Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

umeweka wazi kiwango cha busara ulichonacho

id yako inaonyesha tosha wewe ni rafiki wa nani wewe pia sio muislam maana uislam safi haukubali uganga wakienyeji kwikwiwkwiwkiwkwiwkwiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwki toa kwanza kibanzi pwiwpwiwpwiwpwiwpiwpwiwpwwpwiwpwiwwi

'Islam is a religion of peace' then unasema 'Be warned' why should you be mshari namna hiyo? Khaa! Sijui ukoje wewe!

kwa nini mlimtuma yule mtoto amshawishi mwenzie akikojele kama alivyosema mtoa mada.

HIVI NA WEWE UNAJIITA MUUMINI WA DINI YA KIISLAMU UNAYOTAKA TUAMINI NI YA AMANI? MBONA KAMA UNA DALILI ZOTE ZA WACHOMA MAKANISA AMBAO HAWATAKI KUAMBIWA WAMEFANYA KOSA BALI WANATAKA KUSIKIA LAWAMA ZOTE AKIBEBESHWA MTOTO ALIYEKOJOLEA KURANI? KWA HUYO ALIYETOA KURANI IKOJOLEWE YEYE HANA KOSA? NA ALIYETOA MADAI YA KUGEUKA NYOKA NA KUMWAPIZA MTOTO ALIYEKOJOA, JE HUONI KOSA LAKE? Cha muhimu Waislamu waliozingira kituoa cha polisi hawakuwa na sababu ya kufanya hivyo. Walipaswa kuacha dola ifanye kazi yake.

HIVI MNATAKA BUSARA YA KUWARUHUSU MSHAMBULIE TU UISLAMU NA WAISLAMU. NAFIKIRI LABDA TUNA TAFSIRI TAOFUTI YA NENO BUSARA.

MIMI NI RAFIKI WA WOTE WANAOPENDA AMANI DUNIANI. MIMI MGANGA WA KIENYEJI, NINAO WAPA WATU TIBA MBADALA. ISPOKUA TU SIFANYII MAMBO HAYO MADHABAHUNI KAMA WAGANGA WENGINE WANOONA IBADA NI KUWANYA WATU WAANGUKE KISAIKOLOJIA MADHABAHUNI KISHA KUKUSANYA FEDHA.

Yule mtoto hakutumwa bali walizidia ana hekima katika kujieleza, kama unavyoo ona hapa kwenye jamii, wengi wenu mngefanya hivyo hivyo kwa kosa hoja za kujitetea.

Alhamdulilahi, mimi ni Muislamu, tatizo lilitokea pale Waislamu walipo mchukua mtoto kwa busara na kumpelekea mzazi wake, na kumeleza nini mwanae amefanya. MZAZI NDIO ALICHOCHOE YALIO TOKEA SIO MTOT BAADA YA KUFANYA LILIE KOSA. MZAZI AKASEMA, NILIDHANI AMEUA MTU KUMBE AMEKOJOLEA MSAHAFU. KUTOKA HAPO KILICHOTOKEA NDIO HILI TUNALO JADILIANA KWA SASA. SASA NANI ALAUMIWE???.
 
KAMWE HAUTAKUJA KUSIKIA KIJANA WA KIISLAMU KUA AMEKOJELEA BIBLIA AU KUMTUSI YESU.

MIMI NIMESOMA MADRASA, TULICHOFUNDISHWA NIKUA UKIMTUKANA YESU, UMETOKA KATIKA UISLAMU. NA UKITUKANA VITABU VITABU VITAKATIFU, ZABURI, TAURATI, INJILI NA QUR-AN, UMETOKA KATIKA UISLAMU VILEVILE.

LAZIMA UELEWE, MUNGU WA ADAMU(A.S),NUHU(A.S), DAUDI(A.S), SULEIMAN(A.S),IBRAHIMU (A.S), MUSSA(A.S), AYOUB(A.S), ISSA (YESU)(A.S) N.K. NDIO MUNGU WA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NA WAISLAMU. HIVYO WAISLAMU WANAWAHESHIMU MANABII WOTE HAO. NA WOTE HAO, NI WAJUMBE NA MITUME WA MWENYEZI MUNGU. NA HAKUNA HATA MMOJA KATI YA HAO KUA YEYE NI MUNGU.

MUNGU NI MMOJA NA WALA SIO WATATU. MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA. WALA HANA MSHIRIKA KATIKA MILKI YAKE.

