Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten)
Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi vyuoni ambao wanaweza kupoteza muda wao kwa ajili ya kuunga mkono ubadhirifu unaofanywa na mawaziri wa jk,

Nimewaona katika ITV kama walikuwa wengi ni kama 35. Kilichokuwa kimefunika ni mabango. Hata Nape mwenyewe amechuka muda kuyasoma moja moja. Otherwise innaonekana ni maandamano ya 'kutengezwa'.
 
Mbona chama cha magamba (CCM) siku zote kinadai wanachuo wasijihusishe na siasa!! Sasa hii imekaaje au wakiona chadema wanapata wanachama lukuki chuoni basi inakuwa nongwa. Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Wanachama wanachuo wa chadema wakiandamana wanafukuzwa chuo na maandamano yao ni haramu, wanachuo wa ccm wakiandamana ni halali hawasababishi uvunjikaji wa amani. Haya bwana tutaonana 2015.
 
Hao wanafunzi mi nadhani ni vijifisadi vinavyoandaliwa baadae. But imekula upande wao maana zama za CCM zinaishia 2015, from there Peoplez power tutakuwa tunarun TZ.:yo:
 
Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.
acha CCM izomewe nchi nzima,ubaguzi walianzisha wenyewe kwa kuwaona Watanzania wasiokuwa wana CCM ni daraja la pili!! na bado wataanza kuzomewa mitaani kama vibaka wakwapuaji wa simu.
 
ushawahi kuona vyuo vya uk or US vinaandamana or kupiga makelele kuhusu siasa??? kama wanachuo just concentrate on ur studies and progression....period
 
wamejidhalilisha tu, ukiona hivyo ujue njaa imetaka kuwaua huko vyuoni kwao ndio maana wamekuja.......by the way ccm ni sikio la kufa halisikii dawa ila linaisikia chadema tu, f........u.....k u mafisadi mlioandamana we pay u nothing but shit
 
nadhani ni vile vyuo vya Kariakoo na Ilala, sijui splendid hahahhah CCM mbona unachelewa kufa KIBUDU?
 
..Wasomi kama hawa hawawezi kutusaidia. Mbona hawakuandamana kushinikiza mawaziri waondolewe? Hawakuweza hata kutoa tamko, ajabu leo wanaandama kupongeza nini?
 
TUWAULIZE VIJANA HAWA WALIPEWA SH.NGAPI? Halafu lazima waelewe kwamba wamejipaka tope la hongo ambalo limewaondoa katika umma wa uaminifu kwenda katika corrup society.MSOMI UTAKUBALIJE KUPAKIWA KWENYE GARI BADALA YA KUDEMONTRATE MWANZO MWISHO ILI KUVUTA WANANCHI WENGI? Nina uhakika vijana hawa wametumika vibaya na wataathirika kisaikolojia sana tu.HIVYO VYUO NAOMBA NIVIJUE TAFADHALI
 
TUWAULIZE VIJANA HAWA WALIPEWA SH.NGAPI? Halafu lazima waelewe kwamba wamejipaka tope la hongo ambalo limewaondoa katika umma wa uaminifu kwenda katika corrup society.MSOMI UTAKUBALIJE KUPAKIWA KWENYE GARI BADALA YA KUDEMONTRATE MWANZO MWISHO ILI KUVUTA WANANCHI WENGI? Nina uhakika vijana hawa wametumika vibaya na wataathirika kisaikolojia sana tu.HIVYO VYUO NAOMBA NIVIJUE TAFADHALI
 
Mawaziri wamechaguliwa na JK. JK aliwachagua akijua fika hao ndio vichwa kati ya wabunge wote wa CCM. Wameboronga na wamekwiba. Sasa mnaandamana kumpongeza kwa lipi? Kwamba CCM hamnazo? Au mnampongeza JK kwa kuamshwa usingizini na kung'amua kwamba CCM hamna vichwa wote ni vilaza? Mnaandamana kuunga mkono jambo la aibu na fedheha? Hakika mfa maji haachi kutapatapa!
 
Aliyeratibu Matembezi,Aliyepokea hayo matembezi na waliotumika kwa njia yoyote katika hili wanatafuta Cheap Popularity.
  1. Hayo ndiyo matatizo ya msingi?
  2. Matatizo yao kama wanafunzi yamefanyiwa kazi?
  3. Uwakika wa nafasi za Ajira either za kuajiriwa au kuajiriwa zinauhakika?
 
MWOGA,

SINA LA KUONGEZA, UKO SAWA KABISA; CCM "Mmewatupa viongozi wenye sifa kwa mitandao inayoligharimu taifa."

Maandamano ya aina hii yatajitokeza sana hasa wakati huu jahazi la CCM linavyozidi kupoteza mwelekeo kwasababu nahodha wao anatumia mapokeo badala ya GPS. Wenye uwezo wa kutumia akili wanajua fika chama hakiwezi kurudisha haiba kwa agenda za kuiga. Mmewatupa viongozi wenye sifa kwa mitandao inayoligharimu taifa. Tatizo mnalijua ni mwenyekiti lakini wenye moyo wa Deo Filikunjombe ni haba na mnataka kuwamaliza.
 
ushawahi kuona vyuo vya uk or US vinaandamana or kupiga makelele kuhusu siasa??? kama wanachuo just concentrate on ur studies and progression....period

Ficha upumbavu wako we kilaza!!

Unafahamu nini kuhusu vyuo vya ulaya na siasa za ulaya??
 
ushawahi kuona vyuo vya uk or US vinaandamana or kupiga makelele kuhusu siasa??? kama wanachuo just concentrate on ur studies and progression....period

Kama haujuhi juu ya jambo fulani ni bora kua kimya mkuu ili kuficha upumbavu wako,unajua ni kwa kiasi gani wasomi wa nchi hizo ulizozitaja walivyo na mchango katika siasa za nchi zao?hv unajua wasomi wana impact kubwa kiasi gani katika midahalo ya wagombea nafasi za uongozi wa kisiasa katika nchi hizo ulizotaja?usiwe mbahatishaji kama haujui jambo,wenzetu wana thamini sana wasomi katika kuchangia mawazo ya ustawi wa mataifa yao!
 
wameletwa na roli hadi pale maeneo ya fire ndo wakashushwa. kwa aibu wakaanza kukunjua vikaratasi vyao walivyo andika upuuzi. kwanza wenyewe walikuwa wanaona aibu walivyo kuwa wanazomewa na wamachinga. Walio wengi hawakufika rumumba.

Hahahahaaaaaaaa! Niliwaona nikacheka sana! Hivyo vijikaratasi vyao!
 
Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten) Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi vyuoni ambao wanaweza kupoteza muda wao kwa ajili ya kuunga mkono ubadhirifu unaofanywa na mawaziri wa jk,
Wanampongeza JK kwa kufanya wajibu wake? wajibu ambao kwa muda mrefu ameshindwa kuufanya mpaka akashinikizwa au kutishiwana wabunge makini? Hawa wanasoma chuo gani? Mbona siwaelewi? Kwa nini wasiwapongeze wabunge wetu walioshinikiza mawaziri wabadhirifu kuwajibika na hivyo kusababisha JK kuonyesha nia ya kuvunja baraza? Ni ajabu sana kwamba kuna wanachuo kama hawa siku hizi!
 
leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita wana cccm wa vyuo vikuu,lengo lao ni kupongeza kamati kuu.(source chanel ten)
haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi vyuoni ambao wanaweza kupoteza muda wao kwa ajili ya kuunga mkono ubadhirifu unaofanywa na mawaziri wa jk,

hizo ni ishara za chama kukubalika miongoni mwa wasomi
 
Back
Top Bottom