Kwa mawazo Yako unafikiri mtu akiitwa padre au askofu basi atakuwa amesoma dini TU. Usije kusimama mbele ya maaskofu ukatamba na kadigrii Kako kamoja ka uchumi au kilimo utajua hujui.
Aite watu ambao wako kwenye field husika ndio aongee nao wamhoji sio hao maaskofu na elimu zao za theology.
Najua kuhusu hao watu na nmesoma shule zao so najua uw3zo wao
 
Huyo ni Lecture wa sheria asiyekuwa na moral authority ya cheo chake na elimu yake.

Unawezaje kuwakumbatia "wabunge" wasiokuwa na chama kuwemo ndani ya bunge??-- sio kuvunja sheria za nchi huko??.

Tulia haaminiki kabisa, huyo ni CCM stooge.
Tunajadili Bandari!! Hayo ya wanawake wenzako wa Covid 19 bakini nayo huko Ufipa
 
Hii lobbing si ilipaswa kufanyika kabla ya Hangaya na timu yake kwenda Dubaï kusaini makubaliano?
Mkataba wa TICTS na Serikali uliletwa na kina Kalamagi kiujanjaujanja kama huu wa DPW, hebu tuelezwe wananchi walipata faida gani zaidi ya viongozi kujinufaisha?
Inaonekana bandari kuwa shamba la bibi na viongozi ngazi ya juu wivu umewajaa kuona mchongo wa Kalamagi na washirika wake wamenufaika vya kutosha na kuamua kigogo mwingine matawi ya juu kuwa TICTS asiongezewe tena mkataba maana ni zamu ya Dubaï sasa.
Tujikumbushe Net group solutions kama ilileta mabadiliko Tanesco ambayo bado ni ile ile kiutendaji. Hii kasi ya kutongoza viongozi wa dini na kutoa hongo ya sadaka makanisani haitaweza kamwe kufuta doa la watu walioaminiwa kutoa rasilimali ya taifa kwa wageni hata bila kupitia TIC
....Aibu!.
 
Tunajadili Bandari!! Hayo ya wanawake wenzako wa Covid 19 bakini nayo huko Ufipa

Bandari imepigwa mnada na huyo mwanamke mwenzako Dr Tulia, huyo ni stooge wa CCM na hana moral authority and credibility ya kufundisha sheria bungeni wakati yeye mwenyewe ni mvunja sheria #1.--- ni lini Mwizi akahubiri ubaya wa wizi??!!
 
Huyo ni Lecture wa sheria asiyekuwa na moral authority ya cheo chake na elimu yake.

Unawezaje kuwakumbatia "wabunge" wasiokuwa na chama kuwemo ndani ya bunge??-- sio kuvunja sheria za nchi huko??.

Tulia haaminiki kabisa, huyo ni CCM stooge.
Bungeni kuna Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye kama Spika anatambua hilo isipokuwa wao CCM na CHADEMA ndiyo wanaojua kuwa wana wabunge wao
 
Bungeni kuna Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye kama Spika anatambua hilo isipokuwa wao CCM na CHADEMA ndiyo wanaojua kuwa wana wabunge wao

Kwa mujibu wa sheria, na spika anajua hilo, kwamba covid 19 hawapaswi kuwemo bungeni kwani tayari Chadema imewafukuza uanachama. Kweli Doctorate wa sheria "Spika" kiongozi wa moja ya mihimili ya dola anashindwa kutambua jambo hilo rahisi ??!--- huoni hapo anajifedhehesha pakubwa na kuchafua CV yake ??

Kwa jambo hilo dogo tutamuamini vipi kuhusu suala la mikataba nyeti inayopita bungeni??
 
Aite watu ambao wako kwenye field husika ndio aongee nao wamhoji sio hao maaskofu na elimu zao za theology.
Najua kuhusu hao watu na nmesoma shule zao so najua uw3zo wao
Bila shaka unaongea kwa uelewa wako Wala si kwa uhalisia ulivyo. Hiyo shule ulikuwa unafundishwa na mapadre na maaskofu wote walioko hapa Tanzania? Kama ulikutana na mmoja ukausoma uwezo wake basi ni huyo mmoja. NB. Wale wanaweza kusema jambo hili HAPANA na likawa HAPANA, wakisema endelea litaendelea. Ondoa hafu rafiki Kila kitu kitakuwa sawa. Hii ni Tanzania.
 
