Waraka kwa Vodacom Tanzania

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
WARAKA KWA VODACOM TANZANIA​
Kutoka kwa: Mteja wao mpendwa At Calvary

Habari ya wakati huu wana JamiiForums!
Natumaini mnafanya vyema.

Nimeyaandika haya kwa masikitiko makubwa kwa kile ambacho Vodacom Tanzania wamenifanyia mimi mteja wao mpendwa wa siku nyingi nimekuwa nukiwatumia mara kadhaa. Ila, kwa walichonifanyia hakika yamenifika hapa mpaka nimeamua niseme. Dah naumia kinoma na nimeboeka sana.

UTANGULIZI
Stori iko hivi, mnamo tarehe 15 mpaka 20 Novemba 2019 nilikwenda kununua simu ambayo walikuwa wakiipigia promo inaitwa smart kitochi kwenye moja ya vodashop yao iliyoko hapa mjini daressalaam. Mpaka ninafikia maamuzi ya kununua hiyo simu ilikuwa hivi. Mwanzo kabisa kuzisikia hizo simu ilikuwa nimesikia tangazo kutoka tigo kwamba simu ya sijui kitochi 4g yenye uwezo wa 4g halafu ni batani inauzwa sh 49000 mimi nikavutiwa nayo nikajisemea lazima ninunue.
Sasa wao tigo walikuwa wanasema kwamba kuna kupreorder, pia unaweza ukawapigia watoa huduma wao kwa maelezo zaidi.
Lakini before sijafanya hivyo nikasikia pia vodacom Tanzania wako na hiyo simu kwa sababu huduma za Vodacom Tanzania ninazielewa nikajisemea kumbe nitanunua hiyo. But before kununua simu ya Vodacom Tanzania niliwapigia simu Tigo Tanzania kuuliza utaratibu wa kupreorder unafanyikaje yule dada akanambia kwamba, unaenda Tigo Shop yoyote iliyopo nchini and then unadeposit 20000Tsh then unapewa document siku simu ikifika unaenda na hiyo document yao, unamalizia kiasi kilichobaki halafu unapewa simu na offer. Baada ya kusikia hivyo ni give up kupreorder kwa sababu in my mind nilijua ukipreorder amount itapungua nikajisemea hakuna kwa sababu vodacom Tanzania wanazo hizo simu na hakuna kupreorder nikaona bora kununua hiyo.
Lakini, baada ya siku kadhaa kuna mdau humu jukwaani kule tech aliziulizia hizo simu kuhusu sifa zake ili aweze kuamua ipi ni bora kati ya hizo na mimi nkifanikiwa kuona hivyo. Kitu kilichonisurprise ni simu ya vodacom Tanzania kuna mdau mmoja alisema sio 4g, lakini bad enough pia muda wa kupreorder Tigo ukawa umeisha.
Ikanibidi nibadili maamuzi niende Tigo Tanzania kuulizia hio bidhaa cha kusikitisha wakanambia hizo simu zinztolewa kwa wateja ambao walipreorder mpaka waishe. Nikawa sina jinsi ikanibidi nikanunue hiyohyo 3g ya Vodacom Tanzania.
Sasa mnamo tarehe 15 mpaka 20 Novemba 2019 nikaenda vodashop ili kununua simu nilifanikiwa japo kwa kuhustle kutokana na siku nilizokwenda mara kumefungwa au muda umeenda.
Nilipoinunua nikatoa Tsh48000 nikapewa risiti ikabidi niulize kuhusu offerwakaniambia unaandika neno ZAWADI kwenda 15... unatuma kwenda hiyo namba halafu ofa yako watakutumia. Ila akasema hawezi kuguarantee muda gani ndio wanaweza kufanya hivyo, nikasema poa nikachukua mzigo wangu nikasepa.
Sasa bhana wenge langu mpaka saa tatu usiku nikiangalia sioni ofa yangu ikabidi niwapigie huduma kwa wateja, wakaniambia kama bado huoni ofa yako inabidi urudi duka walilokuuzia simu. Mimi nikamwambia lakini nyie si ndio watoa huduma. Akasema fuata nilivyosema, nikasema poa ila sio fea nikakata simu huku nikitukana kimoyomoyo. Baada ya muda fulani hivi nikaona sms yao ya vodacom Tanzania imeingia inasema imei haiko kwenye offa dadeki nilimaindi ikabidi nitumie laini nyingine kwenye simu 2 majibu baada ya muda yakawa yale yale nikahamishia simu 2 wakaniambia tayari imei sijui imepokea offa. Lakini wakati laini iliyokuwa simu 1, nilitoa kwa hasira baada ya kuniambia vile.
Nikajisemea lazima nipate haki yangu nitafuatilia nione mwisho wake ni la sivyo nitaandika waraka wa malalamiko kwao vodacom Tanzania kwa huduma mbovu nikisisitiza wasinunue simu zao kwa sababu ni waongo si wakweli.
Another day ikabidi niende kwenye duka waliloniuzia simu niliulize ii mambo imekaaje. Nao hawakujua imeakaaje akasema kesho tutashughulikia mwenyewe hayupo sijui kaenda kwenye kikao vodacom Tanzania. Akaandika namba yangu na mimi nikachukua yake. Nikarudi ninakoishi nikasema embu niiweke ile laini huenda watakuwa wametuma huko. Kuangalia salio kumbe wameshaweka tayari nikaapologize kwa kuwa na pupa.
Lakini surprising enough ukiangalia video kidogo bundle inaenda kaa haina akili nzuri.
MALALAMIKO
vodacom Tanzania
Nimeamua kuyaandika haya baada ya siku ya Novemba 30, 2019. Nikiwa naangalia facebook video kwenye ukurasa wa BBC kuhusu mwanamama mmoja anaishi na virusi vya UKIMWI sijui anaitwa Feni anaemuhoji alikuwa Anne kipindi ni waridi kama sijakosea. Video hiyo ilikuwa na dakika 54 hivi nikawa naangalia bila alafu nikiwa na MB zaidi ya miatatu kwenye simu za data. Cha kushangaza na kusikitisha video nimetazama hata dakika kumi naimani hazijaisha hata kama nimeangalia zaidi ya hapo sidhani kama MB zaidi ya miatatu zikaisha ndani ya muda huo. Maana hata simu yenyewe niliyokuwa natumia sidhani kama inauwezo wa kutumia bundle. Labda ningekuwa ninatumia ni S10+ ingekuwa sawa, sasa smart kitochi itumie MB zaidi ya 300 within 10mins. Mmmmmmmhh! Aaaaaaarrrrrgggghhhh! Mpaka napata hasira. Kweli vodacom Tanzania mnisaidie mniambie kwamba hilo linawezekanaje kwa lugha friendly kabisa.
MASWALI
vodacom Tanzania
  • Naomba mniambie inawezekanaje ukatumia MB zaidi ya 300 ndani ya dakika 10 kuangalia facebook video na zikaisha. Nahitaji maelezo please hata msiponijibu mnaweza mkajirekebisha.
  • Pia ni kwa nini hamkunitumia taarifa ya tahadhari kama mnavyofanyaga ukinunua bando kwamba unasikia sms io umebakia na MB 200 baadae tena umebakiwa na MB 100 then MB50 then MB25. Ndio mmalizie umeishiwa.
  • Cha ajabu eti nakuta sms inaingia eti sijui you have finished your free MBs, whaaaat! Kwa nini wakati zinakaribia kuisha hamkusema mkasubiri mpaka ziishe ntashindwaje kusema nyinyi waizi?
  • Pia namuuliza mtoa huduma wenu anabaki anakenue mara ooh mda labda utakuwa umekwisha yaani limexpire, mara zima simu. Hana jibu la kuridhisha mimi nilitaka ufanunuzi MBs zimetumikaje haraka hivyo. Mara oooh umebakiwa na MB chache sana namuuliza ngapi anazungukazunguka baadae ananiambia eti saba wakati mimi nikiangalia naona 0MB.
  • Pia kuna MB kama 3072 mmenipea kwenye hio offa ya kununua simu ya smart kitochi. Mniambie naweza kuzitumiaje maana mara kwa mara naingia facebook ila zenyewe tangu mmenipea hazipungui. Au ni danganya toto tu ya kukamilish GB 4 kwa mwezi kumbe hakuna lolote.
  • Pia kuna hili nimeliona kwenye offa zenu japokuwa haliusiani na malalamiko yangu nalisema nalo. Mnatabia mkitoa free mins kama mtu kaongea mnatumia floor kukata dakika is not fine.
  • Mpaka nimechoka nina mengi kinoma.
USHAURI
vodacom Tanzania
  • Kama mnaona mkitoa offa zinawauma ni bora msitoe tu kuliko kuhadaa watu.
  • Alafu kwenye customer care muajiri watu waliocompetent kwenye TEHAMA.
  • Na pia mtu akinunua simu isichukue zaidi ya saa moja hajapata offa yake. Mbona vifurushi vya kununua mko punctual vizuri. Pia muwe punctual kama bando inavyoexpire kutuma sms ya umeishiwa.....
  • Eti mnaniambia nirudi dukani nilikonunua? Kwani nyie humuwezi kutambua kama simu hii ni yetu ama la?
  • na kuna hii mnaweza mkafanya mutengeneze na laini za haliishi kwa wateja wanaolaumu kuhusu expire of bundle. :D :D
Aaaaazaarrrrrrrhhhhggggghhh:mad::mad::mad::mad::mad:! Nimeumia sana mpaka nimeandika haya.

