being it uko nyumbani kwangu,under the very roof of my own!u will always be mtoto!
Thats what my daddy always used to say those days.
being it uko nyumbani kwangu,under the very roof of my own!u will always be mtoto!
Thats what my daddy always used to say those days.
being it uko nyumbani kwangu,under the very roof of my own!u will always be mtoto!
yani we acha tu!hivi mzazi anakwambia uache kitu miaka ile unathubutu kumjibu!nini kumjibu mi mamangu alikuwa akikuona umekunja sura tu utafinywa mapajani we mpaka ukojoe.
uwiiiiiiiii ulisoma weruweru kumbe...........hata mimi nilisoma hapo A'level lakini.dah!unanikumbusha enzi zile za mkoloni wetu acha kabisa yale yalikuwa maisha bana. mtoto nyumbani unajua huyu ni baba na huyu ni mama mtalima mboga na mashamba kama kubota akikupeleka shule anachagua shule yenye kazi eti kisa ukirud home uwe na akili ya kazi.
jamani nilisoma weruweru huko kazi mtido mmoja hadi kuosha ng'ombe ukirud home hakuna kupumzika tena kama kuonsha ng'ombe uje na skills ulizo pata shule ukienda kupanda mahindi uje na skills ulizopewa shule yaani hadi unahisi duia si yako tena. leo hii mpe mtoto bustani ya hatua 4 tu uone cha mtema kuni lol!
loh mimi nakumbuka niligoma kupika chapati asubuhi kisa dada yupo basi mama akamwambia dada pika muda wa kula mama akasema share yako haipo ila nenda jikoni kuna unga na mafuta kule upike..............wakanywa chai mimi si nikajidai kususa jamani mama akunipa chakula siku mbili.............na nikawa naosha vyombo walivyolia wenzangu...........sikurudia tena kususa na wala kukataa kupika na wala akuna mtu aliyediriki kususa tangu siku hiyo.wee acha tu nakumbuka kuna siku tulikuwa tumetoka shamba kuchuma kahawa kisha tukatakiwa kutwaga ili kupata pishi moja la mchele tupike tule. miye nikajidi kuchoka nikasingizia naumwa tumbo nikaenda chooni nikakaa huko muda mrefu kweli hadi wakamaliza kutwanga. mama hakunisemesha kitu. imefika msosi umepikwa miye nikajisahau nikawa nkachangamka as if siumwi. muda msosi uko tayari mezani maza akapakulia kila mtu kwenye sahan yake si unajua kijijini hakuna self service? basi alichokifanya Mungu hatak alichukua mpunga akaweka mboga akanipa akasema hakuna mtumwa hapa kila mtu ale kwa jasho lol! niliishia kula mboga tu nikalala usingizi haukujakabisa kisa njaa. toka siku hiyo uvivu niliachana nao.
watoto bana...
Ukiweza hivyo hongera sana
kuna wazazi wanakuja kuteseka mno kwa sababu ya 'kudekeza watoto'
mtoto anamka asubuhi anachukua gari la mzazi na kwenda kwenye mishe mishe
mzazi anakuta gari haipo,anapanda daladala...
gari ikipata hata pancha,toto linapiga simu nyumbani
kudai pesa ya kuziba au kutengeneza,hata akikamatwa na trafiki
atapiga simu nyumbani,
toto halitumwi bila kwenda na gari......
nyumbani mitoto inaamua chakula kipi kipikwe na ku demand mara kuku,mara
hiki while toka wazaliwe hawajawahi kupata pesa ya jasho lao...
toto linatafutiwa kazi,unakuta hata barua halijui kuandika..na limetoka Univeersity
likipewa kazi kwanza linauliza mshahara...na utasikia ahh hiyo kazi mshahara mdogo,sifanyi...
wazazi wanalazimika kubembeleza likubali job......hii dunia hiii...acha tu
Habari wanajf
Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi wa x-gal wako kujieleza ili iweje? hapa nilipo nimechanganyikiwa coz mazingira ninayoishi it is not easy for them kuichukulia hiyo issue kawaida, hapa tayari nimeulizwa maswali kadhaa na mama mdogo anayenilea najua itakuwa vigumu sana kwa yeye kuchukulia hiyo issue kawaida. Ushauri plz, tatizo pia kajieleza kuwa tulikuwa na uhusiano na hiyo kitu kwa jinsi ninavyomfahamu mama ni msala mtupu. Plz naihitaji ushauri wenu nifanyeje coz sijui amemueleza nini mama. nahitaji ushauri wenu coz sina mwingine wa kumuomba ushauri.
N.B
Vitabu alinipa mimi na kutokana na hasira zake aliniambia nivichome hivyo alivyovifuata kwangu nikamjibu nimevichoma kwahiyo ili anichomee akaona aende kunisemea hom na huko ameeleza sijui nini kwa mama mdogo.