Wameishiwa nini?Risasi au mabomu? Au wameamua kutulia tu kuona kama hali itakuwa mbaya watulize vurugu?Sasa hivi wanafunzi wanaimba parapanda. polisi naona wameishiwa siwasikii tena
kwa kwli leo ni maombolezo tu,nasikia nyimbo za parapanda,ni huzuni kubwa kwa kweli,Polisi wamekuja kututimua tena ndani na wameondoka na maiti,ngoja tuendelee kuomboleza,Emmanuel Ulomi Rest in Peace.
Naunga mkono hoja... Au yy mwenyewe ff abondwe na gari akatwe mguu na mkono kabisaI am being honest kwa maandiko haya naomba Mungu akuonyeshe kwamba kugongwa au ajali si lazima uwe umelewa .Umekashifu naomba uwe mzima ila ushuhudir dada yako au kaka yako tumbo moja agongwe au mama au baba yake afe then utajua nini maana ya mtu kupoteza maisha kwa kugonjwa .Pale shuleni kuna watu kuvuka njia so na madereva wao so rough anaweza kuwa alikuwa anavuka akagongwa .Unawatete polisi wa CCM ? Naomba kabla jogoo hajawika upewe somo la nguvu.
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.
Kuna mgojwa hapa tunashindwa kumpeleka hospitari,mguu umeumia vibaya,polisi wameweka beria asitoke mtu yeyote eneo la chuo.
huo unaoendelea ni unyama tu jaribuni kutumia gate la juu ikishindikana wapelekeeni huyo mgonjwa man.Kuna mgojwa hapa tunashindwa kumpeleka hospitari,mguu umeumia vibaya,polisi wameweka beria asitoke mtu yeyote eneo la chuo.
Mabomu ya machozi hawayapigi hewani wanatulenga nayo hawa makuzi#hainaga kuwira