Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania.
Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii fulani, kwamba wakionewa basi iwe rahisi nyie wengine kwenda kuwasaidia. Mfano huko palestina hili wapate msaada watatumia neno muislamu ndugu yake ni muislamu ili kuchochea waislamu wengine ulimwenguni kwenda kuwasaidia.
Je, waislamu wa Sudan, Niger, Burkinafaso, Mali, nchi ambazo kwa asilimia kubwa zimejaa waislamu kwa zaidi ya asilima 90, huko kuna vita daily, nchi zimejaa umasikini wa kufa mtu, ukame, maji, umeme hakuna alafu Wewe muislamu wa buza unasema Muislamu ndugu yako ni muislamu, mbona ndugu zako wa Niger na Mali uendi kuwasaidia.
Ila muarabu akipata shida kidogo tu, Waislamu wote wa Buza watataka kujilipua kisa tu kumsaidia na kumtetea muarabu.
Waislamu wa Kiafrika ndugu zenu wa dhati ni waafrika wenzenu ambao leo au kesho ukipata shida basi muafrika mwenzako ndio anakuwa mtu wa kwanza kukupa hifadhi, leo hii nchi yetu ikipata vita wewe mtanzania mweusi uwezi kwenda kuwa mkimbizi Yemen, Oman, Saudi Arabia, UAE, watakukataa... Ila Kenya, Uganda, Congo, Zambia, Msumbiji watakuchukua kama mkimbizi... Sasa hapo nani ni ndugu yako.
Wazungu na waarabu wenyewe hawawezi kukupa kipaumbele wewe Black Mamba wa Bonyokwa hata upate shida gani hata awe wa Dini yako. Ila shida hiyo hiyo ukiipata hapo Bonyokwa mtu wa kwanza kuja kukujulia hali sio muarabu au mtu wa Dini yako, bali majirani wanaokuzunguka bila kujali ni watu wa Dini gani.
Dini zimewateka mpaka mnasahau kufanya maendeleo yenu, je ni vyuo vingapi vya kiislamu vimejengwa nchini, vyuo vingi ni vya Makanisa, Serikali na Watu binafsi. Nyie mmekomalia Muislamu ndugu yake ni muislamu hata hao waislamu wenzenu wa huko uarabuni wenye mafuta chungu nzima wameshindwa kuja kuwajengea vyuo vikuu. Sisi wakristo ndugu zetu ni watu wote wanaotuzunguka bila kujali itikadi zake, na ndio maana kwetu kwenye kutoa msaada hatuangalii wewe ni Dini gani, utakuta waislamu kibao wanasoma shule za makanisa au vyuo vikuu vya makanisa kama KCMC au Bugando bila shida au kushawishiwa kubadilisha dini.
Dini haikupeleki Peponi hata uamue kuishi msikitini, kitakacho kupeleka Peponi ni matendo yako mema na namna unavyoishi na binadamu wenzako hapa Duniani.
Ukiendekeza Dini sana, lazima utajaa Chuki na Ubinafsi. Na utajiona wewe ni bora mbele ya haki ya muumba.