Mbeya: Mdude Nyagali agoma kutoa vifaa vya Kieletroniki Ofisi ya Upelelezi kutokana na uwepo wa Historia Mbaya ya kuwekewa Madawa ya kulevya na Polisi

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,554
Julai 17, 2023 RCO Mbeya aliandika barua yenye wito wa kumtaka Mdude Nyagali kutoa vifaa vyake vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi.

IMG_8064.jpeg

YAH: WITO WA KUKABIDHI VIELELEZO SIMU NA VIFAA VYA KIELETRONIKI JALADA: MBR/IR/285 /2023

KOSA: JALADA LA UCHUNGUZI

(Imetolewa chini ya K/F 10 (2) na 10 (2A) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai Sura va 20 Marejeo ya mwaka 2022).

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Ofisi hi inafanya uchunguzi kuhusia na kauli/machapisho uliyoyatoa tarehe 09.07.2023 a kisha kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Ofisi hii inakutaka uwasilishe simu zako na vifaa vya kieletroniki unavyovitumia kwenye mitandao ya kijamii katika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Mbeva tarehe 18/07/2023 saa 09:00 asubuhi bila kukosa kwa ajili ya kukamilisha uchunguzi wet.

Nawasilisha kwa utekelezaji.

===​

Akijibu barua hiyo, Mdude amesema Jeshi la Polisi lilihusika kuandaa njama na kuweka madawa ya kulevya ili afungwe kifungo cha maisha jela, hivyo hana imani na jeshi la polisi na atawapa ushirikiano pale tu ambapo Mahakama itatoa amri ya kufanya hivyo.

IMG_8065.jpeg
IMG_8066.jpeg

REJEA BARUA YA WITO YENYE KUMBUKUMBU NA. MBR/CIDIB.I.23/VOL. VII|284
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nimepokea wito wako uliotolewa chini ya kifungu cha 10(2) na (102A) Cha sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Katika Barua hivo umenitaka kuwasilisha simu zangu na Vifaa vya electronic ninavyotumia katika Mitandao va kijamii.

Kufuatia barua hivo na kwa kulinda haki zangu za Kikatiba na Kishera, nakujibu ifuatavyo;
  1. Kwamba mnamo Tarehe 14 Mwezi Julai, 2023 ulinikamata na kuniweka kizuizini kinvume cha sheria bila kunieleza tuhuma zinazonikabili na kuninyima dhamana aidha ukijua ni kinyume cha sheria ulikuja kunitaka kuandika maelezo yangu Mnamo tarehe 16 Julai 2023 Saanane mchana Kinyume cha sheria Jambo ambalo nilikataa na kukueleza kuwa nitatoa maelezo yangu Mahakamani.
  2. Kwamba Nikiwa Kizuizini kinyume cha sheria mnamo Usiku wa Tarche 17 mwezi Julai 2023 Majira ya saa Nne na Nusu Usiku uliruhusu nitolewe kwa dhamana lakini katika hali ya Kushangaza na kustaajabisha nikiwa natolewa mahabusu nikakabidhiwa barua inavonitaka kwambo nikabidhi vifaa vyangu vyote unavyodai ni vya kielectoriki kwako kwa ajili ya uchunguzi kwa maelezo ya jumla jumla bila kubainisha unachotaka kuchunguza
  3. Kwamba Unafahamu kwamba wewe ulihusika kunibambikia madawa ya kulevya ulipokuja nyumbani kwangu kwa madai ya kufanya upekuzi Mwaka 2020 kwa kesi va uchochezi kwenve mitandao ya kijamii ili nifungwe na sasa unaonekana kuwa na jitihada kubwa za kuendeleza dhamira yako ovu dhidi yangu na ni msimamo wangu kwamba kupitia matendo yako hakuna namna ambavyo naweza kuamini amri yeyote kutoka kwako kwasababu ya changamoto ya Uadilifu wako na usalama wangu.
Kwasababu nilizozitaja hapo Juu nakujulisha kwamba kama kuna kifaa chochote kitakachohitajika kwa uchunguzi kama unavyodai basi kidaiwe kupitia Mahakama na kwamba Ombi hilo libainishe kwa fasaha maeneo unayotaka kuchunguza na lifanyike kwa kibali cha mahakama kwani kama uliveza kuweka madawa ya kulevya Nyumbani kwangu ili nifungwe hautashindwa kabisa kuingiza jambo au kitu chochote kwenye kifaa changua kwa nia ovu.

Niko tayari kutoa ushirikiano katika Uchunguzi huu unaodai kuufanya lakini ufanyike chini ya uangalizi wa Mahakama au kibali cha Mahakama ili kunihakikishia usalama wangu kwasababu nilizo zibainisha hapo juu

Pamoja na barua naambatisha barua ya Wito huo kwa Urahisi wa rejea kaa nilio wapa nakala

Pia soma: Mbeya: Mdude Nyagali agoma kupekuliwa na Polisi Nyumbani kwake adai mwanzo walimuwekea madawa ya kulevya
 
Julai 17, 2023 RCO Mbeya aliandika barua yenye wito wa kumtaka Mdude Nyagali kutoa vifaa vyake vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi.

View attachment 2692259

View attachment 2692268View attachment 2692269

Naona kama utawala wa Magufuli una rudi kwa kasi.
Kutishana, kuwekana ndani, kupotezwa, kuuwawa... Mama ana elekea pabaya. Au ni chawa wako kwenye mapindo ya nguo za mama??
 
Nchi imefika patamu sana !
 
Kuna muda Mdude anakuwa na akili
 
Naona kama utawala wa Magufuli una rudi kwa kasi.
Kutishana, kuwekana ndani, kupotezwa, kuuwawa... Mama ana elekea pabaya. Au ni chawa wako kwenye mapindo ya nguo za mama??
Chawa wote wanamshauri mama wa bandari kuwa afanye kama alivyokuwa anafanya dhalimu. Wanamwambia bila hivyo nchi itamshinda. Na yeye ameshakata pumzi hivyo hana namna lazima atumie dhalimu style.
 
Hivi haya yote ni kwa sababu.ya bandari au kuna mengine tunafichwa? Polisi wamekuwaje hawa?
 
Back
Top Bottom