voluntarily BAN

ah ha ha ha ah watest waone.... ni moja ya trick nzuri za kujicontrol
Hahahaa
Ukijigongea mara moja ikakutesa lazma ulie hasa unapopata email kuwa mtu kachangia topic fulan halafu wewe huwezi kuchangia hadi masaa matano yaishe....
Hahahaaa itakulaje kwako
 
Usumbufu kwa Mods kuandamana kutaka hiyo module mpya......
Abuse gani we dogo?
Teh

Mods wanajua kuwa JF ni home of great thinkers so sometimes they have to get advices kutoka kwenye majukwaa husika kama hapa, halafu na wanajua kuwa Nchi hii inahitaji watu wafanye kazi zaidi kuliko kuishia JF tu.

Nzuri sana hii kitu

Mods kama mpo nitashukuru mkilishughulikia hili
 
Hivi mtu kama una kazi zako muhimu kweli utaacha kufanya uanze kuperuzi jf? Acheni masihara.
 
...SS
please say this is a BIG joke..!ntakua sikutafti huku shy!...naingia shinyanga sasa!
 
Hizi cku mbili tatu zilizopita mkonga wao wa fiber optic ulivyokuwa umezingua aiiiseee nlihisi kama nimefungiwa mlango wa peponi vile..
I can't pass a day bila kushinda humu JF..
 
Back
Top Bottom