Vyeti feki; serikali imekurupuka bila ya utafiti

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
312
168
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
 
Kama vyeti huvioni mbona kuna taratibu ya kupata dublicate baraza la mthihani?
 
Wewe Mpumbavu Mkubwa huyo dada yako mwambie aende NECTA atapata Vyeti vyake na Kama hana mwambie aende pale karibu na Bilicanas amuone Masuti atampa vyeti.Na Mature Entry sio STD 8 ni Form 4 tu wenye Credit C ,B au A tatu ambao wako na umri zaidi ya 25yrs
Matusi yanini sasa? watanzania uwezowetu wa akili sjui upokatika kiungogani walio soma na wasio soma wote akili zinafanana ndomaana nchi haina maendeleo yoyote yale ipo ipo tu
 
Swala la Mature Age Entry ambalo vyuo vingi walilitumia sijui itakuaje.
 
Hapa haitakiwi akili bali Hekima.Kwa mfano serkali ingeangalia wahusika wako katika umri gani pia wako katika ngazi gani za vyeo vyao.Halafu maamuzi km haya yangefanywa:
(1)kuwarudisha nyuma vyeo wote ambao umri wao hauzidi miaka 15 kazini na kufanya mitihani maalum ya necta
(2)waliozidi miaka 15 nk utumishi wao uendelee kama non pensionable(wasiostahili pensien watakapostaafu bali gratuity)

(3)Kwa viongozi mishahara yao ifutwe na kurejeshwa ngazi zao kabla ya teuzi zao Hatua hii itaisaidia serikali kuwalipia mikopo mbalimbali iliyokopwa na watumishi hawa.Aidha serikali itaendelea kuwaretain watumishi wazoevu. Na stadi ambazo ingesubiri kwa miaka mingi sana.Tukumbuke kwamba yanyofundishwa darasani si yote yanayotumika maofisini
 
ni dhahiri dada ulie nae amekumbwa na kadhia ya kutakatisha cheti
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha

Sikia ndugu yangu usitafute HURUMA kwa vitu ambavyo viko wazi.

Kama kweli dada yako amesoma kwa kiwango hicho cha Elimu iliyoitaja, asingekutuma kuandika haya hapa. Ukipoteza cheti Hujapoteza Uhalali wa kiwango cha elimu husika. Nenda Polisi utapewa Loss report then peleka hiyo Loss report NECTA au Rejea taarifa ya Katibu Mkuu Utumishi hata Index No. ukiwalisilisha NECTA utapata haki yako.

Hoja wa Mature Entry. Utaratibu huu uliwahusu watu wenye Form IV na hata walio maliza darasa la saba, ikifikia kiwango fulani cha ufaulu unaruhusiwa kusoma elimu inayolingana na kiwango cha msingi wako wa Elimu

Hii haimaanishi mtu huyu amejipatia Elimu isivyo halali, HAPANA hata kidogo.

Hoja hapa kwenye kazi data ya Utumishi ni kwamba uli ajiriwa kwa sifa zipi? Je hiyo ni sifa halali ya nafasi unayoitumikia?

Kwa mfumo wetu wa Elimu Tanzania Mtu wa darasa la saba anaweza soma hadi ngazi ya Diploma na mwenye cheti cha secondary anaweza soma hadi ngazi ya PhD akianza na Certificate, Diploma, Degree n.k.

Wewe uliambatanisha vyeti vya level gani wakati Unajiriwa? Hivyo ndivyo vinavyotakiwa na Utumishi.
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
Kama kweli huyo ndugu yako amesoma Degree ya kwanza UDSM,halafu akaenda kusoma Degree ya pili UK,PHD Norway halafu hajui ukipoteza cheti cha form four unafanyaje mpaka anapata tuhuma ya kuwa na cheti feki,basi kuna tatizo kubwa sana aidha kwenye mfumo wa elimu au jinsi huyo ndugu yako anavyopata hivyo vyeti.Halafu nasik
iaga watu waliosoma UDSM ni bright sana.Nadhana hata huu uzi huupaswa kuletwa hapa.Ni udhalilishaji wa vyuo vyetu.UDSM,UK,Norway!Aisee kumbe cheti changu cha form four kinanitosha.
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha

pole sana ndugu ila mimi naomba kuuliza hivi ambao hawakukusanya vyeti vyao pia majina yao yametolewa kama wana vyeti fake? au ni wale tu waliokusanya vyeti vyao na vikabainika ni fake?
 