Hayo ndio mafundisho ya Uislamu.
Kwa taarifa yako Mganga wa Kienyeji, Issa bin Mariamu sio Yesu Kristo mwokozi wetu na Mungu aliyehai. Waislamu mnachoamini ni kitu kingine tofauti kabisa na ndio maana roho iliyo ndani yenu ni nyingine tofauti na wakristo. Na ukweli wa haya unajidhihirisha wenyewe kutokana na ishara na miujiza inayotendeka kwa jina hilo na kuthibitishwa kisayansi. Kamwe huwezi kutumia jina la Issa pepo akatoka, wala mgonjwa wa UKIMWI kupona. NAWASHAURI MUMWAMINI YESU MWOKOZI NA NJIA HALISI YA KWENDA MBINGUNI. kUMWAMINI YESU NI KUAMINI UKIJUACHO LAKINI UKIAMINI KWA DINI NYINGINE YOYOTE UTAPOTEA MILELE. AMININI UKWELI HUU KABLA HAMJACHELEWA SHAURI ZENU BWANA... Sisi kazi yetu kuwaambia ili damu yenu isitakwe mikonono mwetu siku ya hukumu.
 
Aseee....!! ipo kazi kubwa sana hapa.

Hivi nikiwa na Quaran soft copy, then niki delete na kuifuata kwenye recycle bin na ku-empty recycle bin, is this the same as kuchana quaran na kutupa kwenye bin? na kumwambia office clerk akamwage taka?

just thinking aloud hapa.....!!!:spy::spy:
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.
 
udini udini udini whta is next...
Mkuu, huwezi kuitenga dini na maisha ya mtu, hata hao wasio na dini wanacho wanachoamini, tatizo ni hekima tu, ya namna ya ku-handle hisia za uongo kwenye dini zetu.
Miungu ya Wahindi tunaila kila siku, sasa Wahindu wangekuwa na busara duni kama zetu, hali ingekuwaje?
Je, umeshasikia Wahindu wakishutumu Wakristo kwa kuwakandamiza kielimu au nchi kuongozwa na "mfumo Kristo"? Je, umewahi kuwasikia Waislamu wa Ismailia wakilalamikia Kanisa?
 
aseee....!! Ipo kazi kubwa sana hapa.

Hivi nikiwa na quaran soft copy, then niki delete na kuifuata kwenye recycle bin na ku-empty recycle bin, is this the same as kuchana quaran na kutupa kwenye bin? Na kumwambia office clerk akamwage taka?

Just thinking aloud hapa.....!!!:spy::spy:

Nadhani ukifanya hivyo sio madhara. Kwani katika uislamu, mtu anahukumiwa kwa nia yake pale anafanya kitendo. Ikiwa kwa siri au hadharani. Ukifanya kwa siri, alie kuumba ndio atakae amua. Ukifanya kwa dhahiri lazima hili lidhibitiwe lisije lika haribu wengine.
 
kwa taarifa yako mganga wa kienyeji, issa bin mariamu sio yesu kristo mwokozi wetu na mungu aliyehai. Waislamu mnachoamini ni kitu kingine tofauti kabisa na ndio maana roho iliyo ndani yenu ni nyingine tofauti na wakristo. Na ukweli wa haya unajidhihirisha wenyewe kutokana na ishara na miujiza inayotendeka kwa jina hilo na kuthibitishwa kisayansi. Kamwe huwezi kutumia jina la issa pepo akatoka, wala mgonjwa wa ukimwi kupona. Nawashauri mumwamini yesu mwokozi na njia halisi ya kwenda mbinguni. Kumwamini yesu ni kuamini ukijuacho lakini ukiamini kwa dini nyingine yoyote utapotea milele. Aminini ukweli huu kabla hamjachelewa shauri zenu bwana... Sisi kazi yetu kuwaambia ili damu yenu isitakwe mikonono mwetu siku ya hukumu.

Sisi waislamu tuna muongelea Issa bin Mariam. Mama aliezaa mtoto kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu bila kukutana na mwanamume. Kama wewe unae issa mwengine basi huyo hatuhusu sisi.
 
HIVI MNATAKA BUSARA YA KUWARUHUSU MSHAMBULIE TU UISLAMU NA WAISLAMU. NAFIKIRI LABDA TUNA TAFSIRI TAOFUTI YA NENO BUSARA.

MIMI NI RAFIKI WA WOTE WANAOPENDA AMANI DUNIANI. MIMI MGANGA WA KIENYEJI, NINAO WAPA WATU TIBA MBADALA. ISPOKUA TU SIFANYII MAMBO HAYO MADHABAHUNI KAMA WAGANGA WENGINE WANOONA IBADA NI KUWANYA WATU WAANGUKE KISAIKOLOJIA MADHABAHUNI KISHA KUKUSANYA FEDHA.

Yule mtoto hakutumwa bali walizidia ana hekima katika kujieleza, kama unavyoo ona hapa kwenye jamii, wengi wenu mngefanya hivyo hivyo kwa kosa hoja za kujitetea.

Alhamdulilahi, mimi ni Muislamu, tatizo lilitokea pale Waislamu walipo mchukua mtoto kwa busara na kumpelekea mzazi wake, na kumeleza nini mwanae amefanya. MZAZI NDIO ALICHOCHOE YALIO TOKEA SIO MTOT BAADA YA KUFANYA LILIE KOSA. MZAZI AKASEMA, NILIDHANI AMEUA MTU KUMBE AMEKOJOLEA MSAHAFU. KUTOKA HAPO KILICHOTOKEA NDIO HILI TUNALO JADILIANA KWA SASA. SASA NANI ALAUMIWE???.
Where did you get that......in RED above.:A S-coffee:
 
Where did you get that......in RED above.:A S-coffee:

KAMA UNGEKUA UNAFUATILIA VYOMBO VYA HABARI, TBC, ITV na GAZETI LA MWANANCHI, NADHANI USINGE NIULIZA SWALI HILI. NDIO MAANA MNATUSUMBUA SANA HUMU NDANI YA JUKWAA KUMBE HAMFUATILII MAMBO KWA KINA.
 
Sisi waislamu tuna muongelea Issa bin Mariam. Mama aliezaa mtoto kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu bila kukutana na mwanamume. Kama wewe unae issa mwengine basi huyo hatuhusu sisi.
Yesu Kristo kwa kiarabu anaitwa Yasu au Yasua Masih, na sio Issa bin Mariamu. Anayesema Yesu ndiyo Issa ndo mwenye makosa, na kama Wakristo wasingekuwa na hekima na kuamini kwa Mungu anajipigania mwenyewe wangefanya vurugu ili waislamu wasitumie jina la Yesu. Lakini kwa kuwa Mungu tunayemwamini ni Almighty (Mwenye nguvu na enzi yote) tunajua hilo halipunguzi kitu kwenye imani yetu zaidi linawafanya Waislamu kujipalia mkaa wao wenyewe tu.
 
Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?

" Werevu haununuliwi,kama ungekuwa unanaunuliwa wote tungekuwa nao"
Kalu, umesoma ID ya huyo unayemjibu?
 
yesu kristo kwa kiarabu anaitwa yasu au yasua masih, na sio issa bin mariamu. Anayesema yesu ndiyo issa ndo mwenye makosa, na kama wakristo wasingekuwa na hekima na kuamini kwa mungu anajipigania mwenyewe wangefanya vurugu ili waislamu wasitumie jina la yesu. Lakini kwa kuwa mungu tunayemwamini ni almighty (mwenye nguvu na enzi yote) tunajua hilo halipunguzi kitu kwenye imani yetu zaidi linawafanya waislamu kujipalia mkaa wao wenyewe tu.

wewe wa wapi wewe? Mbona unaongea vitu hovyo hovyo?
 
Ndugu yangu Mganga wakienyeji,waIslamu wanatukana sana wakristu kwa kupitiliza.Wanatuita Makafiri,kwenye redio yenu mnatukana nadhani mpaka mnajishangaa.Watoto wawili hawa wote wanamakosa,kilichotakiwa kufanyika ni busara zaidi,kumuonya mtoto na habari inakwisha.
Kwanye midahalo ya waislamu tunashuhudia kila mara matusi kwa wakristu.
Mnaharibu maana kamili ya Uislamu.Kaeni chini mbadilike,hamuwezi kumbadilisha mtu dini kwa lazima.Angalia sheria ya dhahabu inasemaje? "Usichopenda kutendewa Usimtendee mwenzako"
 
Kwa taarifa yako Mganga wa Kienyeji, Issa bin Mariamu sio Yesu Kristo mwokozi wetu na Mungu aliyehai. Waislamu mnachoamini ni kitu kingine tofauti kabisa na ndio maana roho iliyo ndani yenu ni nyingine tofauti na wakristo. Na ukweli wa haya unajidhihirisha wenyewe kutokana na ishara na miujiza inayotendeka kwa jina hilo na kuthibitishwa kisayansi. Kamwe huwezi kutumia jina la Issa pepo akatoka, wala mgonjwa wa UKIMWI kupona. NAWASHAURI MUMWAMINI YESU MWOKOZI NA NJIA HALISI YA KWENDA MBINGUNI. kUMWAMINI YESU NI KUAMINI UKIJUACHO LAKINI UKIAMINI KWA DINI NYINGINE YOYOTE UTAPOTEA MILELE. AMININI UKWELI HUU KABLA HAMJACHELEWA SHAURI ZENU BWANA... Sisi kazi yetu kuwaambia ili damu yenu isitakwe mikonono mwetu siku ya hukumu.

hivi yesu jina aliloitwa na mamake ni lipi?
 
Kila mtu aheshimu dini ya mwenzake. Busara itumike siku zote.jazba haina faida.udini ni hatari unaweza leta maafa makubwa.viongozi tukemee na kuwahadhibu hawa wanaotaka kuleta udini.
 
Umesema vema kabisa. Kuwa Islam is a religion of peace vema, ila naomba unielimishe mambo yafuatayo
Kenya ni watu wangapi wamekufa kutokana na mashambulizi ya al shababu?
je ni makanisa mangapi yamechomwa na hao waislamu wenye msimamo mkali?
Lakini hujasikia wakristo wakiandamana. wala kuchoma misikiti. je kwa nini?
http://uk.video.search.yahoo.com/search/video?p=churches+burn+in+kenya+by+al+shabab
- BBC News - Deadly Kenya grenade attack hits children in church

Nenda Naigeria ni makanisa mangapi yamechomwa? na ni watu wa ngapi wamekufa kutokana na mashambulizi ya boko haramu
Muslim Extremists Destroy Lives, Church Buildings in Nigeria
na mifano mingi tu. ila wakristo hawajaandamana wala kuleta vurugu yoyote.
naomba kuuliza je tuhukumu uislamu kutokana na hoyo yote?????
mbona kenya hakuna msikiti hata mmoja ulioshambuliwa????
-kwa nini??
- kama kenya inapambana na magaidi kwanini washambulie au walipize kisassi kwa kuwauwa wakristo????
Mimi nimejaribu kufikiri na kufikiri bila kupata jibu kama kuna uhusiano wowote kati ya hayo yote na uislamu kama hakuna kwanini makanisa tu? kwanini wakristo tu ndiyo wanao shambuliwa. ????
Kweli hizi ni nyakati za mwisho.
Wako
Halima
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.
 
Tatizo hapa wapo walioelewa lengo la mtoa mada, na wengine hawajaelewa kabisaaaa maana hiyo michango wanayoitoa mhhhh!!!! wote tungemwelewa mtoa mada km nilivyomwelewa mimi nadhani ingekuwa kitu rahisi sana.

Mkuu, unategemea mtu anayejiita na kuitwa Mganga wa Kienyeji humu ndani atakuelewa kweli?

Angalia mchango wake wa kwanza na mashaka yake dhidi ya mleta mada, utachoka!
 
goddamn right...!!!
ukiangalia the way alivoiadress hotuba yake utadhan kama kweli ameguswa na uchungu tulioupata sisi kwa kukojolewa qur an,,sasa basi kwa taarifa yako mtoa uzi huu,sisi waislam hatuna chuki na dhehebu lolote lile,sisi tunaamin katika mungu mmoja,muumba mbingu na ardhi,tuna amin katika mitume wa mungu kuanzia nabii adam,nuhu,musa,zakaria.yusuph,issa(jesus) na wengneo wengi kiidad yao wanafahamika na mwsho kabisa kipenz chetu muhammady (s,a,w)
pia tunaamin katika malaika wa mungu,tuna amin katika vitabu vya mungu i.e zaburi,torati,injili,qur an etc,,sema tuh binaadam wamekua ni wenye kubadilisha maandiko na kuweka yale yanayowakizi wao kama tulivoona kwenye injili/bibilia a lot of versions from old testament to classisc ones of today
we r makin it very clear,hatusapoti vurugu za aina iyo zinapotokea sabab sio mafundisho ya qur an,ila waumin wanatofautiana mioyo ya subira na ujinga wa uelewa wa mafundsho,
pia isichukuliwe hii kama ni hoja mama ya kulaum kuchomwa kwa makanisa ni dhambi kubwa kuliko hata kukojolewa kwa qur an kwa kigezo kua kafanya mtoto mdogo,msimamo wetu katika hilo uko thabiti na utaendelea kua thabiti,matukio kama haya kwa dini yetu yamekua yanazidi kuendelezwa siku baada siku had inapelekea watu kua na chuki mioyon mwao,ikumbukwe kua juz hapa mtume kakashifiwa na ile chuki ikaenea dunia nzima,
we r peaceful to somebody who is peaceful to us,we r tolerant to somebody who is tolerant to us and vice versa is true...
 
Back
Top Bottom