SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Chomoa hiyo lain kwenye modem kisha iweke kwenye cm. Kwenye sms andika BALANCEDATA kisha itume kwenda 15300. Watakujibu kiasi kilichobaki.wakuu naomba kufahamu namna ya kuangalia salio la bundle iliyobaki