Viongozi Ninaowazimia

Hah hah haaaah umelitaja Jembe la kung'oa vimwana...
Silvio Berlusconi nayazimia sana maisha yake.
Sura yake tu imekaa kuwa kiongozi

Berlusconi ni noma huyo kwa vimwana nadhani dose za viagra zinamsaidia jamaa yuko above 72 lakini anakula uroda na under 17s
 
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao

  1. George Bush - US
  2. Adolf Hitler - Germany
  3. Benito Mussolini - Italy
  4. Hideki Tojo - Japan
  5. Ferenc Szálasi - Hungary
  6. Francisco Franco - Spain

Nina sababu nitaelezea baadaye mmoja mmoja

1. Gen Franco alizaliwa 1892 na kufa 1975. Alizaliwa kwenye familia ya kijeshi. Kati ya mwaka 1907 na 1910, alisoma katika chuo cha kijeshi cha Toledo Infantry alitumikia uhispania na Moroccokutoka mwaka 1910 to 1927. Alipata sifa kwa kushambulia wa Morocco mwaka 1927 na alipandishwa kuwa full Gen na kuwa mkuu wa chuo cha kijeshi cha Saragossa Military Academy. Mwaka 1936 alikuwa mnadhimu Mkuu wa jeshi la Spain na kiongozi mkuu. Mzee mzima Hitler alimkubali sana. Alikuwa mkatili sana huyu bwana.

....uje utuweke bayana!!
 
Mkuu huyo Mwinyi mtoe ni kilaza sana huyo aligeuza ikulu banda la kufugia kuku
mkuu masanilo mbona mwinyi alituletea mabadiliko yakiuchumi kilamtu akaweza kununua atakacho sio kama enzi ya mjomba wako nyerere hata tv alikua nayo yeye tu,hata sukar ya mgao kutoka rtc.
 
Ni viongozi tunaowahitaji kwa sasa Tanzania, to publicly hang EL, RA, JK etc for the betterment of more than 40 mil Tanzanians.
 
mkuu masanilo mbona mwinyi alituletea mabadiliko yakiuchumi kilamtu akaweza kununua atakacho sio kama enzi ya mjomba wako nyerere hata tv alikua nayo yeye tu,hata sukar ya mgao kutoka rtc.

Mwera!

We are all trapped in the matrix of thinking if you believe Mwinyi was a good leader then I simply differ with you. Do you remember the 1992 Rio Summit Tanzania delegates and the scandals?
 
Ok my friend masa baki na msimamo wako ila mm nahisi mwinyi alitutoa dunia ya giza akatuweka katika nuru ya dunia iliyoendelea.
 
Ok my friend masa baki na msimamo wako ila mm nahisi mwinyi alitutoa dunia ya giza akatuweka katika nuru ya dunia iliyoendelea.

Mwinyi anastahili kuchapwa makofi! Kila kitu Ruksa aliuza hadi Mbuni na Kasuku wa Ikulu acha ile Loliondo gate.
 
Rev. Masanilo nadhani too much of JF inakupotosha sasa. Nimekua nikifuatilia sana threads zako kama mtu makini katika JF lakini hizi za mwisho mwisho zimelenga sana udini na hii imenisononesha sana kama unahusudu waalifu wa vita waliongamiza mamilioni ya watu. Nadhani mtanzania msomi Rev Masanilo unapaswa kuijua historia ya dunia na machungu watu hao walioletea dunia, kama mtu mwenye utu unapaswa kuonea aibu uhalifu. Tukiusifu uhalifu kama hivi tunalishushia hadhi jamvi na hatuna tofauti na wale wanaowasifu mafisadi na kuwakingia kifua.
wewe ndio unashindwa kumwelewa Rev. HAO ALIOWATAJA WALILETA MAENDELEO makubwa kwao, kama unabisha tuwekee udhibitisho.
Kivipi useme anaendekeza udini?kwani huo uhalifu unaousemea ulifwanya dhidi ya watu wa dini nyingine?au basi ukiona Rev unakwazika

Mkuu mimi aliyeniacha hoi kwa ukatili ni Adolf Hitler,aliwauwa waisrael zaidi ya milioni 6!!!
 
Nimekuelewa Rev Masanilo:clap2: Angalau mungu angetupa japo 1 kati ya hao uliowataja nadhani wajinga wajinga kama Fisadi Kikwete, Lowassa, RA na wengineo wangekuwa History katika ni nchi yetu. Nimewaweka kwa rangi nyekundu kwa kuwa hao watu ni hatari kwa Taifa letu waharibifu wa Nchi:laugh: Lete Intelejensia kama hizo hapa JF Rev Masanilo Nimeipenda hii:clap2::roll:
 
Chemical Ali alikuwa Arsenal kumbe lol nimefurahia hilo.

Nafikiri umechanganya kidogo, huyo niliyeweka picha zake ni COMICAL ALI (Mohammed Saeed al-Sahhaf), alikuwa waziri wa habari wakati wa Iraq invasion 2003. Alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kwa jinsi alivyokuwa anaongopa live kwenye TV, kwa mfano alikanusha kwamba majeshi ya US hayajaingia Baghdad lakini wakati huohuo kwa nyuma yake majeshi yakionekana live yako Baghdad. Kwa staili yake hiyo alionekana ni kichekesho sana hasa kwenye TV za Western world hivyo akapewa majina kibao, UK wakamwita Comical Ali (Ali Mchekeshaji) wakifanya reference ya Chemical Ali (Ali Hassan al-Majid) ambaye yeye alikuwa mnyama hatari.

Yeah, jamaa ni Arsenal damu na mwenye matumaini hewa kama ya Wacha1.
 
Ataturk.jpg

Kemal Ataturk
Alizaliwa na jina lake kamili kama Mustafa Kemal Ataturk kiblia Thessalonike Ugiriki mwaka 1881...Huyu mwanaume aliitawala miaka 15 na alikufa 1938 akiwa madarakani..

Mwanaume huyu katika kitu ambacho alikifanya aliibadilisha jamii ya kiislamu ya kiOttoman kuwa jamhuri ya kiistarabu watu wa Uturuki.... kwa kuangalia haraka haraka huyu mwanaume unaweza ona kafanya kitu kidogo lakini hakika nawaambieni badiliko la kilazima katika jamii na kisiasa ilibadilisha kabisaaa taswira ya kiislamu....kutoka hapo alibadilisha kabisa mpaka uvaaji wa jamii ile na ku adopt culture ya kizungu na ndie inafahamika kama baba wa taifa la uturuki...

Namkubali zaidi pale alipobadili na kupiga marufuku ushenzi wa yale maandishi yatokayo kulia kwenda kushoto...na kuanza kutumia alfabeti za kirumi..
 
Utakuwa una tatizo kubwa sana akilini! Nikigombea ubunge nije tangaza JF? Hebu jaribu kwa na fikra. Nitapata kura ngapi hapa JF? kwanza ninakotoka hata umeme wa mgao haupo. Sasa ni mpigakura yupi angesoma JF? Nina haki ya kuchagua nikipendacho sawa kijana! Usiwe unasoma Kitu JF na kumeza wengine tunachukulia hapa ni kijiwe tu. Nadhani hutaleta fikra duni zako milele.

Hiyo bluu: Basi nachukulia thread yako very lightly.
 
Ataturk.jpg

Kemal Ataturk
Alizaliwa na jina lake kamili kama Mustafa Kemal Ataturk kiblia Thessalonike Ugiriki mwaka 1881...Huyu mwanaume aliitawala miaka 15 na alikufa 1938 akiwa madarakani..

Mwanaume huyu katika kitu ambacho alikifanya aliibadilisha jamii ya kiislamu ya kiOttoman kuwa jamhuri ya kiistarabu watu wa Uturuki.... kwa kuangalia haraka haraka huyu mwanaume unaweza ona kafanya kitu kidogo lakini hakika nawaambieni badiliko la kilazima katika jamii na kisiasa ilibadilisha kabisaaa taswira ya kiislamu....kutoka hapo alibadilisha kabisa mpaka uvaaji wa jamii ile na ku adopt culture ya kizungu na ndie inafahamika kama baba wa taifa la uturuki...

Namkubali zaidi pale alipobadili na kupiga marufuku ushenzi wa yale maandishi yatokayo kulia kwenda kushoto...na kuanza kutumia alfabeti za kirumi..

Nice one! Mzee mzima hebu endelea kudondosha zaidi hawa watawala unaowazimia
 
Kule South Korea yupo ,nasikia hajawahi kucheka tokea aukwae ukuu ,ingawa kocha wa Misri nae hajawahi kucheka.
 
wewe ndio unashindwa kumwelewa Rev. HAO ALIOWATAJA WALILETA MAENDELEO makubwa kwao, kama unabisha tuwekee udhibitisho.
Kivipi useme anaendekeza udini?kwani huo uhalifu unaousemea ulifwanya dhidi ya watu wa dini nyingine?au basi ukiona Rev unakwazika

Nadhani kama hukusoma sekondari ya kata, ungejua hayo uliyouliza... Hii ni historia iliyo wazi ila kama hujui basi... Je ni Wayahudi (Jews) waliteketezwa kwenye Gas Chambers na Adolf Hitler? Sababu zilikuwa ni nini? Na unaposema Adolf Hitler alileta maendeleo makubwa, je unajua maisha walioshi wajerumani baada ya vita kuu II. Ni aibu kusikia mtu anajaribu kutetea udhalimu uliochefua ulimwengu mzima! Hata kwa wajerumani wenyewe wakikusikia eti unadai Adolf Hitler alileta maendeleo watakuona mwehu! ... kama hayo ndio mawazo yako basi hata matokeo ya shule za kata ungekuwa wa mwisho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom