Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,123
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.

Kwa maelezo yao wanasema kijana huyo amedhalilishwa kwa kuwa ni muislamu.

Wanasema sababu ya kudhalilishwa ni kwamba amehisiwa kutumika kufanya mambo ya ulozi kwenye hoteli ya Paulina Gekul. Wanadai zaidi kwamba watu wasio kuwa waislamu ( dini yao imetajwa) wengi wao wamekuwa na mtazamo hasi kuhusu waislamu na uislamu kwa kuwahusisha kwa.mfano na habari za majini nakadhalika na kwanba kitendo cha kijana huyo kufanyiwa unyama ni kielelezo cha chuki dhidi ya uislamu na waislamu.

Nadhani Soon mtamsikia Profesa Mazinge anaitolea tamko...

Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.
 
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhul...
Mbona hili limeshawafikia waislamu kitambo, hata mama kuchukua hatua za chap chap inadhaniwa ni kwa sababu ya msukumo huo!
 
Kesi ikishakuwa kubwa kiasi hiki itabidi kijana nae amwingize Pauline chupa ya nyuma ili watoke bila, hapo sasa Islamic tutapoa
Hapana cheza na Islamic, tukiamsha wadudu tutatafutana kwa tochi saa saba mchana
 
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.

Kwa maelezo yao wanasema kijana huyo amedhalilishwa kwa kuwa ni muislamu.

Wanasema sababu ya kudhalilishwa ni kwamba amehisiwa kutumika kufanya mambo ya ulozi kwenye hoteli ya Paulina Gekul. Wanadai zaidi kwamba watu wasio kuwa waislamu ( dini yao imetajwa) wengi wao wamekuwa na mtazamo hasi kuhusu waislamu na uislamu kwa kuwahusisha kwa.mfano na habari za majini nakadhalika na kwanba kitendo cha kijana huyo kufanyiwa unyama ni kielelezo cha chuki dhidi ya uislamu na waislamu.

Nadhani Soon mtamsikia Profesa Mazinge anaitolea tamko...

Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.

Moderator naomba msiunganishe uzi huu.
...Imeishakuwa hivyo Tena ? Mbona Kazi !...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.

Kwa maelezo yao wanasema kijana huyo amedhalilishwa kwa kuwa ni muislamu.

Wanasema sababu ya kudhalilishwa ni kwamba amehisiwa kutumika kufanya mambo ya ulozi kwenye hoteli ya Paulina Gekul. Wanadai zaidi kwamba watu wasio kuwa waislamu ( dini yao imetajwa) wengi wao wamekuwa na mtazamo hasi kuhusu waislamu na uislamu kwa kuwahusisha kwa.mfano na habari za majini nakadhalika na kwanba kitendo cha kijana huyo kufanyiwa unyama ni kielelezo cha chuki dhidi ya uislamu na waislamu.

Nadhani Soon mtamsikia Profesa Mazinge anaitolea tamko...

Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.
Baadhi ya waislam wanajua kweli kuudhalilisha uislam. Matokea yake waislam wanaonekana kama watu wenye akili finyu sana.
 
Off-judicial iweje? Why? Kwanini yaani?

We Sema Pauline akamatwe ashtakiwe apandishwe kizimbani.

Kwanini mnataka ya gizani?
 
Baadhi ya waislam wanajua kweli kuudhalilisha uislam. Matokea yake waislam wanaonekana kama watu wenye akili finyu sana.
Sio wanaonekana, wana akili finyu na wengi hawana elimu dunia. Upeo wao ni wa kuvukia barabara tu. Si unaona wanavyofanya mambo ya kipumbavu. Huko Zanzibar watoto wa kiume wanafirwa na wazee huku wanawarekodi hawasemi kwa kuwa Waislam wanawafira watoto wao hilo ni sawa. Yalikuja kulazimisha waoe vitoto vya miaka 13, naona wamenyamaza sasa.

Binafsi, nimewadharau na hata sitaki kuwasikia au kusikia habari zao kwa namna wanavyojenga hoja kwenye issue ya Israel Palestina Kama wapalestina wanaonewa huku hawasemi namna Boko Haram, Pale Burkinafaso na Janjaweed wanaua waafrika wenzao kwa kuwa Muislam anaua Mkristo au muislam mwenzake. Mapuuzi sana haya madudu.
 
Back
Top Bottom