Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
- Thread starter
- #61
Itakuwa dhambi kubwa wewe kumsifia muislam (I know)..seminary shule bana siyo mchezo kwa kufundisha ukatili..
Ila kutuletea kichefuchefu cha mkapa hapa BIG NO! borda!
Nyerere ndio kabisa kuanzia personal (family kutonyan'anya kiwanda na shamba eti mabepari) mpaka kitaifa..ni mchoyo, mshzeeenzi..
Mkuu umeanza kuweka issue za ubwabwa! Hebu rudi kwenye thread viongozi unaowazimia na sababu.