Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,679
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
 
Kwanini usiwe unapost mambo ya chama chenu badala ya kufuatilia mambo ya CCM? Huoni CCM ikifanya vibaya ni faida kwenu?
 
Kama ni kweli ana vyeti feki, basi kuna kamfumo wamekaweka ka kumsaidia.

VYETI FEKI NI TUHUMA TU, NA HIYO TUHUMA BADO HAIJATHIBITISHWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ukimpigia simu ukamuuliza hili swali atakwambia ukamuulize Mama yako.
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
Tupe mtaala wa mafunzo ya darasa la itikadi tuuone, huenda hauhitaji mtu mwenye cheti Pascal Mayalla
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
Msimamizi siyo lazima awe mtaalamu, anawa coordinate wataalamu, acha fitina...
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
vipi katibu mkuu ameshindwa kumnyoosha Makonda kama matarajio yako umeanza kulia Lia
 
Chama ambacho kina viongozi hawajui kusoma wala kuandika ngazi ya kata na mitaa unategemea kuwa na vyeti feki ni issue kwao? Mafunzo atatoa tu kikubwa anajua kiswahili. Nadhani ccm wana vipaumbele vyao visivyo endana na matakwa ya dunia modern linapokuja suala la nafasi za ajira kwao ndo maana kwa mfano walimpiga chini mwenyekiti wa UWT Bi Gaudentia Kabaka pamoja na elimu yake kubwa akachaguliwa Bi Mary Chatanda ambaye hata ukimuomba cheti cha la saba anaweza asikupe majibu yaliyonyooka. Ccm wana dunia yao.
 
Ukimpigia simu ukamuuliza hili swali atakwambia ukamuulize Mama yako.
hata mimi ningekujibu hivi,maana hatujui sifa za ufaulu mtu kuwa msimamizi wa mafunzo ya ccm,wala Cv za kuwa mwanafunzi.

labda mojawapo uwe unajua kughushi pia.
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
shida kubwa ni kwamba wanaomtuhumu ni watu wazima ambao bado wanaoishi majumbani kwa wazazi wao, na ndio maana hawataki kujitokeza hadharani na vielelezo kumshitaki mahakamani....

wahenga walisema...

nanukuu....

"kelele za chura hazimzuii ng"ombe kunywa maji"
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom