Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,042
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za chini huku Maeneo Kama ya VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mashirika ya Umma Wakuu wa wilaya Mikoa Wakurugenzi wa Halmashauri Wabunge hawakuguswa kabisa. Zoezi hilo mie binafsi nililiona lina UKAKASI na uonevu na kulindana.
ELIMU ni ufunguo wa Maisha hivyo ni busara kwa VIONGOZI wetu na Watendaji wanaowatumikia Wananchi tukawa na VIWANGO STAHIKI vya ELIMU vinavyotakiwa ili tuweze kuwaongoza Watendaji wetu bila UBABAISHAJI wa KIELIMU.
KIONGOZI anapaswa awe Mfano wa kuigwa wa kuwa na SIFA na ELIMU stahiki badala ya kuwa na ELIMU yenye Mashaka Makubwa kwa anaowaongoza.
Huu ni Wakati sahihi wa Serikali yetu kupitia ELIMU za VIONGOZI wetu na Watendaji wote katika Ngazi zote Kama Serikali ya AWAMU ya 5 ilivyofanya kwa Watendaji wa ngazi za Chini maarufu kwa VYETI FEKI na kuwaacha VIONGOZI na Watendaji wa Maeneo Mengine ambako bado kuna idadi kubwa ya Wenye ELIMU ya MASHAKA na VYETI FEKI.