Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hahahaaah ha ha ha ah watest waone.... ni moja ya trick nzuri za kujicontrol
Ukijigongea mara moja ikakutesa lazma ulie hasa unapopata email kuwa mtu kachangia topic fulan halafu wewe huwezi kuchangia hadi masaa matano yaishe....
Hahahaaa itakulaje kwako