Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Yeah as they say What goes around comes around well its coming to them big and hard system's COMPLETELY NAKED

Follow this link to the info's and start using free internet and this is not like the PREVIOUS HACK...NO!!!.. this is far BETTER :eyebrows:

VODACOM FREE INTERNET - Pastebin.com :poa
We jamaa ni mkali, nakumbuka nimekusumbua sana katika kuniwezesha niweze chakachua modem hii ya voda,kila ukinisaidia nilichemka labda kutokana na uslow-learner wangu ama machine ninayotumia but this time you got me!yaani kilichokua kinanikimbiza ni gharama zao sasa ni bata na naomba wa-stay mute wasistuke. Thanks mkuu
 
Chomoa hiyo lain kwenye modem kisha iweke kwenye cm. Kwenye sms andika BALANCEDATA kisha itume kwenda 15300. Watakujibu kiasi kilichobaki.

Siyo lazima kuchomoa line. Inategema kwenye pc yako una programs zipi? Mfano mimi nina dashboard ya airtel modem, nikitumia modem ya airtel ambayo nimeifanyia temporary unlock na ndani kuna line ya voda au tigo basi naweza kuangalia salio,kuongeza salio,kuanglia bundle balance etc bila zengwe.

You can also do the same using installed default vodacom modem dashboard.
 
jamani delete huu uzi voda wakija watajambisha bure choka mbaya wote tusha copy
 
Mimi kwangu imeandika Salio halitoshi kuweza kununua kifurushi hicho. Hapo inakuwaje tena? au ndio tayari wameshitukia dili?
 
jamani delete huu uzi voda wakija watajambisha bure choka mbaya wote tusha copy
Lol tyar kshajamba hehe lakn tuliejiunga package tunayo pale pale.. Well was fun... SO TILL WE MEET AGAIN! Adios
 
Haha!Niliunga line 8(za nyumba nzima)!Si tunajua michezo yao hao wakishtukia inabuma,sasa ni mwendo wa BATA tu!
Thanks to E2themiza...nazishusha tu movie series za mediafire dose ya 8x2!
What goes around...
 
DO NOT DISCONECT I REPEAT DO NOT DISCONECT! Wameshafix kla k2 so kama ukidsconect from now na gb 2 zakn wanakunyanganya... U AV BEEN WARNED!!
 
Jana friend wangu kanipgia simu jioni. Akanipa maelekezo, nikafanya quickly, now im enjoying free 2GB za high speed intaneti
 
pole kaka kama hiyo kwako ndio high speed. sie tunapata 9MBps
Never mkuu
dashboard inaweza kukudanganya kwa kusoma hivyo lakini downloading haiwezi kufika hata 1MBps
Download chochote kisha chukua picha kwenye downloader ubandike hapa niwe Tomaso
 
DO NOT DISCONECT I REPEAT DO NOT DISCONECT! Wameshafix kla k2 so kama ukidsconect from now na gb 2 zakn wanakunyanganya... U AV BEEN WARNED!!
Mkuu tayari wamechukua gb zao, yaani sina kitu nimechelewa kusoma huu ujumbe wako, tunasubiri maujanja mengine tuwatafune hawa makaburu
 
Aisee nimeikosa hii deal, but shukrani mkuu kwa kushare hii kitu kwa wadau, ila wadau waJF ni wachoyo wa LIKE sana , me nimekumwagia like japo nimechelewa kuigundua hii kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom