Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.St.Joseph,Saut,Cuhas na vingine nitaendelea kuwafikishia.Majina yanapatikana kwenye tovuti za vyuo.

Mi bado ----, hayo majina ya Saut yanaonesha Main Campas na ya branches? wadau...
 
c kama n waviv wa kugoogl ila cm zet hzna uwezo
naomba unichek saut s2367/0141/2011
au tupia majina yot mkuuu
 
Habari za usiku vp kwa anaejua mbn wengine hatuwez kulogin tcu...inakuaje hapo wakuu cuz kila mtu anaongelea kuhusu kuchaguliwa lkn wengine hatuoni hata hiyo link yenye majina,,msaada tafadhari
 
D.I.T zamani ila siku hizi hamna kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii imekuja baada ya tcu kuanza kutuma majina ya fresher kwenye website za vyuo husika,mpaka sasa,saut,udsm,makumira na st.francis mambo yapo hadharani,kwako unaetaka kujiangalia kupitia website ya tcu utakesha na pengine hutaambulia chochote kwa website yao iko busy,ushauri ni bora ukapititia kwenye website ya chuo husika,au jamii forum kuangalia kama waungana wametupia attachment
 
umechelewa ndugu...wenzio hayo tunayajua...hamna jipya hapo...labda ujarib tena kuendelea kutafuta vyuo vingine...ila hivo tumeshajua...Ahsante na pole.
 
Back
Top Bottom