Viongozi Ninaowazimia

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao

  1. George Bush - US
  2. Adolf Hitler - Germany
  3. Benito Mussolini - Italy
  4. Hideki Tojo - Japan
  5. Ferenc Szálasi - Hungary
  6. Francisco Franco - Spain
Nina sababu nitaelezea baadaye mmoja mmoja

1. Gen Franco alizaliwa 1892 na kufa 1975. Alizaliwa kwenye familia ya kijeshi. Kati ya mwaka 1907 na 1910, alisoma katika chuo cha kijeshi cha Toledo Infantry alitumikia uhispania na Moroccokutoka mwaka 1910 to 1927. Alipata sifa kwa kushambulia wa Morocco mwaka 1927 na alipandishwa kuwa full Gen na kuwa mkuu wa chuo cha kijeshi cha Saragossa Military Academy. Mwaka 1936 alikuwa mnadhimu Mkuu wa jeshi la Spain na kiongozi mkuu. Mzee mzima Hitler alimkubali sana. Alikuwa mkatili sana huyu bwana.
 
Hata Tanzania utakuwa unawazimia hawa

Jakaya kikwete
Lowasa
RA
Ngereja
Karamagi
Anna Makinda

:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Hata Tanzania utakuwa unawazimia hawa

Jakaya kikwete
Lowasa
RA
Ngereja
Karamagi
Anna Makinda

:clap2::clap2::clap2::clap2:

Mkuu nakuomba usiniharibie post yangu: You have all the rights to Ignore my thread

Be blessed
 
nimejaribu kuangalia historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao

  1. george bush - us
  2. adolf hitler - germany
  3. benito mussolini - italy
  4. hideki tojo - japan
  5. ferenc szálasi - hungary
  6. francisco franco - spain

nina sababu nitaelezea baadaye.
mkuuu unaonekana unahali ya udikteta bcs wengi wao walikuwa madikteta!
 
mkuuu unaonekana unahali ya udikteta bcs wengi wao walikuwa madikteta!

Hao jamaa walikuwa hawauzi sura kabisa! Wakiona wewe unatabia za Chenge, Rost TAMU ama Rich man of Monduli basi ulikuwa unapotea.
 
hao jamaa walikuwa hawauzi sura kabisa! Wakiona wewe unatabia za chenge, rost tamu ama rich man of monduli basi ulikuwa unapotea.
ni kweli mkuu hao jamaa walikuwa si mchezo ila mkuu umeniuzi sipendi kuwasikia uliyowataja hapo juu! Mafisadi hao!
 
Hideki Tojo - Japan

200px-Tojo2.jpg

Huyu alizaliwa December 1884 na kufa 23 December 1948. Alikuwa gen wa jeshi la Japan na waziri mkuu wa 40. Heideki alishambulia bandari ya Pearl inaaminiwa hii ilisababisha US kuingia kwenye vita kuu ya pili ya dunia. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Gen Tojo alihukumiwa kufa sababu ya war crimes na alinyongwa mwaka 1948. Alijaribu kujiuwa mara kadhaa bila kufanikiwa akiwa kifungoni akisubiri hukumu. Jamaa alikuwa mkatili ile mbaya alikuwa hacheki na wajinga wajinga.
 
napenda combination hii ya viongozi
1.Sharoon (x-PM of israel)+ Bush
2 Hugo Chaves+pinochet
.3.Ntabire Karungiza (Rwanda)+Father IVOCUTUS
4.Marytina+Rev Masanilo (wa hapa JF)
5.Benito+Suzuki+Hitler
NOTE: namba four have the same as namba 1
 
Ferenc Szálasi - Hungary

225px-SzalasiFerenc.jpg

Ferenc alizaliwa 6 January 1897 na kufa 12 March 1946. Alikuwa kiongozi wa National Socialist Arrow Cross Party, Alikuwa kiongozi Mkuu wa Hungary, waziri Mkuu na mkuu wa majeshi looh! Kwa miezi michache Hungary ikiwa kwenye vita kuu ya pili Ferenc na jeshi lake waliuwa waisrael 15,000 alikuwa katili sana, kuchinja watu yeye ilikuwa ni kama kuku. Baada ya vita kuu ya pili alinyongwa na majeshi ya Sovieti.
 
Hideki Tojo - Japan

200px-Tojo2.jpg

Huyu alizaliwa December 1884 na kufa 23 December 1948. Alikuwa gen wa jeshi la Japan na waziri mkuu wa 40. Heideki alishambulia bandari ya Pearl inaaminiwa hii ilisababisha US kuingia kwenye vita kuu ya pili ya dunia. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Gen Tojo alihukumiwa kufa sababu ya war crimes na alinyongwa mwaka 1948. Alijaribu kujiuwa mara kadhaa bila kufanikiwa akiwa kifungoni akisubiri hukumu. Jamaa alikuwa mkatili ile mbaya alikuwa hacheki na wajinga wajinga.

Duh mkuu unaonekana ni mtu katili sana tofauti na title yako Rev walah ukija kuchumbia kwetu hupati mke.
 
Benito Mussolini - Italy

Jina lake kirefu Benito Amilcare Andrea Mussolini.
240px-Bundesarchiv_Bild_183-2007-1022-506%2C_Italien%2C_deutsche_Frontk%C3%A4mpfer_in_Rom_crop.jpg

Huyu Jamaa alikuwa ni kiongozi wa Italy. Alizaliwa 29 July 1883 na kufa 28 April 1945. Alikuwa kiongozi wa National Fascist Party, inaaminika huyu alikuwa ni mwanzilishi wa Fascism. Mussolini alikuwa ni waziri mkuu wa 40 wa Italy. Field Marshal ni cheo alichojipa jeshini. Jamaa alikuwa mkatili sana sana! Heri ukutane na Simba mwenye njaa kuliko huyu bwana kwenye anga zake.Alifanikiwa sana kuitawala Italy, kifo chake hakieleweki vizuri kuna story mingi.
 
Duh mkuu unaonekana ni mtu katili sana tofauti na title yako Rev walah ukija kuchumbia kwetu hupati mke.

Mkuu sisi wanawake wengi hutupenda sababu wanajua watakuwa na Mwanaume ndani!
 
Masanilo last time i checked, nakumbuka ulisema unampango wa kugombea ubunge, sasa kwa picha hii na thread hii unaonyesha fika hufai na wewe ni msaliti wa democrasi haina haja ya kutupa profile za hao watu kwani hata sisi tunajua wapi cvs zipatakina, wewe unatakiwa utueleze kwanini una wapenda na kuwazimia madikteta zaidi ya wanamapinduzi wa kweli, kama akina carlos max, vladir alych lenin,ernesto che guevara, mahatma gandhi na wengineo kwa style hiyo wewe hutufai na nimiongoni mwa wanafiki na wasaliti wakubwa wa demokrasia, unampenda bush kwa lipi zuri alilolifanya zaidi ya u free manson na mauaji tya kinyama kwa watu wasio na hatia? na huyo hitler aliyoyafanya sobibo tunayajua, ki ukweli nimekudharau sana kwa thread yako ya leo.
 
Utakuwa una tatizo kubwa sana akilini! Nikigombea ubunge nije tangaza JF? Hebu jaribu kwa na fikra. Nitapata kura ngapi hapa JF? kwanza ninakotoka hata umeme wa mgao haupo. Sasa ni mpigakura yupi angesoma JF? Nina haki ya kuchagua nikipendacho sawa kijana! Usiwe unasoma Kitu JF na kumeza wengine tunachukulia hapa ni kijiwe tu. Nadhani hutaleta fikra duni zako milele.
 
Mw Julius K Nyerere
Dr.Jakaya M kikwete
James Mapalala
Abdurahman Babu
Dr Lawrence Gama
Mzee Makamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom