Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Majina wa waliochaguliwa tunaanza na
1. St. Augostine University of Tanzania http://www.saut.ac.tz/wp-content/uploads/downloads/2014/09/selectedstudents.pdf

Ushauri wa bureee before huja creat thread nyingine jaribu kusoma threads za wengine coz unakuwa unarudia vitu ambavyo watu wamesha post kaka uzuri wake huwezi kuwa tofauti na wengine huoni kama una dhihirisha kuwa uko outdated maana hicho ulicho post kimehappan muda mrefuuuuuu
tubashukuru kwa tarifa yako lakini imepitwa na wakati nyama ile ile utofauti ni bucher tu sawa kaka
 
Kweli mkuu umeongea.... mwenye akili atakuwa amekupata vizuri sanah
 
Ushauri wa bureee before huja creat thread nyingine jaribu kusoma threads za wengine coz unakuwa unarudia vitu ambavyo watu wamesha post kaka uzuri wake huwezi kuwa tofauti na wengine huoni kama una dhihirisha kuwa uko outdated maana hicho ulicho post kimehappan muda mrefuuuuuu
tubashukuru kwa tarifa yako lakini imepitwa na wakati nyama ile ile utofauti ni bucher tu sawa kaka

Una Maneno Ya Taarab Aisee....
 
Kama wewe ni mod na unakerwa futa uzi huu:cool2:
 
Kaka najua uta kasirika lakini huo ndo ukweliii bhna threads ngapi zimezungumzia hilo ulilo post na sa ngap sembuse ww uje utusumbue sahiziiiiiii acha zako.wa afrika hatutaki ukweli kuambiwa lakini ukweli ndo huo ukubali ukatae ulicho post kime kuwa outdated kaka be creative add value co una kuwa creative tuuuuu
Hahaha una bore bhna go to hell
 
sio kufindishwa google wengine tupo poli yaan 2g inasumbua mpaka sio vizur
 
inaelekea TCU hawana command na zoezi zima la udahili - tulitegemea first hand information tupate kwao i.e kwenye tovuti yao - hizi 50.0000 wazimung'unya za nini!!!!
 
utaratibu ni kwamba tcu wakisha kuchagua wanapeleka data zako chuoni kikiridhia kinatangaza na ipo hivyo siku zote. Tcu hawawezi kutangaza chuo kimoja kimoja mpaka vyote vikubali ndio wanatoa. sasa nilivyosikia kuna ambavyo bado havijarudisha majibu wala kuridhia na vilivyorudisha kuna baadhi wamekataliwa na kuna vyuo vimekiuka taratibu za udahili na kuichkulia vikasababisha multiple admission 2000 na ndio inayotuchelewesha kupata majibu.
 
na hao wengi ni wa diploma wanaoomba degree.
 
Back
Top Bottom