Viongozi Ninaowazimia

Utakuwa una tatizo kubwa sana akilini! Nikigombea ubunge nije tangaza JF? Hebu jaribu kwa na fikra. Nitapata kura ngapi hapa JF? kwanza ninakotoka hata umeme wa mgao haupo. Sasa ni mpigakura yupi angesoma JF? Nina haki ya kuchagua nikipendacho sawa kijana! Usiwe unasoma Kitu JF na kumeza wengine tunachukulia hapa ni kijiwe tu. Nadhani hutaleta fikra duni zako milele.

hapo kwenye nyekundu nahitaji ufafanuzi zaidi, na pia kumbe wewe unaichukulia jf kama kijiwe? pole sana ndio maana unaenda ku copy kwenye encearta encyclopdia cv zawatu then unakuja zi paste hapa, nadhani wewe ndio unamatatizo na hisi una homon nyingi za kike zaidi ya za kiume

Hapo kwenye nyekundu sijapenda! Kuwa mtoa mada ana homoni nyingi za kike kuliko za kiume? Ni udhalilishaji wa jinsia, inaonyesha ni kwa jinsi gani unawadharau wanawake? Inakuwaje unatofautiana na mwenzako kimawazo halafu unasema neno kama hilo? Wakuu nashauri wachangiaji wanaodhalilishaji wanawake wa moja kwa moja kama hivi wapigwe BAN! Hizo homoni za kike zikoje? Nyie ndiyo wale kwenye ndoa zenu ni mfumo dume tu. Kama ndiyo bosi hakuna mwanakme atakayekuwa promoted, waheshimu wanawake, ni mama zako, umelelewa kwenye tumbo la mama yako miezi 9, si ndiyo! Natumaini umenipata
 
Jean-Claude Duvalier, nicknamed "Bébé Doc" or "Baby Doc".
Alizaliwa july 1951, alikuwa raisi wa Hait from 1971 akiwa na miaka 19 pata picha. Hii ni baada ya babake kuaga dunia.
Akiwa Rais aliishi maisha ya juu, alioa kwa gharama za serikali dola 3m, uza Unga, na viungo vya binadamu wahaiti waliokufa.
Pamoja na yote hayo US walifumba macho kwa sababu alikuwa na msimamo mkali wa kukataa ukomunisti.
1986 nguvu ya umma ikamtoa kutokana na umasikini akakimbia. Baada ya miaka karudi tena hm eti kuja kuwasaidia.

RememberUS government ina sura 2, leo nyeupe kesho nyeusi.
 
Hapo kwenye nyekundu sijapenda! Kuwa mtoa mada ana homoni nyingi za kike kuliko za kiume? Ni udhalilishaji wa jinsia, inaonyesha ni kwa jinsi gani unawadharau wanawake? Inakuwaje unatofautiana na mwenzako kimawazo halafu unasema neno kama hilo? Wakuu nashauri wachangiaji wanaodhalilishaji wanawake wa moja kwa moja kama hivi wapigwe BAN! Hizo homoni za kike zikoje? Nyie ndiyo wale kwenye ndoa zenu ni mfumo dume tu. Kama ndiyo bosi hakuna mwanakme atakayekuwa promoted, waheshimu wanawake, ni mama zako, umelelewa kwenye tumbo la mama yako miezi 9, si ndiyo! Natumaini umenipata

Post of the day! Asante....nilishindwa mjibu hivi ningeliambiwa Rev Masa ni Mdini. Lakini ndugu yangu ukifatilia kwa mbali wanaodharau wanawake ni mfumo mzima waliokuwa nao. Kuweka matusi yeye anaona kuwa ana kiwango cha juu cha Testosterone, hajui kuwa inawezekana yeye ana Progesterone kiwango cha kutosha. Ni ngumu sana watu wa namna hii kuheshimu wanawake hawa hupaza sauti wanawake wapigwe mawe wanasahau ni mama zao. Nimefatilia sana watu wa namna hii hupiga wake zao ngumi eti wao ni wanaume sana.
 
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao

  1. George Bush - US
  2. Adolf Hitler - Germany
  3. Benito Mussolini - Italy
  4. Hideki Tojo - Japan
  5. Ferenc Szálasi - Hungary
  6. Francisco Franco - Spain
Nina sababu nitaelezea baadaye mmoja mmoja

1. Gen Franco alizaliwa 1892 na kufa 1975. Alizaliwa kwenye familia ya kijeshi. Kati ya mwaka 1907 na 1910, alisoma katika chuo cha kijeshi cha Toledo Infantry alitumikia uhispania na Moroccokutoka mwaka 1910 to 1927. Alipata sifa kwa kushambulia wa Morocco mwaka 1927 na alipandishwa kuwa full Gen na kuwa mkuu wa chuo cha kijeshi cha Saragossa Military Academy. Mwaka 1936 alikuwa mnadhimu Mkuu wa jeshi la Spain na kiongozi mkuu. Mzee mzima Hitler alimkubali sana. Alikuwa mkatili sana huyu bwana.

Duh! Kweli elimu ya seminary imekuharibu sawasawa....

Bush yule idiot, aliyesababisha uchumi wa merakani kuwa kwenye balaa, na kuua watu wengi sana huko Iraq na afghanista? unamhusudu..

Hitle aliyeingiza dunia kwenye shida na kuua waisrael (alleged) unamhusudu

Acha kula sadaka za kanisa rev.., ujue zambi moja huzaa nyingine sasa unatamani kula damu?
 
Post of the day! Asante....nilishindwa mjibu hivi ningeliambiwa Rev Masa ni Mdini. Lakini ndugu yangu ukifatilia kwa mbali wanaodharau wanawake ni mfumo mzima waliokuwa nao. Kuweka matusi yeye anaona kuwa ana kiwango cha juu cha Testosterone, hajui kuwa inawezekana yeye ana Progesterone kiwango cha kutosha. Ni ngumu sana watu wa namna hii kuheshimu wanawake hawa hupaza sauti wanawake wapigwe mawe wanasahau ni mama zao. Nimefatilia sana watu wa namna hii hupiga wake zao ngumi eti wao ni wanaume sana.

Wewe ni mdini tena umekuharibu akili..unataumia mpaka kifo chako unless ubadilike..
 
Duh! Kweli elimu ya seminary imekuharibu sawasawa....

Bush yule idiot, aliyesababisha uchumi wa merakani kuwa kwenye balaa, na kuua watu wengi sana huko Iraq na afghanista? unamhusudu..

Hitle aliyeingiza dunia kwenye shida na kuua waisrael (alleged) unamhusudu

Acha kula sadaka za kanisa rev.., ujue zambi moja huzaa nyingine sasa unatamani kula damu?

Bush hakushusha uchumi wa Marekani! Ni mfumo mzima wa kidunia, kwanini usikubali alishughulikia Magaidi!!..hebu google sababu za Economic recession! Kuna mwenzako hapo kaniambia nina akili za kike ....huwa zikoje? ama ndiyo mafundisho yenu? Usiharibu thread yangu tafadhali
 
Mi nawazimia sana hawa jamaa, Parveen kumar, Michael Clark, Davison, Snel hawa jamaa noma sana kwenye clinical medicine, na Snel alikuwa noma kuichambua human anatomy.
 
Mbona umemsahau Benjamin S Carson pamoja na kuwa upbringing yake ilikuwa mbaya alikuja kuwa bingwa wa Neurosurgery mmarekani mweusi.
 
Bush hakushusha uchumi wa Marekani! Ni mfumo mzima wa kidunia, kwanini usikubali alishughulikia Magaidi!!..hebu google sababu za Economic recession! Kuna mwenzako hapo kaniambia nina akili za kike ....huwa zikoje? ama ndiyo mafundisho yenu? Usiharibu thread yangu tafadhali

Watoto na akina mama waliokufa iraq ni magaidi lol hata chembe ya huruma huna wewe kweli mwanakondoo wa seminary

Uchumi wa merakani ulianza kuporomoka kwa sababu ya expenditure kubwa ya kijeshi kufinance operations...
 
Uchumi mzima wa dunia ulianza kuwa tenge si sababu tu ya vita wewe! Afghanistan kule ni makao makuu ya magaidi mazee .....nipe orodha ya viongozi unawapenda ili tusiharibu thread.
 
Rev. Masanilo nadhani too much of JF inakupotosha sasa. Nimekua nikifuatilia sana threads zako kama mtu makini katika JF lakini hizi za mwisho mwisho zimelenga sana udini na hii imenisononesha sana kama unahusudu waalifu wa vita waliongamiza mamilioni ya watu. Nadhani mtanzania msomi Rev Masanilo unapaswa kuijua historia ya dunia na machungu watu hao walioletea dunia, kama mtu mwenye utu unapaswa kuonea aibu uhalifu. Tukiusifu uhalifu kama hivi tunalishushia hadhi jamvi na hatuna tofauti na wale wanaowasifu mafisadi na kuwakingia kifua.

«I trust that everything happens for a reason, even if we are not wise enough to see it.» Oprah Winfrey
progress.gif
 
Uchumi mzima wa dunia ulianza kuwa tenge si sababu tu ya vita wewe! Afghanistan kule ni makao makuu ya magaidi mazee .....nipe orodha ya viongozi unawapenda ili tusiharibu thread.

Wewe kweli jiwe la seminary wakifa waislamu hata watoto siyo tatizo..endelea kufurahi ukatili..Ok

Viongozi ninaowahusudu ni

Mahathir Mohamed - Malaysia aliweza kui-transform malaysia from poor country to middle class earning country kwa miaka 15 tu madarakani wakati kilaza wetu nyerere akiwa busy kunyang'anya mashamba ya wananchi ikiwemo ya baba yangu na ku share umaskini

Mohammed Jinna -Pakistan aliweza kujitoa katika himaya ya india na kuunda serikali ya kiislam na kumiliki nuclear na kutengaza uchumi wa viwanda ambavyo hadi wajinga (viongozi wa sasa) walipoanza kujipendekeza kwa wamerakani wakaanza kutesa wananchi wao wenyewe..still nchi hiyo ina viwanda vingi wana export bidhaa nying middle east

Ahmadinejad -Iran msimamo na muungwana kwa watu wake, pamoja na vikwazo ameweza kuhudumia serikali yake kwa ujasiri mkubwa..ingekuwa vilza wengine wagekuwa kwishne

Muamar Qadafi..Libya amewahudumia watu wake vizuri..ila ame over stay anatakiwa kusoma alama za nyakati

Nelson Mandela - Speechless hana tamaa ya madaraka muungwana jasiri

Ally Hassan Mwinyi - Tanzania kuondoa watu wake kutoka kwenye giza hadi kwenye nuru, walikuwa hawajui internet (akiwemo Rev. Masa) hadi kuangalia TV, mwanademokrasia na muungwana kwa watu wake..tungekuwa na huyu miaka ya nyerere tungekuwa kama Malaysia kwa sasa.
 
Hapo kwenye nyekundu sijapenda! Kuwa mtoa mada ana homoni nyingi za kike kuliko za kiume? Ni udhalilishaji wa jinsia, inaonyesha ni kwa jinsi gani unawadharau wanawake? Inakuwaje unatofautiana na mwenzako kimawazo halafu unasema neno kama hilo? Wakuu nashauri wachangiaji wanaodhalilishaji wanawake wa moja kwa moja kama hivi wapigwe BAN! Hizo homoni za kike zikoje? Nyie ndiyo wale kwenye ndoa zenu ni mfumo dume tu. Kama ndiyo bosi hakuna mwanakme atakayekuwa promoted, waheshimu wanawake, ni mama zako, umelelewa kwenye tumbo la mama yako miezi 9, si ndiyo! Natumaini umenipata

Achana na mjinga anayetukana mama yake aliyemzaa. Hao ndiyo watoto walioshuhudia mama zao wakipigwa makofi tangu wakiwa tumboni. Wamelelewa kwenye mfumo dume. Ni wa kuwapuuza!!
 
Wewe kweli jiwe la seminary wakifa waislamu hata watoto siyo tatizo..endelea kufurahi ukatili..Ok

Viongozi ninaowahusudu ni

Mahathir Mohamed - Malaysia aliweza kui-transform malaysia from poor country to middle class earning country kwa miaka 15 tu madarakani wakati kilaza wetu nyerere akiwa busy kunyang'anya mashamba ya wananchi ikiwemo ya baba yangu na ku share umaskini

Mohammed Jinna -Pakistan aliweza kujitoa katika himaya ya india na kuunda serikali ya kiislam na kumiliki nuclear na kutengaza uchumi wa viwanda ambavyo hadi wajinga (viongozi wa sasa) walipoanza kujipendekeza kwa wamerakani wakaanza kutesa wananchi wao wenyewe..still nchi hiyo ina viwanda vingi wana export bidhaa nying middle east

Ahmadinejad -Iran msimamo na muungwana kwa watu wake, pamoja na vikwazo ameweza kuhudumia serikali yake kwa ujasiri mkubwa..ingekuwa vilza wengine wagekuwa kwishne

Muamar Qadafi..Libya amewahudumia watu wake vizuri..ila ame over stay anatakiwa kusoma alama za nyakati

Nelson Mandela - Speechless hana tamaa ya madaraka muungwana jasiri

Ally Hassan Mwinyi - Tanzania kuondoa watu wake kutoka kwenye giza hadi kwenye nuru, walikuwa hawajui internet (akiwemo Rev. Masa) hadi kuangalia TV, mwanademokrasia na muungwana kwa watu wake..tungekuwa na huyu miaka ya nyerere tungekuwa kama Malaysia kwa sasa.

Thank you! Kumbe wakati mwingine unaweza kufikiri outside the black box.

Wote nakubaliana ila Mwinyi Mmmhhhhhhh aliongeza matapeli mjini.
 
Bila mwinyi usingeenda shule wewe!

Mataaapeli wako dunia nzima hata merakani unakumbuka issue ya ponzi scheme!
 
Hebu acha hizo hujui umri wangu wewe! Nimesoma enzi za Kambarage. Mzee Mwinyi ukienda kule posta unakutana na vijana mission taown wana ofisi kwenye brief case. Wasomi soli za viatu ziliisha hakuna kazi wanjanja shule hawana walikuwa na mkwanja ile mbaya. Thanks to Mkapa wasomi walipata kazi, mkwere kaja kuharibu zaidi.
 
Itakuwa dhambi kubwa wewe kumsifia muislam (I know)..seminary shule bana siyo mchezo kwa kufundisha ukatili..

Ila kutuletea kichefuchefu cha mkapa hapa BIG NO! borda!

Nyerere ndio kabisa kuanzia personal (family kutonyan'anya kiwanda na shamba eti mabepari) mpaka kitaifa..ni mchoyo, mshzeeenzi..
 
1. Kinjeketile
2.Mkwawa
3.Mirambo
4. Mwanamalundi
5.Chief Fundikira
6. Oscar Kambona
:bump:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom