Vodacom ofa haijawahi tokea!!!!!!!!!!

Jamani hiyo ya kuunga namba moja ambayo unakatwa sh.75 hebu tuelewesheni na sie wengine tuifahamu ili kazi iwe kwetu, kupiga tuuu mwaa mwiii.
 
sina hakika kama nikitoa njia itakubari maana nahisi kila line ina njia yake ya kujiunga kwasababu line yangu moja najiunga kwa kupiga *802*1*number ya simu# na line nyngne najiunga kwa kupiga *801*1*number ya simu# na dogo pia ana njia yake ya kujiunga na nishampa mtu ikakataa so jaribuni kama itakubari mtaniambia
 
Wanakimbiza sana kwa ma promo kwa sasa tangi aingie yule Rene Meza waliesema kiboko ya wadhungu!!wale wa kuiga iga kazi wanayo sasa twasubiria tupige simu bure week nzima ijayo unalipa 1000 tu!!
 
Vodacom irekebishe mtandao wake wa internet. Napenda kutumia Vodacom lakini internet yake ni shida. Hizo mb wanazotoa unaweza kuwa nazo siku nzima zisifanye kazi yoyote. Network inaonyesha iko active lakini ukifungua website haifungui chochote. Nimeamua kwa wahindi airtel japo sipendi kwani mhindi sipendi chochote anachokifanya kwa sababu ya ubaguzi wao. Vodacom mjirekebishe.
 
sina hakika kama nikitoa njia itakubari maana nahisi kila line ina njia yake ya kujiunga kwasababu line yangu moja najiunga kwa kupiga *802*1*number ya simu# na line nyngne najiunga kwa kupiga *801*1*number ya simu# na dogo pia ana njia yake ya kujiunga na nishampa mtu ikakataa so jaribuni kama itakubari mtaniambia

thanks mkuu, ngoja ntatest pengine itakubali. Kweli nimeamini Hakunaga kama voda inji hii.
 
Mkuu hiyo njia ni kwako tu,lakini voda wako vizuri kwa cheka mpya.
 
Voda bado wana tatizo moja kubwa kwenye hizo dakika wanazotoa. Wanahesabu dakika ambazo hazikamiliki, ukiongea hata sekunde moja wanakata dakika moja. Kwa hiyo kama una dakika 15 ukiongea na watu 15 kila mtu sekunde 1 inamaanisha dakika 15 zimeisha.
 
Jamani sasa hivi Voda wako juu. Kuna jamaa wao fulani nilikuwa naongea naye akikanifundisha kuwa ukitaka kupata promosheni zao zote na jinsi ya kujiunga unapiga **149*01#. Nilikuwa nasumbuka sana na hizi network za kufa uwongo.
 
Mkuu inatakiwa kuwa hivi *149*01#
 
watoze kwa sekunde kama tigo, sio unapiga simu sekunde 2 wanakata dakika nzima
 
2224276530.png
nimependa speed ya internet
 
voda bhana ndo mana sipendi they are not friendly with customers thats y we not royal to them! i like tigo coz of huge unbelievable offers n their real llong lasting first in market duh! big up tigo! now ur 1st runner after voda! soon u will win! if you want to b a leader b first in every aspects situations thaat hv compe advtge
 
Back
Top Bottom