Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

Tatizo lipo kwa hao wazazi wawili elitakiwa wamalize hili swala kwa kuwakimia na kuwapa adhabu watoto wote wawili eli iwe fundisho kwa watoto wengine piya tuwafundishe watoto wetu majumbani maana ya kuvumiliana na kuheshimiana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hao watu wengine wamepata nafasi ya kufanya hicho walichokifanya kwa kuwa hawa wazazi wawili walikosa busara ya kumaliza hili swala kwa kuwakanya watoto wao wawe na heshima mbele za watu na imani za wengine
 
Bravo, bonge la uzi. Umeua zaidi na ule mfano wa Abunuasi. Ni kweli waislam wenye busara ndo wenye nguvu ya kurekebisha kuokoa hadhi ya uislam vinginevyo sisi Wafuasi wa Kristo hatuna uwezo wa kuwatenganisha zaidi tutaowajudge kuwa wote ni walewale wa kuogopwa.

Nimewaomba waislamu ndio wachangie. Naamini wengi watafanya hivyo.
 
LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?

" Werevu haununuliwi,kama ungekuwa unanaunuliwa wote tungekuwa nao"
 
Tatizo lipo kwa hao wazazi wawili elitakiwa wamalize hili swala kwa kuwakimia na kuwapa adhabu watoto wote wawili eli iwe fundisho kwa watoto wengine piya tuwafundishe watoto wetu majumbani maana ya kuvumiliana na kuheshimiana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hao watu wengine wamepata nafasi ya kufanya hicho walichokifanya kwa kuwa hawa wazazi wawili walikosa busara ya kumaliza hili swala kwa kuwakanya watoto wao wawe na heshima mbele za watu na imani za wengine

Kuna eneo utakuwa hukuliangalia sawa sawa Katika mada yangu. Inasemekana mtoto alitumwa.
 
Na huyu kaenda shule kidogo anafikiria hivyo, mihadhara mingapi inayosika ikikashifu dini ya kikiristo tena hadharani?
 
MGANGA WA KIENYEJI

Ndugu yangu kunajisi sio tu kitendo cha ngono ni kutia uchafu kitu kitakatifu. Pia MADA inasema mtoto alitumwa. Itakuwa ni busara ikathibitika kuwa hakutumwa kwa kuhojiwa. Inawezekana wewe hukumtuma yeyote lakini unajuaje mwingine? Pia je kulipiza kisasi ni kwa asiyehusika? Ukipigwa na adui yako. Utamlipiza kisasi jirani yako? Kulipiza kama ni sawa je huoni unasema wakristo wajipange kuvamia misikiti?

Hata kama kulipiza kisasi ni sawa basi busara inasema nani alipizwe?

Nilidhani katika mada yangu hakuna chuki ninayichochea ila ninaeleza ukweli juu ya jambo ambalo waislamu wengi wanalifahamu juu ya kikundi kinacholeta vurugu kwa mgongo wa dini. Somalia karibu wote ni waislamu lakini wanaipinga Alshabab. Iraq ni nchi ya kiislamu lakini Alqaida haikubaliki.
 
Last edited by a moderator:
udini udini udini whta is next...

Ulichokisoma ndugu hujakielewa?
Udini ni nini?
Tatizo lililoko mbele yetu halitokani na mchiriku bali linatokana na dini tulizoletewa na wenyewe.
Hizi dini ndizo zinatuchanganya na kutufanya tukose busara na hata akili ya kuzaliwa.Ndicho anachoongelea mwandishi hapo juu.
Mwandishi asante sana kwa ktoa angalizo kwa wahusika.
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiei sikiliza.
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

Inawezekana wewe ndio wakala wa shetani ila hujijui tu! Mbona uzi huu umetulia sana? Umejaa hekima nyingi tofauti na pumba zako! Wewe ndo wale wale Boko Haram!
 
Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?

" Werevu haununuliwi,kama ungekuwa unanaunuliwa wote tungekuwa nao"

Wewe una werevu gani ilhali unaongea upuuzi, a reasonable man discusses a SOURCE and finds a reasonable solution 4 it and not the IMPACT.
 
fahamu ukweli ya kuwa "ukimpokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako utaokoka"

nawaombeni "mpokeeni yesu" utaokoka kimwili na kiroho. Hakuna uzima wa milele bila ya yesu.

Tuache jazba, chuki, tuache hasira, ugomzi sio utatuzi wa changamoto.
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole. Mtoa mada ni mtu mzima na anaelewa anachokiongelea na hapa ametoa utangulizi tu wa anayoyajua. Namshauri asiishie jamiiforum ajipe moyo na aonane uso kwa uso na baadhi ya viongozi wa serikali ambao ni waislam wenye busara atoe taarifa na kuwaomba wachukue hatua. Kwakweli itakuwa ni aibu kubwa kwa dini yenu kwani sasa hivi serikali ni yenu halafu mkiruhusu watu wachache wawavurugie mtaoenekana wa ajabu sana. Tumieni busara katika kulichambua hili swala mkihusisha na yaliyotokea zanzibar. Yule mtoto na mwenzie wanaweza kupelekwa jela ya watoto huko mbeya. Je waislam waliochoma kanisa ni wangapi na watapelekwa wapi? Na je hilo litakuwa jibu?
 
Ee Mwenyezi Mungu tuipushe na haya yanayotokea.Tuletee Amani nchini mwetu tuishi kama familia moja bila kujali Dini,Kabila na hata rangi.Colossians 3:15 "Let the peace of Christ rule in your hearts, since as members of one body you were called to peace. And be thankful."
 
Kwasasa chakufanya makanisa tuweke walinzi na tukimuona mtu ambaye haeleweki anakuja tena na mawe nikumfyatua kiuno tuuu, makanisa yalindwe kwa silaha tena kali!
Punguza jazba mkuu nchi ni ye2 sote
 
Na huyu kaenda shule kidogo anafikiria hivyo, mihadhara mingapi inayosika ikikashifu dini ya kikiristo tena hadharani?

We kichwa chako kinafanya kazi au unafugia nywele 2, hiyo mihadhara unayosema waislam hu2mi hoja and not words the air au hujamuelema msemaji? Sema ueleweshwe bac na co unaropoka!
 
Weye umetoka Iraq nini?si bure kuna anayekulipa uandike izo pumba zako.Ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kuchoma makanisa ya Mungu aliye hai.
 
mimi naombeni mnijuze, huyo mtoto anayesadikiwa kakojolea hicho kitabu nilivyosikia ni kuwa kashawishiwa na mwenzie wakati anacheza, je....huyo mtoto mwenzie wa kiislam aliyemshawishi amechukuliwa hatua gani.....? na kuna anayefahamu ilikuwaje mpaka akamshawishi mwenzie kukojolea.....? alitumwa au....? je wakati anachukua hicho kitabu na kumpa mwenzie akojolee hakuna watu wazima wowote waliokuwepo wakati wa mabishano yao na kuweza kuwasaidia juu ya ubishani wao...? tafadhali anayefahamu awekewazi mambo haya
 
tunashukuru kwa kutufungua macho. nadhani wahusika wafanyie kazikwa kufanya tafiti/uchunguzi wa kina wa suala hili. hii iwe ndio LESSON kwa vurugu za kidini zinazotokea.
 
62 Reactions
Reply
Back
Top Bottom