Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

Asante MUNGU VITA DHIDI YA MAPONJORO IMEANZA,GOOO.....GOOOOOO ....GOOOOO MAPONJORO....BOMBAY IZ WAITING FOR U LEAVE OUR NATION U PONJORO LEAVE IT......
...Baniani mbaya kiatu chake dawa!
Mlikuwa na viwanda mkaviuwa! sera zilikuwa hizohizo za kuwakataa maponjoro! Mkawa na viwanda vyenu, baada ya muda mkavifisidi na mkarudi kulekule mlikotoka! Leo maponjoro wamewapa ajira zenye ujira mdogo ambazo hamkuzikataa awali kwa sababu ya shida zenu za wakati huo mnawaona hawafai!!! Je waliondoka wale walioajiriwa nao mtamudu kuwaajiri? Je mtamudu kuendeleza yale mnayodhani yanafaa kwa taifa hili?
Kweli mkimaliza maponjoro watafuata wapemba.. na baada ya wapemba watafuata wachagga, sijui baada ya hapo matumbi na wakinga kama watapona!

Kaubaguzi kananyemelea watanzania... ambao wengi wao hawajawahi hata kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, ambao hawajui wakishalichokonoa watakuwa wakimbizi wa wapi.... Rahisi sana kuvuruga mambo lakini si rahisi kuyarejesha katika hali yake... HAYA SHIME WANANCHI HIMIZANENI!!!
 
shukran kwa picha na taarifa Mkuu, unakidhi vigezo vya unandishi bora
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom