Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Aisee nimeikosa hii deal, but shukrani mkuu kwa kushare hii kitu kwa wadau, ila wadau waJF ni wachoyo wa LIKE sana , me nimekumwagia like japo nimechelewa kuigundua hii kitu

hehe pole sana mkuu.ila wengi tunatumia simu hatuna like button ingekuwepo ningempa hapa.ila ilikuwa nzuri sana tumedownload vya kutosha jana.tunasubiri new hacks
 
Naona wameshazui kutumia tokea jana kwa wote waliojiunga au sijui ni mimi tu ?
 
Yeah as they say What goes around comes around well its coming to them big and hard system's COMPLETELY NAKED

Follow this link to the info's and start using free internet and this is not like the PREVIOUS HACK...NO!!!.. this is far BETTER :eyebrows:

VODACOM FREE INTERNET - Pastebin.com :poa

Dah washa zibeba
 
siku nyingine hakikisha mnanipm kabla hawajashtukia. washakula 30,000 zangu sana hawa jamaa bila kutoa hata offer.
 
zilianikwa sana ndo maana . Ingetakiwa zitembee kwa pm tu.

ila ilianza zamani sana.tangu juzi tunakula tu bundle za bure na kwa waliyoiwahi jana kama wajanja watakuwa wamedownload zaidi ya 1GB. Ila watazembea tena tu hawa voda.we waache
 
ila ilianza zamani sana.tangu juzi tunakula tu bundle za bure na kwa waliyoiwahi jana kama wajanja watakuwa wamedownload zaidi ya 1GB. Ila watazembea tena tu hawa voda.we waache

mkuu ikitokea tena mzee tushtuane jana watu walianika kwenye facebook jamaa wakasanuka .
 
Wadau mbona hiyo link inanitaka nijisajiri, nimetuma e-mail yng lkn sioni hiyo internet ya bure wanazidi kula pesa ktk lline yng! Natumia modem ya voda.
 
Wadau mbona hiyo link inanitaka nijisajiri, nimetuma e-mail yng lkn sioni hiyo internet ya bure wanazidi kula pesa ktk lline yng! Natumia modem ya voda.

walishastukia tangu jana usiku so huduma yenyewe haipo...
 
E2themiza, kumbe nimegundua kuwa sahiv haikubali, nimechelewa kusoma habari hii.
Asante kwa maujanja japo cjafanikiwa kwa leo.
 
ila ilianza zamani sana.tangu juzi tunakula tu bundle za bure na kwa waliyoiwahi jana kama wajanja watakuwa wamedownload zaidi ya 1GB. Ila watazembea tena tu hawa voda.we waache

mkuu me nliish2kia juz sa 11 jion na mpaka walipokuja kuchukua bando yao sa 4 uck wake me nlikuwa nshashusha 3.7gb, any way me nmeshukuru kuwa walau na me nmewatia hasara japo kdogo naombea wajisahau tena halaf niwash2kie mapema, tatizo hii ilianikwa mpaka fecbuk ndo mana wakash2ka mapema, big up sana kwa alie2letea uzi huu uliokuwa na manufaa kwa watanzania 2naoibiwa raclimali ze2 kila kukicha...
 
kuna mtu amewahi kupata net ya speed kama hiii. mie nilidhani nipo ulaya babuuuu

voda net.jpg
ila ni mix safi. line ya voda, dashboard tigo, na modem ni ya safaricom ya kenya
 
dah jana usiku nimepata speed kubwa huku nliko mpaka 350kbps wakati kawaida napata 20kbps ikizidi labda 40 vp huko mliko??
 
dah jana usiku nimepata speed kubwa huku nliko mpaka 350kbps wakati kawaida napata 20kbps ikizidi labda 40 vp huko mliko??
Mkuu iyo kwangu hii ni daily yani cku iz naondoka na 7 - 8 GB per day.. Weekend mpaka 12 - 15 GB tena mda ya saa kumi jioni hv mpaka majogo ngoma haishuki 300KBps full kushusha vitu.. Sema wakat wa day spd haitulii inapanda nakushuka.. DAH BURE RAHA ASIKUAMBIE MUTU!
 
Nifundisheni na mimi jinsi ya ku2mia internet bure,na nina usemi wangu usemao kuwa HAKUNA LINALOSHINDIKANA CHINI YA JUA,NA VITU VYA BURE NI VITAMU SANA.
 
Nifundisheni na mimi jinsi ya ku2mia internet bure,na nina usemi wangu usemao kuwa HAKUNA LINALOSHINDIKANA CHINI YA JUA,NA VITU VYA BURE NI VITAMU SANA.
hahahaha uwo usemi wako umechakachua ending hahaha! Poa mwana later ntaweka siredi nyngn yakutumia ile voda free internet hack effectivley na kusepa na ma GB ya kutosha per dei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom