Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

Sio ugomvi wa polisi na Machinga, CDM, wanausika wao ndio wanaongoza Mkoa wa Mwanza wameshindwa kuwaondoa machinga
We acha kukurupuka hili suala la machinga na polisi halijaanza leo, mwaka 2006 kuna wengine waliuwawa sasa unataka kusema nini. Wewe unachofanya humu ni kuichafua cdm tu.
 
Uijui Mwanza wewe, ukishika Nyamagana na Ilemela umeushika Mkoa wa Mwanza! Punguza mbege Latifa

narudia tena .... haujui hata tofauti ya mkoa wa mwanza na jiji la mwanza

assumptions za kitoto;

kilaza wewe .... big shame

mkoa wa mwanza: geita,misungwi, magu,sengerema, mwaza(Ilemela & nyamagana), ukerewe, kwimba
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nchi hii inaona mabwege na watu wengi wenye vichwa vilivyojaa ukoko mtupu na tope badala ya ubongo. Hakika wewe ni kiongozi wao. Hongera sana kwa hilo kwani linakusaidia kuongea upuuzi wako na kuthibitisha jinsi akili yako ilivyokaa upande. Ni wasi wasi wangu akili hiyo umeikopi kwenye kichwa cha Iddi Amini kisha ukaipaste kwenye kichwa chako.
 
Hayo ndo yametukuta wakazi wa jiji la Mwanza. Kwa wale walologwa wanailalamikia CDM, lakini sijasikia kiongozi wa CDm akiwambia wamachinga kuanzisha fujo. Tambueni kuwa kwenye njaa na dhiki huwa hakuna upambe, ni namna mtu anavyoguswa na haki zake ndo anaanza kuzidai.

Pili wengi walokuwa wakirusha mawe wala si wafanyabiashara wadogo maarufu kama mamachinga, tumeshuhudia baadhi ya wamachinga wakisaidia kukamata vibaka kwa mikono yao na kuwafikisha polisi. Hivyo walokuwa wakirusha mawe ni vibaka na watoto wa Mazingira magumu.
 
nimepigwa risasi ya mguu tunafanya utaratibu wa kwenda hospitak

Nimemsikia Waziri Kagasheki akiongea katika taarifa ya habari ya TBC usiku wa saa mbili kuwa hakuna mtu aliyekufariki dunia kutokana na fujo hizo. Kuwa polisi hawahusiki ila wapo waliojeruhiwa kutokana na kurushiana mawe.... Je kuna ukweli gani kuhusu kauli yake?
 
narudia tena .... haujui hata tofauti ya mkoa wa mwanza na jiji la mwanza assumptions za kitoto; kilaza wewe .... big shamemkoa wa mwanza: geita,misungwi, magu,sengerema, mwaza(Ilemela & nyamagana), ukerewe, kwimba
Ahahaha! kilaza Latifa, Geita ni Mkoa sio wilaya, nimecheka leo
 
Nimeshangaa kusikia naibu waziri wa mambo ya ndani aliposema hakuna aliyekufa katika vurugu kati ya polisi na wamachinga, mwanza. Nimeogopa wakati kuna walio mwanza wanadai wapo walio kufa katika vurugu hizo.
 
Ahahaha! kilaza Latifa, Geita ni Mkoa sio wilaya, nimecheka leo

usipotezee ..... umechemka......sijataja wilaya ... nimetaja baadhi tu ya majimbo ya uchaguzi ya mkoa wa Mwanza ambayo huunda councils

tatizo la ukilaza hili ... eti mkoa wa mwanza ni Ilemela na Nyamagana

puke .... disparity of the mental order

elimu ya ngumbaru hii
 
Hao ndio magamba. Kwa kuficha mambo hata kama yako wazi ndo wenyewe. Ukweli utadhihirika tu hata wafiche vipi.
 
Kamanda silo ameshasema chanzo ni wanasiasa,ila hajataja chamasosi: tymes fm
Hayo ndo yametukuta wakazi wa jiji la Mwanza. Kwa wale walologwa wanailalamikia CDM, lakini sijasikia kiongozi wa CDm akiwambia wamachinga kuanzisha fujo. Tambueni kuwa kwenye njaa na dhiki huwa hakuna upambe, ni namna mtu anavyoguswa na haki zake ndo anaanza kuzidai. Pili wengi walokuwa wakirusha mawe wala si wafanyabiashara wadogo maarufu kama mamachinga, tumeshuhudia baadhi ya wamachinga wakisaidia kukamata vibaka kwa mikono yao na kuwafikisha polisi. Hivyo walokuwa wakirusha mawe ni vibaka na watoto wa Mazingira magumu.
 
narudia tena .... haujui hata tofauti ya mkoa wa mwanza na jiji la mwanza assumptions za kitoto; kilaza wewe .... big shamemkoa wa mwanza: geita,misungwi, magu,sengerema, mwaza(Ilemela & nyamagana), ukerewe, kwimba
Nakufahamisha Latifa ukae ukijua. Geita ni mkoa kwa ukilaza wako umeutaja kama wilaya ndio maana nimecheka..Ha!ha!
 
mkoa jina tu, nitajie mkuu wa mkoa wa geita au knye bunge la budget umesikia budget ya mkoa wa geita?

huyu hajui tofauti ya mkoa, jiji na jimbo la uchaguzi ....! huyu ni shabiki ..... stereotype with disparity of the mental order
...
 
Nakufahamisha Latifa ukae ukijua. Geita ni mkoa kwa ukilaza wako umeutaja kama wilaya ndio maana nimecheka..Ha!ha!

usipotezee ..... umechemka......sijataja wilaya ... nimetaja baadhi tu ya majimbo ya uchaguzi ya mkoa wa Mwanza ambayo huunda councils

tatizo la ukilaza hili ... eti mkoa wa mwanza ni Ilemela na Nyamagana

puke .... disparity of the mental order

elimu ya ngumbaru hii
 
Back
Top Bottom