Inaonekana bandari kuwa shamba la bibi na viongozi ngazi ya juu wivu umewajaa kuona mchongo wa Kalamagi na washirika wake wamenufaika vya kutosha na kuamua kigogo mwingine matawi ya juu kuwa TICS asiongezewe tena mkataba maana ni zamu ya Dubaï sasa.

✔✔✔✔💯🙏🏻🙏🏻

You hit right to the point.
 
Bila shaka unaongea kwa uelewa wako Wala si kwa uhalisia ulivyo. Hiyo shule ulikuwa unafundishwa na mapadre na maaskofu wote walioko hapa Tanzania? Kama ulikutana na mmoja ukausoma uwezo wake basi ni huyo mmoja. NB. Wale wanaweza kusema jambo hili HAPANA na likawa HAPANA, wakisema endelea litaendelea. Ondoa hafu rafiki Kila kitu kitakuwa sawa. Hii ni Tanzania.
Narudia tena alipadwa kuzungumza na watu wa hiyo field si viongozi wa dini maana hayo mambo hayahusu theolojia. Hakuna wanachoweza kubadilisha wangekuwa wana nia wangeomngea nao kabla ya kuupatisha. Wanawatumia tu kutafuta justification maana wana access na waumini ambao ndio wa tanzania.
Kitu gani kinamwongepesha kuita watu wenye hiyo field na awape nafasi ya kumpga maswali kama kweli anajiamini? Hukawii kusikia kaita wazee wa dar nao kuwaeleza.
Hakuna mtu aliyesoma shule ambayo aliwahi fundishwa na watu wote. Nmekwambia sina shaka na uwezo wao lakini wao si watu sahihi wa kwenye hiyo field. Kuwa umesoma theolojia au ukawa daktari bingwa hakukufanyi ujue masuala mengine kinaga ubaga
 
Sijui kwanini sielewi. 1. mwaka 2022 serikali iliona hakuna haja ya kuendelea na TICTS. 2. Desemba 2022 serikali ilianza mchakato wa kumpata mwekezaji bandarini. 3. 27februari 2022 serikali ilisaini makubaliano ya kulenga ushirikiano kati ya Tz na Dubai. NB: Kuupangilia uongo bila kujichanganya ni kazi sana.
 
Vyote vimo katika mkataba huu, ni tundulissu ndiye aliyemdanganya Mbowe haraka haraka akakurupuka kuwa Zanzibar haimo eti akidai TPA ni ya Tanzania Bara tu kumbe ina mamlaka hadi Zanzibar. Aidha, Tundu alimpotosha Mbowe kuwa Professor Mbarawa hana madaraka Zanzibar kumbe anayo. Sasa Watanzania wote tunaanza kuona ni watu gani wako CHADEMA - wabinafsi, wabaguzi, waongo, walaghai.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema TPA ni ya Tanzania Bara na haina uhusiano wowote na Zanzibar!
 
Narudia tena alipadwa kuzungumza na watu wa hiyo field si viongozi wa dini maana hayo mambo hayahusu theolojia. Hakuna wanachoweza kubadilisha wangekuwa wana nia wangeomngea nao kabla ya kuupatisha. Wanawatumia tu kutafuta justification maana wana access na waumini ambao ndio wa tanzania.
Kitu gani kinamwongepesha kuita watu wenye hiyo field na awape nafasi ya kumpga maswali kama kweli anajiamini? Hukawii kusikia kaita wazee wa dar nao kuwaeleza.
Hakuna mtu aliyesoma shule ambayo aliwahi fundishwa na watu wote. Nmekwambia sina shaka na uwezo wao lakini wao si watu sahihi wa kwenye hiyo field. Kuwa umesoma theolojia au ukawa daktari bingwa hakukufanyi ujue masuala mengine kinaga ubaga
Una point ya Msingi, ila jaribu kunielewa pia nilichoandika. Kuna wakati maji yakimwagika unatafuta wa kuyazoa japo unajua hayazoleki. Ila katika hili naamini kama halina Nia njema kwa Taifa halitafanikiwa. Likifanikiwa ujue faida ni kubwa koliko hasara kwa Taifa. Uwe na amani.
 
