Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.Inatia aibu kwa kweli...
kuna kama vijana kumi hivi wameandamana eti kuunga mkono jitihada za serikali za JK kupangua baraza la mawaziri na kupokelewa na Vuvuzela la ccm Nape
Kwa harakaharaka ukiangalia ni kama kichekesho lakini vilevile ni aibu kwa vijana kuandamana kupongeza wajibu wa mtu! hawaoni kama huyo Jk ndiyo kikwazo kwa utendaji na ustawi wa nchi hii na ni aibu kwa yeye kuteua watu ambao mwisho wake wanakuwa waizi wa rasilimali za nchi hii!
Shame on you vijana kama kmi mlioandamana!
Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.
Hao ni wapiga debe wamesombwa na malori na kupewa elfu 5
Mbona Udom wamefukuza madent kwa kukutwa na skafu za chama cha wapiga kazi Chadema? Magamba INAKERA SANA. Wameshinikiza wakuu wa vyuo kusabotage Chadema vyuoni. Ila ni nguvu za giza tu, hawaiwezi tena Chadema.
inatia aibu kwa kweli...
Kuna kama vijana kumi hivi wameandamana eti kuunga mkono jitihada za serikali za jk kupangua baraza la mawaziri na kupokelewa na vuvuzela la ccm nape
kwa harakaharaka ukiangalia ni kama kichekesho lakini vilevile ni aibu kwa vijana kuandamana kupongeza wajibu wa mtu! Hawaoni kama huyo jk ndiyo kikwazo kwa utendaji na ustawi wa nchi hii na ni aibu kwa yeye kuteua watu ambao mwisho wake wanakuwa waizi wa rasilimali za nchi hii!
Shame on you vijana kama kmi mlioandamana!
Hilo si tatizo. Ila watu ndo wanashangaa wasomi gani wasio jitambua? Unampongeza kikwete kwa lipi? Hilo baraza kaliunda yeye likihalibu wa kwanza kuwajibika lazima awe yeye leo unampongeza baada ya wananchi kupiga kelele bila hivyo angepotea tu.Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.