Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

THE PRINCE

Member
Feb 22, 2011
40
6
Kuna mwanafunzi kagongwa na kufa, wanafunzi wakakusanyika kwa wingi. walipokuja polic wakaanza kupiga mabomu & risasi
 
Na umeme wameamua kuwakatia naona. Poleni wakuu.. Hayo mawe msiyatoe mpaka mwisho
 
Sasa mabomu ni kwasababu gani. Mi nasemaga hawa polisi wetu sio watanzania.
 
Ni kweli aliyegongwa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anasoma education. Mpaka saizi chuo hicho kimekatiwa umeme na polisi kama ilivyo ada yao wanarindimisha risasi ili kukabiliana na vurugu za wanafunzi hao waliofunga barabara.
 
jamani police ni form waliofeli yaani hata ile div four ya ualimu hawakuipata watu hawa hawana option nyingine ni watumwa wa ccm
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.
 
Poleni sana!Lakini na wewe aliyekwambia div 4 ni za ualimu ni nani?Mbona tunaambiwa huyo aliyegongwa alikuwa anasomea ualimu?Inamaana na yeye alipata div 4?Ama tuseme ndio dharau hata kwa huyo marehemu wetu?Ni vema tukafikiri kwanza kidogo kabla ya kuchangia humu.Napata shida kidogo kutambua sijui mwenzetu unafikiri kwa kutumia nini.THINK.
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.

1 + 1=11!!!!!!!!!!
 
UDSM imeingiaje hapo?
 
Kwa mujibu wa vyanzo vilivyopo hapo, vurugu hizo hazitaisha leo kwani hii siyo mara ya kwanza kwa kwa mwanafunzi kugongwa hapo. Wanataka matuta na siyo zebra ambazo madereva wetu vichwa ngumu hawaziheshimu au kuzingatia.
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.

wewe kweli twahira!mwaka wenu huu hadi mkimbilie uhamishoni.siku zinahesabika.
 
serikali ingehamishia nguvu kwa waujumu wa uchumi tungekuwa mbali yani sasa wameamua kupambana na wasoni mh!
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.
Hivi wewe una ubongo wa binadamu kweli? Si amini hata kidogo! Acha níishie hapo,damit!
 
Back
Top Bottom