Hapa haitakiwi akili bali Hekima.Kwa mfano serkali ingeangalia wahusika wako katika umri gani pia wako katika ngazi gani za vyeo vyao.Halafu maamuzi km haya yangefanywa:
(1)kuwarudisha nyuma vyeo wote ambao umri wao hauzidi miaka 15 kazini na kufanya mitihani maalum ya necta
(2)waliozidi miaka 15 nk utumishi wao uendelee kama non pensionable(wasiostahili pensien watakapostaafu bali gratuity)

(3)Kwa viongozi mishahara yao ifutwe na kurejeshwa ngazi zao kabla ya teuzi zao Hatua hii itaisaidia serikali kuwalipia mikopo mbalimbali iliyokopwa na watumishi hawa.Aidha serikali itaendelea kuwaretain watumishi wazoevu. Na stadi ambazo ingesubiri kwa miaka mingi sana.Tukumbuke kwamba yanyofundishwa darasani si yote yanayotumika maofisini
Aisee hakuna immunity ya namna kwenye sheria. Hawa waondoke tu. Huyo anayehangaika hapo na PhD ya dada yake, amuulize vizuri tu atampa hadithi zote. Tuache masihara kwenye elimu aisee
 
pole sana ndugu ila mimi naomba kuuliza hivi ambao hawakukusanya vyeti vyao pia majina yao yametolewa kama wana vyeti fake? au ni wale tu waliokusanya vyeti vyao na vikabainika ni fake?
Zoezi halijaisha ndugu. Ambao hawakukusanya wamepewa hadi tarehe 15/05. Wengine ni waliohakikiwa. ni muendelezo mpaka wote wakamilike.
 
mbona huyu jamaa anasema dada yake vyeti vyake hajui alipoviweka lakini yupo kwenye list ya watu wenye vyeti fake au mimi ndiyo sijamuelewa
 
Wengi wanajifanya hamnazo. Kama hana cheti na haku-submit, hao wapo 13,000+ wameambiwa wapeleke. Kwahiyo yeye alipeleka ni fake cha form alikimagumashi au kilichomo kwenye file lake ni fake. Hawa wanajua kabisa wanachomaanisha. In short wanapima upepo.
 
ok poa poa ndugu
 
Kwa Kweli suala hili, halikuwa la kukurupuka km walivofanya,
Inatakiwa watambue kwamba kuondoa Watu 10000 ghafla lazima baadhi ya sekta zitayumba na kupoteza uzoefu wa uwajibikaji Kwa wafanyakazi....hata ukisema uajir bado vijana hao hawatakuwa na uzoefu.....

Na zoezi hili km lingehusisha watanzania woote bila kujali kazi au wadhifa wowote ili kuondoa innequalities ingekuwa bora zaidi.....
Anyway ubongo ukikosa oxygen ni vigumu kufikiria zaid.....
 
Mimi kuna professor Wang chuo flan, kumbe alikuwa na vyeti feki
Unaweza kutumia vyeti feki ukasoma mpk unakojua lkn msingi wake ni feki tu.
Kuja jamaa ang ni mtaalam wa afya, alikuwa anadeal na watu wa ukoma na kifua kikuu, amesimamishwa na yeye kasema ni mtaalam wa kutengeneza pikipiki wala hafatilii
Tazama afya za watu zilivyokuwa zinachezewa.
Dada ako ndo anajua siri ya vyeti vyake si wew.
 
Back
Top Bottom