Apologize kwa wasomaji
Huenda sijapangilia vyema waraka huu naomba mnisamehe.
Na kama imekuwa too long msamaha wenu please.
Nawatakia utendaji mwema wa kazi.

Muwe na siku njema. At Calvary.

Nakala kwa: vodacom Tanzania
CC: vodacom Tanzania
 
WARAKA KWA VODACOM TANZANIA​
Kutoka kwa: Mteja wao mpendwa At Calvary

Habari ya wakati huu wana JamiiForums!
Natumaini mnafanya vyema.

Nimeyaandika haya kwa masikitiko makubwa kwa kile ambacho Vodacom Tanzania wamenifanyia mimi mteja wao mpendwa wa siku nyingi nimekuwa nukiwatumia mara kadhaa. Ila, kwa walichonifanyia hakika yamenifika hapa mpaka nimeamua niseme. Dah naumia kinoma na nimeboeka sana.

UTANGULIZI
Stori iko hivi, mnamo tarehe 15 mpaka 20 Novemba 2019 nilikwenda kununua simu ambayo walikuwa wakiipigia promo inaitwa smart kitochi kwenye moja ya vodashop yao iliyoko hapa mjini daressalaam. Mpaka ninafikia maamuzi ya kununua hiyo simu ilikuwa hivi. Mwanzo kabisa kuzisikia hizo simu ilikuwa nimesikia tangazo kutoka tigo kwamba simu ya sijui kitochi 4g yenye uwezo wa 4g halafu ni batani inauzwa sh 49000 mimi nikavutiwa nayo nikajisemea lazima ninunue.
Sasa wao tigo walikuwa wanasema kwamba kuna kupreorder, pia unaweza ukawapigia watoa huduma wao kwa maelezo zaidi.
Lakini before sijafanya hivyo nikasikia pia vodacom Tanzania wako na hiyo simu kwa sababu huduma za Vodacom Tanzania ninazielewa nikajisemea kumbe nitanunua hiyo. But before kununua simu ya Vodacom Tanzania niliwapigia simu Tigo Tanzania kuuliza utaratibu wa kupreorder unafanyikaje yule dada akanambia kwamba, unaenda Tigo Shop yoyote iliyopo nchini and then unadeposit 20000Tsh then unapewa document siku simu ikifika unaenda na hiyo document yao, unamalizia kiasi kilichobaki halafu unapewa simu na offer. Baada ya kusikia hivyo ni give up kupreorder kwa sababu in my mind nilijua ukipreorder amount itapungua nikajisemea hakuna kwa sababu vodacom Tanzania wanazo hizo simu na hakuna kupreorder nikaona bora kununua hiyo.
Lakini, baada ya siku kadhaa kuna mdau humu jukwaani kule tech aliziulizia hizo simu kuhusu sifa zake ili aweze kuamua ipi ni bora kati ya hizo na mimi nkifanikiwa kuona hivyo. Kitu kilichonisurprise ni simu ya vodacom Tanzania kuna mdau mmoja alisema sio 4g, lakini bad enough pia muda wa kupreorder Tigo ukawa umeisha.
Ikanibidi nibadili maamuzi niende Tigo Tanzania kuulizia hio bidhaa cha kusikitisha wakanambia hizo simu zinztolewa kwa wateja ambao walipreorder mpaka waishe. Nikawa sina jinsi ikanibidi nikanunue hiyohyo 3g ya Vodacom Tanzania.
Sasa mnamo tarehe 15 mpaka 20 Novemba 2019 nikaenda vodashop ili kununua simu nilifanikiwa japo kwa kuhustle kutokana na siku nilizokwenda mara kumefungwa au muda umeenda.
Nilipoinunua nikatoa Tsh48000 nikapewa risiti ikabidi niulize kuhusu offerwakaniambia unaandika neno ZAWADI kwenda 15... unatuma kwenda hiyo namba halafu ofa yako watakutumia. Ila akasema hawezi kuguarantee muda gani ndio wanaweza kufanya hivyo, nikasema poa nikachukua mzigo wangu nikasepa.
Sasa bhana wenge langu mpaka saa tatu usiku nikiangalia sioni ofa yangu ikabidi niwapigie huduma kwa wateja, wakaniambia kama bado huoni ofa yako inabidi urudi duka walilokuuzia simu. Mimi nikamwambia lakini nyie si ndio watoa huduma. Akasema fuata nilivyosema, nikasema poa ila sio fea nikakata simu huku nikitukana kimoyomoyo. Baada ya muda fulani hivi nikaona sms yao ya vodacom Tanzania imeingia inasema imei haiko kwenye offa dadeki nilimaindi ikabidi nitumie laini nyingine kwenye simu 2 majibu baada ya muda yakawa yale yale nikahamishia simu 2 wakaniambia tayari imei sijui imepokea offa. Lakini wakati laini iliyokuwa simu 1, nilitoa kwa hasira baada ya kuniambia vile.
Nikajisemea lazima nipate haki yangu nitafuatilia nione mwisho wake ni la sivyo nitaandika waraka wa malalamiko kwao vodacom Tanzania kwa huduma mbovu nikisisitiza wasinunue simu zao kwa sababu ni waongo si wakweli.
Another day ikabidi niende kwenye duka waliloniuzia simu niliulize ii mambo imekaaje. Nao hawakujua imeakaaje akasema kesho tutashughulikia mwenyewe hayupo sijui kaenda kwenye kikao vodacom Tanzania. Akaandika namba yangu na mimi nikachukua yake. Nikarudi ninakoishi nikasema embu niiweke ile laini huenda watakuwa wametuma huko. Kuangalia salio kumbe wameshaweka tayari nikaapologize kwa kuwa na pupa.
Lakini surprising enough ukiangalia video kidogo bundle inaenda kaa haina akili nzuri.
MALALAMIKO
vodacom Tanzania
Nimeamua kuyaandika haya baada ya siku ya Novemba 31, 2019. Nikiwa naangalia facebook video kwenye ukurasa wa BBC kuhusu mwanamama mmoja anaishi na virusi vya UKIMWI sijui anaitwa Feni anaemuhoji alikuwa Anne kipindi ni waridi kama sijakosea. Video hiyo ilikuwa na dakika 54 hivi nikawa naangalia bila alafu nikiwa na MB zaidi ya miatatu kwenye simu za data. Cha kushangaza na kusikitisha video nimetazama hata dakika kumi naimani hazijaisha hata kama nimeangalia zaidi ya hapo sidhani kama MB zaidi ya miatatu zikaisha ndani ya muda huo. Maana hata simu yenyewe niliyokuwa natumia sidhani kama inauwezo wa kutumia bundle. Labda ningekuwa ninatumia ni S10+ ingekuwa sawa, sasa smart kitochi itumie MB zaidi ya 300 within 10mins. Mmmmmmmhh! Aaaaaaarrrrrgggghhhh! Mpaka napata hasira. Kweli vodacom Tanzania mnisaidie mniambie kwamba hilo linawezekanaje kwa lugha friendly kabisa.
MASWALI
vodacom Tanzania
  • Naomba mniambie inawezekanaje ukatumia MB zaidi ya 300 ndani ya dakika 10 kuangalia facebook video na zikaisha. Nahitaji maelezo please hata msiponijibu mnaweza mkajirekebisha.
  • Pia ni kwa nini hamkunitumia taarifa ya tahadhari kama mnavyofanyaga ukinunua bando kwamba unasikia sms io umebakia na MB 200 baadae tena umebakiwa na MB 100 then MB50 then MB25. Ndio mmalizie umeishiwa.
  • Cha ajabu eti nakuta sms inaingia eti sijui you have finished your free MBs, whaaaat! Kwa nini wakati zinakaribia kuisha hamkusema mkasubiri mpaka ziishe ntashindwaje kusema nyinyi waizi?
  • Pia namuuliza mtoa huduma wenu anabaki anakenue mara ooh mda labda utakuwa umekwisha yaani limexpire, mara zima simu. Hana jibu la kuridhisha mimi nilitaka ufanunuzi MBs zimetumikaje haraka hivyo. Mara oooh umebakiwa na MB chache sana namuuliza ngapi anazungukazunguka baadae ananiambia eti saba wakati mimi nikiangalia naona 0MB.
  • Pia kuna MB kama 3072 mmenipea kwenye hio offa ya kununua simu ya smart kitochi. Mniambie naweza kuzitumiaje maana mara kwa mara naingia facebook ila zenyewe tangu mmenipea hazipungui. Au ni danganya toto tu ya kukamilish GB 4 kwa mwezi kumbe hakuna lolote.
  • Pia kuna hili nimeliona kwenye offa zenu japokuwa haliusiani na malalamiko yangu nalisema nalo. Mnatabia mkitoa free mins kama mtu kaongea mnatumia floor kukata dakika is not fine.
  • Mpaka nimechoka nina mengi kinoma.
USHAURI
vodacom Tanzania
  • Kama mnaona mkitoa offa zinawauma ni bora msitoe tu kuliko kuhadaa watu.
  • Alafu kwenye customer care muajiri watu waliocompetent kwenye TEHAMA.
  • Na pia mtu akinunua simu isichukue zaidi ya saa moja hajapata offa yake. Mbona vifurushi vya kununua mko punctual vizuri. Pia muwe punctual kama bando inavyoexpire kutuma sms ya umeishiwa.....
  • Eti mnaniambia nirudi dukani nilikonunua? Kwani nyie humuwezi kutambua kama simu hii ni yetu ama la?
  • na kuna hii mnaweza mkafanya mutengeneze na laini za haliishi kwa wateja wanaolaumu kuhusu expire of bundle. :D :D
Aaaaazaarrrrrrrhhhhggggghhh:mad::mad::mad::mad::mad:! Nimeumia sana mpaka nimeandika haya.

Apologize kwa wasomaji
Huenda sijapangilia vyema waraka huu naomba mnisamehe.
Na kama imekuwa too long msamaha wenu please.
Nawatakia utendaji mwema wa kazi.

Muwe na siku njema. At Calvary.

Nakala kwa: vodacom Tanzania
CC: vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania
15th Floor Vodacom Tower,
Ursino Estate Plot 23,
Old Bagamoyo Road,
P.O. Box 2369
Dar es Salaam
Reception: +255 754 100 100
+255 754 705 000

For further information, please contact:
customercare@vodacom.co.tz
 
Voda siyo wa kweli mm nikinunua mb250 hazimalizi hata robo siku wakati airtel hadi kesho na naweza nisimalize .
 
mimi labda nikuambie kwa kifupi kuwa kwa tz hakuna kampuni ambayo ikitokea mteja kaleta malalamiko yake wanayafuatilia ,kwenye upande wa mawasiliano ndio kabisa na ukija kwenye office za serikali ndio kabisa haupat usaidizi kwa wakat, na mamlaka zilizopewa mamalaka ya ku regulate n monitor hizi kampuni lao moja tu ....
 
Swali lapili. Usiombe watekeleze ombi lako. Mwanzo nilidhani ni kawaida ila siku moja nikawatega. Nilikuwa na MB 500 nikaingia WhatsApp kisha jf. Baada ya kama dakika 15 nikapokea ujumbe nimebakiwa na MB 100 (ilikuwa kawaida maana video na picha vilikuwa vinajidownload automatically) hapohapo nikazima data☺️☺️ wasivyo na aibu walianza kula MB wakati tayri nimezima data ndani ya dakika mbili nilikuwa na MB 0. Ilikuwaje? Baada ya kuzima data tu nikapokea ujumbe "umebakiza MB 70" baada ya sekunde kadhaa "MB 50" "MB 30" "salio lako ni chini ya MB 15" "mdugu mteja kifurushi chako cha .... Kimeisha muda wake"

Nilibaki nacheka tu maana mwanzoni nilijua kifurushi kinakimbia sababu ya video za WhatsApp kumbe wenzangu wanakata MB bure. Mtu umezima data lakini bado MB zinsafiri😂. Siku niliyonyoosha mikono ni pale niliponunua 2GB. Hiyo siku sikuwa na hobi ya kuingia mtandaoni pia ilikuwa usiku nina usingizi. Nikazima simu, alfajiri nikawasha simu nikaingia jf kupitia freebasics kidogo (hapa nilishazuia video na picha kujidownload) zikaingia sms mbili tatu za WhatsApp na chini ya dakika 3 nikahisi bado nina wenge nikazima data nikalala. Kituko ni, baada ya kuamka asubuhi nikajiandaa vzr nikawasha data. Papo hapo nikakutana na sms "ndg mteja kifurushi chako..."🤔🤔🤔🤔 Mpaka leo nikiwauliza matumizi ya kile kifurushi hawana majibu wanaishia kila mtu kunipa jibu lake. Voda ni wezi kama walivyo majambazi wanaotumia bunduki.
 
Hawa jamaa ni wezi sana. Hata salio la vocha likibakia kwa simu wanachukua. Halafu hakuna huduma uliojiunga. Sijui kuna wafanyakazi wao wanafanya biashara ya kuibia wateja wao.
Swali lapili. Usiombe watekeleze ombi lako. Mwanzo nilidhani ni kawaida ila siku moja nikawatega. Nilikuwa na MB 500 nikaingia WhatsApp kisha jf. Baada ya kama dakika 15 nikapokea ujumbe nimebakiwa na MB 100 (ilikuwa kawaida maana video na picha vilikuwa vinajidownload automatically) hapohapo nikazima data wasivyo na aibu walianza kula MB wakati tayri nimezima data ndani ya dakika mbili nilikuwa na MB 0. Ilikuwaje? Baada ya kuzima data tu nikapokea ujumbe "umebakiza MB 70" baada ya sekunde kadhaa "MB 50" "MB 30" "salio lako ni chini ya MB 15" "mdugu mteja kifurushi chako cha .... Kimeisha muda wake"

Nilibaki nacheka tu maana mwanzoni nilijua kifurushi kinakimbia sababu ya video za WhatsApp kumbe wenzangu wanakata MB bure. Mtu umezima data lakini bado MB zinsafiri. Siku niliyonyoosha mikono ni pale niliponunua 2GB. Hiyo siku sikuwa na hobi ya kuingia mtandaoni pia ilikuwa usiku nina usingizi. Nikazima simu, alfajiri nikawasha simu nikaingia jf kupitia freebasics kidogo (hapa nilishazuia video na picha kujidownload) zikaingia sms mbili tatu za WhatsApp na chini ya dakika 3 nikahisi bado nina wenge nikazima data nikalala. Kituko ni, baada ya kuamka asubuhi nikajiandaa vzr nikawasha data. Papo hapo nikakutana na sms "ndg mteja kifurushi chako..." Mpaka leo nikiwauliza matumizi ya kile kifurushi hawana majibu wanaishia kila mtu kunipa jibu lake. Voda ni wezi kama walivyo majambazi wanaotumia bunduki.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
Back
Top Bottom