Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Schadenfreude!
Ukilaza halisi ni kufikiri kwamba watu Tanzania wanafeli/ wanashindwa mitihani kwa sababu ni vilaza. This is wha I call "blaming the victim".
System yoyote inayoweza kufanya zaidi ya 70 ya watahiniwa kupata division 4 and 0 imefeli.
Ni system inayofeli, si individuals.

????
schadenfreude n. Pleasure derived from the misfortunes of others.
SASA jamii forums na kijerumani wapi na wapi?