Vilaza wanaotaka kujiunga na UDSM (angalia walivyochemka): haya ni matokeo ya UPE

This tells u kwa nini watu wanaamua kwenda njia ya kina Nchimbi, Mkulo, Diallo etc.
 
Ukilaza halisi ni kufikiri kwamba watu Tanzania wanafeli/ wanashindwa mitihani kwa sababu ni vilaza. This is wha I call "blaming the victim".

System yoyote inayoweza kufanya zaidi ya 70 ya watahiniwa kupata division 4 and 0 imefeli.

Ni system inayofeli, si individuals.
 
TRUE and The opposite is also true, all should follow the LAW OF NORMAL DISTRIBUTION

Ukilaza halisi ni kufikiri kwamba watu Tanzania wanafeli/ wanashindwa mitihani kwa sababu ni vilaza. This is wha I call "blaming the victim".

System yoyote inayoweza kufanya zaidi ya 70 ya watahiniwa kupata division 4 and 0 imefeli.

Ni system inayofeli, si individuals.
 
Ukilaza halisi ni kufikiri kwamba watu Tanzania wanafeli/ wanashindwa mitihani kwa sababu ni vilaza. This is wha I call "blaming the victim".

System yoyote inayoweza kufanya zaidi ya 70 ya watahiniwa kupata division 4 and 0 imefeli.

Ni system inayofeli, si individuals.

Halafu inaonekana wengi wao hawakufanya paper11, sasa sijui ndio kufeli kwa system kwenyewe huko!!
 
Duh......hawa kama ni wazazi basi wasiwalaumu watoto wao wanapofeli mitihani mashuleni na wao wawaonyeshe watoto wao matokeo yao........cheers
 
A E I O U someni kwa furaha! Kisomo chenye manufaa hicho adult learning ujue, hao sio vilaza bali wamejitahidi sana kwa usomaji wa Tanzania na namna ya kuassess. Utasomaje na njaa ya extended family nzima huku ofisini nao wanakung'ang'ania? Unakula kiatu kufuata kitabu library ambako kitabu kipya ni cha 1964? tena nacho unatoka kijijini umelala njiani siku tatu kuifikia library hiyo, ukalale kwa jamaa yako ambaye anataka mpige story usiku kucha halafu urudi nyumbani siku tatu na kama ni mwalimu hujui mshahara wako wa mezi jana utapata mwezi huu au mwezi kesho????? Bora kina mkulo na Dialo na Nchimbi walamua kujichimbia kariakoo na wakaibuka na Penye haba Dili (PhD).
 
UDSM iko juu ktk ubora wa elimu tz na africa
vya binafsi sifuri hatii mguu kwa chuo mama
mnaonaje hili ukizingatia rpoti za mitandao kuhusu rank.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom