Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

Natumia jukwaa hili la kufikiri na kutafakari ili niweze kutoa mchango wangu wa mawazo niliyoyapata katika kufikiri kwangu kuhusu hili jambo lililo sababisha uvunjifu wa amani huko Mbagala.
Tunaelezwa kuwa chanzo ni watoto wawili,{mmoja mkristu na wa pili muislamu}, waliokuwa wakibishana kuhusu kuutia najis Msahafu na matokeo ya laana fulani itakayompata mara moja mtendaji wa tukio hilo.
Kinachosikitisha hapa ni mtazamo wa upande mmoja tu. Mtoto Mkristu kautia najis msahafu. Pamoja na utukutu wake wa kupinga kuwa hawezi kugeuka kuwa mjusi ama panya, hicho hakikuwa kitendo cha busara kwake. Mtoto Emmanuel alipaswa kujua kuwa kile ni kitabu Kitukufu cha imani ya dini ya yule mwenzie.

Upande wa pili ambao ungepaswa kutazamwa ni wa yule mtoto muislamu. Hii ni dini yake na Msahafu ni kitabu Kitukufu cha dini yake.Kitendo cha yeye kuwa tayari kushuhudia kitabu hiki kikitiwa najis, tena na mtoto mwenzie ambaye ni wa dini tofauti na yake, ni kufru kubwa sana kwake na kwa Waislamu wenzake. Huyu mtoto kwa ridhaa yake amechukuwa Msahafu akauweka chini ukojolewe na mtoto mwenzie, hata kama mtoto huyo angekuwa ni muislamu mwenzie, kitendo hiki ni cha utovu mkubwa sana wa maadili ya kidini, tabia na malezi pia. Sijui kwa nini watu wazima na busara zao hawataki kuliona hili. Emmanuel anastahili kukaripiwa kwa kukizalilisha kitabu Kitukufu cha dini ya mwenzie, lakini huyu mtoto mwenye dini yake anatakiwa kupata karipio kubwa zaidi kwa kuizalilisha dini yake, kuwazalilisha wazazi wake, waalimu wake wa Madrasa, na Waislamu wenzake.
 
wewe wa wapi wewe? Mbona unaongea vitu hovyo hovyo?
Alaaa! Kumbe naongea na AJENTI wa shetani samahani wapendwa kumbe huyu ni wa kukemea kwa jina la Yesu. WEWE AJENTI WA IBILISI KWA JINA LA YESU KRISTO upotoshaji wako hauna nafasi kwa yeyote anayeusoma. Na kazi zako zote ziharibiwe kabisa KATIKA JINA LA YESU, AMEN.
 
Kuna eneo utakuwa hukuliangalia sawa sawa Katika mada yangu. Inasemekana mtoto alitumwa.

tuache kueneza uongo usio na manufaa kwa jamii yetu, utazidi kutubomoa.

Mkisema inasemeka mtoto wa kiislam alitumwa, mtanijibu nini nami nitakaposema kuwa inasemekana mtoto wa kikristo alitumwa?
Au nikaja na hoja kuwa makanisa yamechomwa na wakristo wenyewe ili kuupaka matope uislam?

Tuache chuki zisizo na tija, ni ujinga wa hali ya juu kujaribu kupaka matope imani ya mwenzako ili ionekane haifai,
litakapo tibuka la kutiauka halitochagua muislam wala mkristo.

Tanzania ni yetu sote, tuache kueneza habari za kuhisi, kama una ushahidi wa jambo kaakimya.
 
umesema vema kabisa. Kuwa islam is a religion of peace vema, ila naomba unielimishe mambo yafuatayo
kenya ni watu wangapi wamekufa kutokana na mashambulizi ya al shababu?
Je ni makanisa mangapi yamechomwa na hao waislamu wenye msimamo mkali?
Lakini hujasikia wakristo wakiandamana. Wala kuchoma misikiti. Je kwa nini?
Http://uk.video.search.yahoo.com/search/video?p=churches+burn+in+kenya+by+al+shabab
- bbc news - deadly kenya grenade attack hits children in church

nenda naigeria ni makanisa mangapi yamechomwa? Na ni watu wa ngapi wamekufa kutokana na mashambulizi ya boko haramu
muslim extremists destroy lives, church buildings in nigeria
na mifano mingi tu. Ila wakristo hawajaandamana wala kuleta vurugu yoyote.
Naomba kuuliza je tuhukumu uislamu kutokana na hoyo yote?????
Mbona kenya hakuna msikiti hata mmoja ulioshambuliwa????
-kwa nini??
- kama kenya inapambana na magaidi kwanini washambulie au walipize kisassi kwa kuwauwa wakristo????
Mimi nimejaribu kufikiri na kufikiri bila kupata jibu kama kuna uhusiano wowote kati ya hayo yote na uislamu kama hakuna kwanini makanisa tu? Kwanini wakristo tu ndiyo wanao shambuliwa. ????
Kweli hizi ni nyakati za mwisho.
Wako
halima

Nakushukuru sana. Nafikiri njia nzuri ya kujibu ni kutumia Logic. Sasa una weza kuniambia ni waislamu wangapi wamekufa palestina, iraq na libya. Na nani huyo ane perpertrate hayo mauji. Kwa nini serekali zinalazimishwa kufuata sera za serakali nyingine. Kwa nini al-shabab walianza kupigwa na ethopia kwa msaada wa marekani wakati mpaka bbc iliripoti kua al-shabab walishadhibiti hali ya usalama inchini somalia. Kosa lao ni nini. Kutangaza kua nchi yao itaongozwa kwa sheria za kiislamu.

Vipi kuhusu waislamu wa chechniya na yugoslavia ya zamani??? Vipi aghfanistani? Kwanini waingiliewe katika utamaduni wao?

Nadhani ukijua majibu hayo utajua nini maana ya Al-qaeda, Al-shabab na Uamsho.
 
alaaa! Kumbe naongea na ajenti wa shetani samahani wapendwa kumbe huyu ni wa kukemea kwa jina la yesu. Wewe ajenti wa ibilisi kwa jina la yesu kristo upotoshaji wako hauna nafasi kwa yeyote anayeusoma. Na kazi zako zote ziharibiwe kabisa katika jina la yesu, amen.

tehe! Tehe!
 
HIVI MNATAKA BUSARA YA KUWARUHUSU MSHAMBULIE TU UISLAMU NA WAISLAMU. NAFIKIRI LABDA TUNA TAFSIRI TAOFUTI YA NENO BUSARA.

MIMI NI RAFIKI WA WOTE WANAOPENDA AMANI DUNIANI. MIMI MGANGA WA KIENYEJI, NINAO WAPA WATU TIBA MBADALA. ISPOKUA TU SIFANYII MAMBO HAYO MADHABAHUNI KAMA WAGANGA WENGINE WANOONA IBADA NI KUWANYA WATU WAANGUKE KISAIKOLOJIA MADHABAHUNI KISHA KUKUSANYA FEDHA.

Yule mtoto hakutumwa bali walizidia ana hekima katika kujieleza, kama unavyoo ona hapa kwenye jamii, wengi wenu mngefanya hivyo hivyo kwa kosa hoja za kujitetea.

Alhamdulilahi, mimi ni Muislamu, tatizo lilitokea pale Waislamu walipo mchukua mtoto kwa busara na kumpelekea mzazi wake, na kumeleza nini mwanae amefanya. MZAZI NDIO ALICHOCHOE YALIO TOKEA SIO MTOT BAADA YA KUFANYA LILIE KOSA. MZAZI AKASEMA, NILIDHANI AMEUA MTU KUMBE AMEKOJOLEA MSAHAFU. KUTOKA HAPO KILICHOTOKEA NDIO HILI TUNALO JADILIANA KWA SASA. SASA NANI ALAUMIWE???.
kumbe mganga wa kienyeji wewe huna sera elimu ndogo hiyi
 
ndipo upate jibu kua sio kweli kwamba wanaochoma makanisa na kufanya vurugu zote izo unazoziskia nigeria(boko haram),kenya alshaba,taliban,alqaeda ni waislam,hizo ni propaganda,ushawahi fika nigeria au huko kwingne ukaskia taarifa halisi??na kwanini basi kama ni kweli tusiskie hata siku moja wakristo wakilipiza kisas sehem zote hzio??mm muislam sijawahi sikia et mkristo huko kenya,au nigeria kalipua msikiti kwa kulipiza kisas,sasa ulishawahi kujiuliza ni kwa nin??ni kwa sabb mafundisho ya biblia yanawafunza kutolipiza kisas,au hawana uwezo au wanajua kweli kua ukweli wa mabo hauko ivo??hakuna binadam anaependa unyonge hata mmoja,naamin angetokea tuh mkristo ambae hana iman ya subira na kushawishika kulipa kisas kutokana na chuki iliyojengeka kwa mda flan,,
ni aibu kwa dunia ya sasa mtu kukaa na kufanya reference ya western media as a proof of his/her claims
vyovyote vile itavokua sisi waislam tunajitambua,na chuki tunayooneshwa haikunza leo
na haitoisha leo,we live once then we die we cant fear a human being like ourslvs..
 
Sasa tatizo liko wapi? Uislamu sio dini inayolea watu kuonea wenzao. We simple dont turn the other chick. If that is our crime, so be it.

Kuna nukuu moja naipenda sana humu ndani kwenye signature yake inasema; "WHAT WE BELIEVE, INAVITABLY AFFECTS HOW WE LIVE".

Ktk hili naungana na hiyo nukuu kwako. You believe in violence, you will be violent, You believe in revenge, you will be a man of revenge!
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.
==========

Nenda Kanisa Anglikana Mbagala uone Waislam walivyoifanya Biblia
 
ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED

UWIIII...,.,

HUU MKWARA NI BALAA!!!
SASA NAJIULIZA SIJUI HASIRA HIZI ZINATOKA WAPI DU, HII NI NOMA. AFADHALI WAKRISTO WAENDELEE NA OPTION HII ALIYOIITA HUYU MWISLAMU KUWA YA "KULIALIA" MAANA SIKU WAKIAMUA KUACHA KULIALIA SIJUI KITATOKEA NINI HATA TZ.

ILA NAOMBA WATANZANIA WA DINI ZOTE TUJIFUNZE KUWA KILA BINADAMU ANA HASIRA NA ANAUWEZO WA KURETALIATE/ KUJIBU MAPIGO. SI WAISLAMU TU WANAJUA KUPIGANA HATA WAKRISTO WANAJUA. HIVYO KUSEMA WANALIALIA SI LUGHA YA MTU ANAYEDAI ANAMCHA MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NA BAHARI NA VILIVYOMO.

HALAFU HATA KAMA MAKANISANI WANAFANYA IBADA ZA KISHETANI NA WACHUNGAJI WAO WENGI NI WAGANGA KAMA HUYU MWISLAMU ANAVYOSEMA KUNA SHIDA GANI. WAISLAMU SI MUENDELEE NA KUHUBIRI NA KUFANYA IBADA ZA KI MUNGU? WANAWABUGUDHI VIPI KWA IBADA ZAO AMBAZO MARA NYINGI HAWATUMII HAPA VIPAZA SAUTI KAMA NYIE? NA WALE WASIO NA DINI/WAPAGANI WEWE UNAWACHUKULIA VIPI?

KWENYE THREAD NYINGINE KUNA MTANZANIA MWENZETU ALIKUWA ANALALAMIKA KUWA ETI MCHONGA NDIYE ALIKUWA MDINI. SABABU ALIZOTOA NI ETI KWA SABABU ALIRUHUSU VATICAN KUWA NA UBALOZI TANZANI NA KINGINE NI MAPAMBO KWENYE OFISI SIKU ZA X MASS SI SIO IDDI. SASA MIMI NILISIKITIKA KUWA HAWA JAMAA INAELEKEA WANA MIND SET KUWA SIKU ZOTE WAO WANAONEWA TU. HILI LA UBALOZI WA VATICAN. MTU ANASAHAU KUWA TZ PIA KUNA BALOZI ZA NCHI KADHAA ZA KIISLAMU KAMA IRAN, LIBIA NA PALESTINA INGAWA UBALOZI WA ISRAEL HAUPO NA WAKRITO HAWANA SHIDA NA HILO. NA HILI LA KUPAMBA SIKU ZA SIKUKUU ZA KIKRISTO NANI ALIYEWAZUIA WAO KUPAMBA PIA? MBONA WAKATI WA MIFUNGO YAO HATA WAKRISTO BAADHI HUSHIRIKIANA NAO HATA KUANDAA NA KUFUTURU?

NDUGU ZETU WAISLAMU MNALALAMIKA MNO KANA AS IF MNASTAHILI HAKI NYINGI ZAIDI WA WATANZANIA WENZENU. HII HAIJAKAA VIZURI KABISA. PIA NATAKA MJUE KUWA WAKRITO KUKAA KIMYA/KUVUMILIA VITENDO VYA KUCHOMA MAKANISA HAINA MAANA KUWA HAWANA UWEZO WA KUJIBU MAPIGO NA MUNGU APISHIE MBALI SIKU WATAKAYO ISHIWA UVUMILIVU. KITENDO CHA KIJANA YULE KUKOJOLEA QURAN KILAANIWE NA KILA MMOJA LAKINI ISIWE NI CHANZO CHA KUVUNJA UMOJA WA TAIFA LETU!
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.

Mimi cdhani kama umeelewa vizuri kilichoongelewa na uliyemquote.Ckutarajia wewe unaejiita " muislamu" ungeweza kutoa hoja ya namna hiyo.Ngoja tuiachie dola ifanye kazi yake naamini bado haijashindwa.
 
kile mtu anachokiamini hakihojiki,kosoleki,hakiwezi thibitishwa wala kanushwa.tukiwalaumu waislamu tutakuwa tunawaonea bure MAUAJI CHUKI KISASI ni sehemu ya misingi ya uislam.na muislam kama mfuasi wa dini yake lazima awe hivyo hauwezi kulibadili hilo labda hayo yaondolewe kwenye kitabu chao.ndio maana hata wao kwa wao wanauana siria iraq afganistani.n.k.
 
Mkuu, huwezi kuitenga dini na maisha ya mtu, hata hao wasio na dini wanacho wanachoamini, tatizo ni hekima tu, ya namna ya ku-handle hisia za uongo kwenye dini zetu.
Miungu ya Wahindi tunaila kila siku, sasa Wahindu wangekuwa na busara duni kama zetu, hali ingekuwaje?
Je, umeshasikia Wahindu wakishutumu Wakristo kwa kuwakandamiza kielimu au nchi kuongozwa na "mfumo Kristo"? Je, umewahi kuwasikia Waislamu wa Ismailia wakilalamikia Kanisa?
mkuu ni hivi...When a person suffers from a delusion it is called insanity; when many people suffer from a delusion it is called religion.
 
kuna nukuu moja naipenda sana humu ndani kwenye signature yake inasema; "what we believe, inavitably affects how we live".

Ktk hili naungana na hiyo nukuu kwako. You believe in violence, you will be violent, you believe in revenge, you will be a man of revenge!

But we believe in justice. IF that is wrong, I dont want to be right.
 
Mimi naamini hizi ni nyakati za mwisho,na ili maandiko yatimie inabidi hayo yote yatokee,
Juzi ilikua mtoto kazikwa makaburi ya kiislam,
leo Mtoto kakojolea Quraan
next time itakua nini,hakuna anaejua
niaminini mimi hizi ni nyakati za mwisho

Walioko serious wasiangalie ukristo wala uislam
Kila mmoja ajiangalie mwenyewe ana uhusiano gani na Mungu wake..

Kama juzuu imekojolewa zen makanisa yamechomwa moto na magari kuvunjwa vioo
hapo hasara ni ya nani? mnapigana na vivuli vyenu?
Kama Juzuu ni ya Mungu na Makanisa si ni ya Mungu pia?
Anaeendekeza fujo mi naona kama anatimiza tu unabii uliotabiriwa zamani
kwamba nyakati za mwisho mengi yataibuka!
 
tuache kueneza uongo usio na manufaa kwa jamii yetu, utazidi kutubomoa.

Mkisema inasemeka mtoto wa kiislam alitumwa, mtanijibu nini nami nitakaposema kuwa inasemekana mtoto wa kikristo alitumwa?
Au nikaja na hoja kuwa makanisa yamechomwa na wakristo wenyewe ili kuupaka matope uislam?

Tuache chuki zisizo na tija, ni ujinga wa hali ya juu kujaribu kupaka matope imani ya mwenzako ili ionekane haifai,
litakapo tibuka la kutiauka halitochagua muislam wala mkristo.

Tanzania ni yetu sote, tuache kueneza habari za kuhisi, kama una ushahidi wa jambo kaakimya.

Rashid alikuwa ni mmoja wa walishiriki kuvunja mabucha ya nguruwe. Baadae alikiri kuwa walimtuma mtoto anunue nyama ya nguruwe ili wait maize mpango wa kuvunja mabucha. Endapo utasema mtoto alitumwa kukojolea hatuwezi kupinga, tunatakiwa kusema uchunguzi ufanywe ili aliyemtuma ajulikane Ana sababu gani. Mimi Naamini taarifa nilizopewa ni za uhakika. Mtoto aliyekuwa na huo msaafu wchunguzwe mtabaini ninayosema ni uhakika. Na Kama hakutumwa basi ijulikane. Kwa nini watu wanajaribu kutetea mtu ambaye sio wao waliomtuma? Kumbuka mada haisemi ni waislamu walimtuma. Inasema wahuni wanaouchafua uislamu walimtuma na wengine wameingizwa bila kujua.
 
Kazi kweli kweli . sasa naanza kuelewa kauli ya mtoa mada mada kumbe yule kijana alikuwa ametumwa kwa msaada wa hao wa palestina , iraq , libya n.k?
Je Iraq hakuna wa kristo? BBC NEWS | World | Middle East | Christians besieged in Iraq
Palestinian Christians - Wikipedia, the free encyclopedia

Nakushukuru sana. Nafikiri njia nzuri ya kujibu ni kutumia Logic. Sasa una weza kuniambia ni waislamu wangapi wamekufa palestina, iraq na libya. Na nani huyo ane perpertrate hayo mauji. Kwa nini serekali zinalazimishwa kufuata sera za serakali nyingine. Kwa nini al-shabab walianza kupigwa na ethopia kwa msaada wa marekani wakati mpaka bbc iliripoti kua al-shabab walishadhibiti hali ya usalama inchini somalia. Kosa lao ni nini. Kutangaza kua nchi yao itaongozwa kwa sheria za kiislamu.

Vipi kuhusu waislamu wa chechniya na yugoslavia ya zamani??? Vipi aghfanistani? Kwanini waingiliewe katika utamaduni wao?

Nadhani ukijua majibu hayo utajua nini maana ya Al-qaeda, Al-shabab na Uamsho.
 
Sina muda wa kufuatilia upuuzi......that is one.
Second, wewe unafikiri hiki sio chombo cha habari?....nimekuuliza ulikotoa, sema ulikotoa na eleza uhakiki wa unachokisema.
KAMA UNGEKUA UNAFUATILIA VYOMBO VYA HABARI, TBC, ITV na GAZETI LA MWANANCHI, NADHANI USINGE NIULIZA SWALI HILI. NDIO MAANA MNATUSUMBUA SANA HUMU NDANI YA JUKWAA KUMBE HAMFUATILII MAMBO KWA KINA.
 
wakati wa kuvuna kilichopandwa na kina mkama 2010.walidhani mbegu walizopanda hazikuota.hatia iko juu yao.

Ni akina Makamba. Mukama hakuwa katibu mkuu kipindi hicho. Hata Baba Mwanaisha (Vasco) anastahili kubeba lawama kwani naye alikuwemo shambani katika kilimo cha udini na ndio mavuno tunayaona sasa.
 
Back
Top Bottom