zomba, ina maana kati ya wabunge wote only kamati ya miundo mbinu na Spika ndio wamejiunga na 'post paid' services?
Hiyo ndio niliyokwambia "targeted marketing", wakati una budget ya "promotion" ya kiasi fulani ambayo haitoshi kwa bunge zima, una prioritize target yako na unaifanya kuwa ni "directional promotion", na kuna vigezo vingi, kwa sasa wameona target nzuri ni hiyo.
Hiyo si rushwa hata kidogo. Hiyo ni pure promotion. Ni kama vile wauza Beer za Serengeti au Kilimanjaro wanapochaguwa bar fulani wakafanye promotion na kugawa vinywaji vya bure, kwanini hawagawi bar zote? Hiyo ni "directional promotion".
targeted marketing inaweza kuwa bribery?
Basically Hawa Voda through M pesa Wamepora Kabisa Kazi za mabenk ambao wengi ni walipa Kodi!! Mbaya zaidi hawa mabwana Hawalipi Kabisa Kodi Kwenye Hiyo Biashara!! Hawa Watunga Budget wamekaa tu hawaoni hata Hiyo ni big source ya Mapato / Kodi!! Tangu lini mlipakodi halali anakwenda Bungeni Kuwapooza Wabunge?? Hapa Ujue Kuna Wizi mkubwa sana!! Mbona sijawaona Airtel wala TBL Wakijipendekeza Bungeni ili hali ni walipakodi Wakubwa!! Shame on this people!! Wanatoa Vinawati Hamsini na kukwepa kodi ya Mabilioni!!
Haiwezi.
mmh.sijui kama kwelikwelii,jamani hawa vodacom c wangewapa japo manesi au maaskari zikawasaidia ktk utendaji kazi wao!?
Kwa nini haiwezi?
Kwa sababu rushwa ni rushwa na poromosheni ni poromosheni.
Ni wakati gani poromosheni (I think unaamanisha promotion) inakuwa na elements za rushwa?
Hakuna elementi kwenye poromosheni. Rushwa ni rushwa.
Vodacom hata mimi wananipa simu mpya kila mwaka mwaka wa nne huu, kwa sasa ni BB ya tatu na kila wakinipa simu mpya wananipa na maongezi ya bure. Kwa kuwa ni mteja wao mzuri na hawataki nihame.
Dunia zingine sasa hivi simu ni bure bora utumie mtandao wao tu, kwa sasa hapa kwetu zinakwenda kwa "targeted market" lakini itafika huko kwa bure kwa wote ushindani ukizidi. Biashara ni matangazo, ujuwe hizo zinatoka kwenye bajeti yao ya matangazo, hiyo inaitwa "directional promotion" na si hongo hilo.
Wadanganye wasiojua wewe, na ushindwe na ulegee
Ndio maana nilimtaka aeleze tofauti kati ya rushwa & promotion. But so far naona analeta ngonjera.