Viongozi Ninaowazimia

Well Rev Masanilo, a quote for your thought: Evil prospers when good men do nothing. Goodnight!
 
Chemical Ali nae namzimia sana



Hahahahaha, the Comical version was great, I mean Mohammed Saeed al-Sahhaf "Comical Ali".


cnn-mss.jpg



kongdrop2.jpg





Halafu hapa kafanana na Wacha1


Arsenal is in control!
arsenal.jpg
 
Wewe kweli jiwe la seminary wakifa waislamu hata watoto siyo tatizo..endelea kufurahi ukatili..Ok

Viongozi ninaowahusudu ni

Mahathir Mohamed - Malaysia aliweza kui-transform malaysia from poor country to middle class earning country kwa miaka 15 tu madarakani wakati kilaza wetu nyerere akiwa busy kunyang'anya mashamba ya wananchi ikiwemo ya baba yangu na ku share umaskini

Mohammed Jinna -Pakistan aliweza kujitoa katika himaya ya india na kuunda serikali ya kiislam na kumiliki nuclear na kutengaza uchumi wa viwanda ambavyo hadi wajinga (viongozi wa sasa) walipoanza kujipendekeza kwa wamerakani wakaanza kutesa wananchi wao wenyewe..still nchi hiyo ina viwanda vingi wana export bidhaa nying middle east

Ahmadinejad -Iran msimamo na muungwana kwa watu wake, pamoja na vikwazo ameweza kuhudumia serikali yake kwa ujasiri mkubwa..ingekuwa vilza wengine wagekuwa kwishne

Muamar Qadafi..Libya amewahudumia watu wake vizuri..ila ame over stay anatakiwa kusoma alama za nyakati

Nelson Mandela - Speechless hana tamaa ya madaraka muungwana jasiri

Ally Hassan Mwinyi - Tanzania kuondoa watu wake kutoka kwenye giza hadi kwenye nuru, walikuwa hawajui internet (akiwemo Rev. Masa) hadi kuangalia TV, mwanademokrasia na muungwana kwa watu wake..tungekuwa na huyu miaka ya nyerere tungekuwa kama Malaysia kwa sasa.

Topical kumbe kuna wakati unakuwa Binadamu hata muhuni kama mie naweza kupata madini toka kichwani mwako...duh big up sheikh
 
Chemical Ali alikuwa Arsenal kumbe lol nimefurahia hilo.

Baba Mchungaji hapo hakuna hata picha ya Chemical Ally Majid al-tikrit.

Huyo ni yule waziri wa Habari kilaza kama Makamba au kama Hizza Tambwe.
Huyo ni al-saaf.

Chemical kafanana sana na Hayati Saddam coz ni dugu moja.
Chemical ndie mtu aliyehukumiwa zaidi kuliko kiongozi yeyote nchini Iraq.
mpk mwisho alikuwa na kesi 4 alizohukumiwa kifo.
 
1. Vladimir Putin
2. The late Saddam Hussein al-tikrit
3. Chavez
4. Castro
5. Adolf wa kijerumani.
 
Nawakubali,sadam husein,hugo chavez,nelson mandela,sheikh zaid al-nahyan,osama binladen,jarry rawlings,adolf hitler,ali hassan mwinyi,sayyid bin said,che guevara.
 
marais wanaochekacheka na wahujumu uchumi mi huwa sina wakati nao.

rais anaechekacheka tuuu kila wiki anakimbilia kucheza ngoma kijijini kwao, mara sijui beseni, mara sijui kwa biti mwashamba mjukuu wake anatoka...mi huwa sinaga muda nae.
 
Nawakubali,sadam husein,hugo chavez,nelson mandela,sheikh zaid al-nahyan,osama binladen,jarry rawlings,adolf hitler,ali hassan mwinyi,sayyid bin said,che guevara.

Mkuu huyo Mwinyi mtoe ni kilaza sana huyo aligeuza ikulu banda la kufugia kuku
 
marais wanaochekacheka na wahujumu uchumi mi huwa sina wakati nao.

rais anaechekacheka tuuu kila wiki anakimbilia kucheza ngoma kijijini kwao, mara sijui beseni, mara sijui kwa biti mwashamba mjukuu wake anatoka...mi huwa sinaga muda nae.

Kiongoi anayecheza kiduku Ikulu hapana kwa kweli
 
Maisha ni kuchagua kile ukipendacho bila kuchukiza wengine! Mimi nimependa hao jamaa kwa sababu zangu, mwingine anakuja kuniponda eti anafatilia post zangu! what a joke....nimependa wale walioweka viongozi wao ninawaheshimu. Mwingine anakuja na moto wa kifuu eti ninataka ubunge wa JF....you guys you made me sick! I am independent thinker sifikirii kama wewe na sintofanya hivyo. Wewe na usomi wako baki nao na mimi nakanyaga mwendo!

Sometimes don't argue with fools, you just go on... haya ni mawazo yako na mtu yeyote anapaswa kuyaheshimu achana nao... endelea.
 
Nimeangalia List za watu wote nimeona hakuna mwana JF Hata mmoja alioniwasilishia leaders wangu ninaowazimia style zao za kongoza ..Viongozi wa mfano kwangu ni:-

1.GEN. Antonio Manuel Noriega......PANAMA

2.Sylvio Berlusconi....ITALY na

3.Ahmed Hassan Diria
 
Nimeangalia List za watu wote nimeona hakuna mwana JF Hata mmoja alioniwasilishia leaders wangu ninaowazimia style zao za kongoza ..Viongozi wa mfano kwangu ni:-

1.GEN. Antonio Manuel Noriega......PANAMA

2.Sylvio Berlusconi....ITALY na

3.Ahmed Hassan Diria

Hah hah haaaah umelitaja Jembe la kung'oa vimwana...
Silvio Berlusconi nayazimia sana maisha yake.
Sura yake tu imekaa kuwa kiongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom