Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Shukrani mkuu, it works very fine na ndio hii ninayotumia sasa. 2gb for free! siamini macho yangu!!!!
 
Mbona mm inanigomea inania ambia ni comfirm kwenye email yangu then nikikomfirm naletewa matangazo tu.! Hebu nieleweshen hapa inakuwaje?
 
Mkuu e2themiza, wewe ni mumoumer!
Natamani waishtukie kabla sijamaliza hizi 2GB zao.
Long live broder!
 
nini kitatokea utakapokuja kuweka hela kwenye hiyo line?
kama una mashaka kama labda watakata salio lako then subiri nikuondoea shaka hawatakata ata centi... kama bado una doubt jaribu kutumia line ya voda ambayo hauitumiii.. thnx
 
Shukrani mkuu, it works very fine na ndio hii ninayotumia sasa. 2gb for free! siamini macho yangu!!!!
Your welcome mkuu.. ENJOY IT

Long live e2themiza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
haha :lol: pamouja sana mkuu

Mbona mm inanigomea inania ambia ni comfirm kwenye email yangu then nikikomfirm naletewa matangazo tu.! Hebu nieleweshen hapa inakuwaje?

OK wait kidogo nakutumia pm

Mkuu e2themiza, wewe ni mumoumer!
Natamani waishtukie kabla sijamaliza hizi 2GB zao.
Long live broder!

Thanks broda enjoy it :poa

japo sijajaribisha ila kusoma titile namuamini huyu mtu.thankx 100 times

Thanks your mkuu your welcome :poa

thaanxxx e to ze mizaaaaa

PAMOUJA SANA MKUU

we have to say thankx bro it works

thanks broda your welcome.. ENJOY IT
 
Thanks mkuu.
Alternative way
tuma text BOMBA30 kwenda namba 15300
and wait for their reply
 
inakubali.lakini hawawezi kutufungia line na modem zetu kwani wanaweza ku-trace modem zetu

nijuze ili .huku nikiendelea kula vitu
 
Thanx buddy....... got it with high speed
Capture.PNG
 
lakini pia ile ya zamani kupitia mozila nayo inapiga mzigo kama kawa.

na zantel pia mimi nakula vitu.

thanks mkuu
 
wakuu mbona nikibofya hiyo link sipati maujanja, inafungua mambo tofauti kabisa

Nilifikiri mie tu, mie nasikia training sijui ya kuongeza traffic kwenye website sasa sijui vinahusiana vipi hapa??

Mara sijui from 0 to 500,000 people visiting ur website, mara something unique, yaani sielewi hata huyu jamaa ndio akimaliza kuongea ata connect au ni nini hii......????
A%20S%20embarassed.gif
:embarassed2:
 
Mkuu delete hii kitu bana choka mbaya wote tumeshadaka unaonaje tukaendelea kula ma free access mpaka mwaka unaisha maana voda nao wanapita humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom