi wao yupo qatar kwenye mahotel ya kifahari amegoma. Israel acha imalize tu haya mazombi ya mudi
Tukimalizwa mkibakie wenyewe dunia itanuka hii
Kwahio suala la kutumaliza musahau ili tuitetee dunia dhidi ya kutaka kwenu kupeaba baraka za papa
Hamas pigeni kazi hakuna uhuru unaokuja bila gharama
 
Kwani na nyie wavaa dera nini kiliwafurahisha October 7?
Israhell inatakiwa isiishi kwa amani yaani kufyekwa inatakiwa iwe ndio sehemu ya maisha yao
Watakua wanapata amani kwa muda mchache halaf kipigo kinaendelea
Hatutaki dunia inuke kwa ujinga ujinga wao mpaka wafutwe yaani
 
Sawa na nyie msitupigie kelele za lawama na kulia lia kutuwekea picha za watoto mkiichokoza Israel mlinywe wenyewe
 
Watu wanabondwabondwa huko km wanyama alafu kuna mijinga humu km rajabu utamu na aliwazi na bikira wao faidhafoxy ndala ndefu wanasema kobazi wameshinda vita.
Hawa watu wakishiba biriani akili zao zinaenda matakoni kabisa.
 
Back
Top Bottom