Vodacom ofa haijawahi tokea!!!!!!!!!!

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
Wadau Vodacom wametoa ofa ya kumfanya mtu awe kiziwi kwa kuongea na simu.

Wanaiita SUPA CHEKA(MPYA) Piga *149*01=
Tsh 100=sms 10
Tsh 200=dk 10,sms 25,10Mb
Tsh 300=dk 20,sms 20,50 Mb
Tsh 400=dk 30,sms 100,50Mb
Zote ni promosheni ya kutumika ndani ya siku moja mpaka 11:59pm

Kazi ni kwako!!!<b>
 
na bado wana kipromoshen chao kingine unaunga namba 1 unayotaka kila siku kwa shilling 75 unaipgia kwa masaa 24. Yani nikiungaa namba muda huu ntakatwa tshs 75 na ntaweza ipgia kuanzia muda huu mpaka kesho muda niliiunga.
 
vodaaaaaaaa yangu...niachen tuu..najua niliko toka nayo...ILAFYU FODACOM
 
na bado wana kipromoshen chao kingine unaunga namba 1 unayotaka kila siku kwa shilling 75 unaipgia kwa masaa 24. Yani nikiungaa namba muda huu ntakatwa tshs 75 na ntaweza ipgia kuanzia muda huu mpaka kesho muda niliiunga.
unaungaje mkuu
 
Mkuu hebu weka hapa kanuni ya kujiunga na hako kapromosheni!
 
Naona hizi ofa ndio zimesababisha mtandao wa voda kuanza kuwa kama wa Tigo.. Jana na leo nimepata shida sana voda.. Network kama niko Mpitimbi..!
 
Wadau Vodacom wametoa ofa ya kumfanya mtu awe kiziwi kwa kuongea na simu.

Wanaiita SUPA CHEKA(MPYA) Piga *149*01=
Tsh 100=sms 10
Tsh 200=dk 10,sms 25,10Mb
Tsh 300=dk 20,sms 20,50 Mb
Tsh 400=dk 30,sms 100,50Mb
Zote ni promosheni ya kutumika ndani ya siku moja mpaka 11:59pm

Kazi ni kwako!!!<b>

wameborosha lakn, wachache tunafaid zle za kumuunga mtu mmoja kwa Tsh 75, kwa cku yan mda wowote
 
na bado wana kipromoshen chao kingine unaunga namba 1 unayotaka kila siku kwa shilling 75 unaipgia kwa masaa 24. Yani nikiungaa namba muda huu ntakatwa tshs 75 na ntaweza ipgia kuanzia muda huu mpaka kesho muda niliiunga.

We shs 150 sio 75.
 
Back
Top Bottom