Lazima Rais Samia ajue kwa swala hili la bandari kachemka vibaya na sio tu litamgharimu yeye pekee bali Chama chake kwa ujumla, wamezoea kutuona Watz ni mazuzu.

CCM siku moja ilitakiwa ianguke na suala la bandari litakuwa "a starting point" ya kuanguka kwake.
Samia amekwishaonyesha kwa matendo yake mbalimbali tokea aingie kwenye uongozi wa nchi hii kwamba hana nia ya dhati ya kuitumikia nchi hii na kulinda maslahi yake.
Hili la Bandari limekuwa wazi zaidi kuhusu nia yake hiyo mbovu kwa nchi anayoiongoza na hata ambao walikuwa hawajui sasa wanajua.

Samia itabidi awe fundi sana wa kuzima maswala mazito kama haya, endapo kama atafanikiwa tena kuwahadaa watu wasione nia yake ovu kwa nchi hii.
Sasa anahangaika kutafuta njia za kupoza, kama huko kuwatumia viongozi wa dini, na pengine muda hauko mbali sana tutaanza pia kumsikia 'sponsor' wake mkubwa akiingia kazini kumsafisha.
Na kwa bahati mbaya sana, hata 'sponsor' mwenyewe haaminiki kwa waTanzania.
 
Kulingana na Katiba, Serikali ya Tanzania ilianzisha mkachato wa kuridhiwa na Bunge ili utekezaji wake uweze kuanza.
Kwa wale wasiojua kwa nini sisi wengine tunadai Katiba Mpya, hiyo nukuu hapo juu ni ya Waziri Prof. Mbarawa.

Kwamba wamefanya kila kitu kwenye huo mkataba wa bandari kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa. Na Bunge limeridhia!

Kuna wengine walidanganganywa eti kwamba Katiba haileti ugali mezani, na wakapokea upumbavu huo. Sasa Leo waone, kwa mara nyingine, jinsi Katiba inavyogusa maisha yao directly au indirectly. Katiba ni moyo wa siasa na maisha yenu na vizazi vyenu vijavyo.

Tukisema tunataka Katiba Mpya muwe mnatuelewa. Hapo ndiko chanzo kilipo cha matatizo ya uongozi na mfumo unaopelekea rasilimali zetu na Mali za umma kuibiwa, kuuzwa, kufisadiwa na kuendelea kunufuaisha kikundi/genge la watu wachache. Na solutions zinaanzia hapo kwa kuandika Katiba Mpya na Bora kuliko ya sasa. Tubonyeze kitufe cha RESET.

Tuungane kudai Katiba Mpya haraka zaidi.
 
Nkataba nimeumwagia MAJI ya mwaposa nkaskia msonyo mrefuuu alafu ukageuka paka mweusi ukatoka nduki.
Embu kwenye hizo nchi 36 walipo dp tukadese mikataba Yao tufanye fizibiliti stadi na comparative analisisi au Tiss wamelala nawasumbua??
 
Samia amekwishaonyesha kwa matendo yake mbalimbali tokea aingie kwenye uongozi wa nchi hii kwamba hana nia ya dhati ya kuitumikia nchi hii na kulinda maslahi yake.
Hili la Bandari limekuwa wazi zaidi kuhusu nia yake hiyo mbovu kwa nchi anayoiongoza na hata ambao walikuwa hawajui sasa wanajua.

Samia itabidi awe fundi sana wa kuzima maswala mazito kama haya, endapo kama atafanikiwa tena kuwahadaa watu wasione nia yake ovu kwa nchi hii.
Sasa anahangaika kutafuta njia za kupoza, kama huko kuwatumia viongozi wa dini, na pengine muda hauko mbali sana tutaanza pia kumsikia 'sponsor' wake mkubwa akiingia kazini kumsafisha.
Na kwa bahati mbaya sana, hata 'sponsor' mwenyewe haaminiki kwa waTanzania.
Kwa namna yoyote, kama ana Nia OVU kwa Tanganyika yetu hatafanikiwa milele. Hata kama mkataba umeshasainiwa hautapitishwa. Na hili alijue wazi.
 
Back
Top Bottom