Vitabu tu au kuna vingine? ushauri plzzz

oonatha

Member
Jul 17, 2012
24
9
Habari wanajf
Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi wa x-gal wako kujieleza ili iweje? hapa nilipo nimechanganyikiwa coz mazingira ninayoishi it is not easy for them kuichukulia hiyo issue kawaida, hapa tayari nimeulizwa maswali kadhaa na mama mdogo anayenilea najua itakuwa vigumu sana kwa yeye kuchukulia hiyo issue kawaida. Ushauri plz, tatizo pia kajieleza kuwa tulikuwa na uhusiano na hiyo kitu kwa jinsi ninavyomfahamu mama ni msala mtupu. Plz naihitaji ushauri wenu nifanyeje coz sijui amemueleza nini mama. nahitaji ushauri wenu coz sina mwingine wa kumuomba ushauri.
N.B
Vitabu alinipa mimi na kutokana na hasira zake aliniambia nivichome hivyo alivyovifuata kwangu nikamjibu nimevichoma kwahiyo ili anichomee akaona aende kunisemea hom na huko ameeleza sijui nini kwa mama mdogo.
 
halafu huyo bwoifurendi atajiita yeye ni mwanaume loh...... ushauri wangu kwako ni kuface hilo jambo kama lilivyo....
 
pole, nakumbuka enzi zangu lol
iliwahi tokea ila kwa staili tofauti.

Niliduwaa kama nimebanwa mlango.
 
Ahahahahahahah...kh!
Enyi Maraia Ebu Mshaurini Huyu Bwana Mdogo Kwani Inaonesha Mambo Magumu si Kidogo, uko "BEHIND THE SCENE"!!
 
vitabu tunanunua kwa pesa
wao wanavichoma kwa 'ugomvi wa kipumbavupumbavu na anakuja tumshauri'

Sasa mkubwa ndio hapo ushangae mapenzi na kuchoma vitabu wapi na wapi bana??
Yaani kizazi hiki cha dot.com balaa tupu...
Halaf anasema 'sijui mama mdogo akijua itakuwaje'....aaargh!!
 
Huyo kakuonea aibu, mie niliwahi kutemana na GF wangu nikaenda kwao kudai hela zangu za chipsi nilizokuwa namnunulia wakati wa kilele cha mapenzi yetu............... chezea Mtambuzi weye..........................LOL

ahahahaahhaahahahahhah haya mambo bana! mi nilijua hayapo siku hizi!
 
Huyo kakuonea aibu, mie niliwahi kutemana na GF wangu nikaenda kwao kudai hela zangu za chipsi nilizokuwa namnunulia wakati wa kilele cha mapenzi yetu............... chezea Mtambuzi weye..........................LOL

hahahah..wewe hukuchoma vitabu mkuu?
Mie nakumbuka nilidai kalamu manake nilikuwa bingwa wa kuhonga pens...
 
mi hata sijui niseme nini!yani kweli roho inauma lakini ndo tushawazaa sasa unafikiri tufanyaje?

wanasema sometimes wazazi tunakosea
ku fight so hard ili watoto wapate ' what you missed'
sometimes wanahitaji exactly yale yale ili waweze ku appreciate ukiwapa better'
mitoto ambayo inasoma with vitabu full ndo hiii
lakini wale waliosoma kwa kuazima vitabu vya watu,wanajua namna ya kuheshimu pesa na vitabu
 
Ebwana hata mie naanza kuamini kuwa shida huleta maarifa..
Kizazi ambacho watu hawakuwa na nyenzo they really worked hard kutafuta maarifa compared na hawa wasasa..
Last time nilikuwa Japan wanalalamika kuwa wanashindwa kupata ile 'cream ya intellectuals' iliyowabeba kwenye 'bubble economy' ya miaka ya 80s..Kizazi kilichopo kimekuwa cha cut and paste from wikipedia..
 
wanasema sometimes wazazi tunakosea
ku fight so hard ili watoto wapate ' what you missed'
sometimes wanahitaji exactly yale yale ili waweze ku appreciate ukiwapa better'
mitoto ambayo inasoma with vitabu full ndo hiii
lakini wale waliosoma kwa kuazima vitabu vya watu,wanajua namna ya kuheshimu pesa na vitabu

seriously haya mambo ya kufanya kila kitu nilichokosa sitaki mwanangu akose ndo matatizo yake haya.hapo binti anona yuko saaawa mwenyewe!yani unaweza kutoa mtoto wako mwnyewe roho,
 
seriously haya mambo ya kufanya kila kitu nilichokosa sitaki mwanangu akose ndo matatizo yake haya.hapo binti anona yuko saaawa mwenyewe!yani unaweza kutoa mtoto wako mwnyewe roho,

sana tu
wazazi wanapa watoto magari waendeshe kwa nia nzuri
but watoto dizaini hizo huja kudai mpaka viwanja wanunuliwe na wazazi
ikibidi hata nyumba kama hakuna ya kurithi siajabu wakarudi kudai kusaidiwa kujenga
na inakuwa sio ku beg na ku please,bali ku demand as if ni haki yao...
while wazazi wao walitafuta kila kitu wenyewe kwa jasho..
 
Back
Top Bottom