Habari wanajf
Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi wa x-gal wako kujieleza ili iweje? hapa nilipo nimechanganyikiwa coz mazingira ninayoishi it is not easy for them kuichukulia hiyo issue kawaida, hapa tayari nimeulizwa maswali kadhaa na mama mdogo anayenilea najua itakuwa vigumu sana kwa yeye kuchukulia hiyo issue kawaida. Ushauri plz, tatizo pia kajieleza kuwa tulikuwa na uhusiano na hiyo kitu kwa jinsi ninavyomfahamu mama ni msala mtupu. Plz naihitaji ushauri wenu nifanyeje coz sijui amemueleza nini mama. nahitaji ushauri wenu coz sina mwingine wa kumuomba ushauri.
N.B
Vitabu alinipa mimi na kutokana na hasira zake aliniambia nivichome hivyo alivyovifuata kwangu nikamjibu nimevichoma kwahiyo ili anichomee akaona aende kunisemea hom na huko ameeleza sijui nini kwa mama mdogo.