Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

hapo kuidharirisha umemaanisha nini mkuu

yaani anamaanisha kuilinganisha fiesta na uzembe wa vijana haukuwa mfano sahihi. Ukumbukwe kuwa Fiesta ndiyo tamasha kubwa kuliko yote A/Mashariki na Kati na linaingizia taifa fedha nyingi sana ikiwa ni pamoja na kutoa ajira kwa vijana. Kusema vijana wanawaza Fiesta ni sawa kwasababu inawaingizia pes.

Vijakana amka Tz itajengwa na waTz zaidi zaidi vijana je through fiesta tutaijenga nchi yetu?je tutajiendeleza sisi wenyewe?

........................kama alisema hivyo,nakubaliana na hili la fiesta...hakuna upuuzi,ujinga,ushenzi,upunguani,ufirauni,upumbavu kama huu wa fiesta...ni program ya kuongeza maambukizi ya hiv na umalaya...but,sikubaliani na wazo kuwa wanawake wa kitanzania wakubali kushikwashikwa kama malaya wa pale billcanas...nimewai kusema hapa jf kuwa viongozi wetu wasitulaumu watanzania kuhusu hii jumuiya ya afrika mashariki...haya yanayotokea ni zao la wao kutoandaa mazingira ya sisi kujiamini...utajiamini vipi wakati kila siku elimu yetu inashuka? Wao wanaongea hivyo sababu wamekwisha kula huko juu na wana uhakika wa kuendelea kula..sisi walalahoi tunaambiwa tujihamini tu.....nchi haina umeme wala mafuta(nishati muhimu katika uzalishaji) and then unatuambia tujihamini...wewe sitta ni mnafiki kabisa,unauma huku unapuliza....
uliyeanzisha mada umeidandia hukumuelewa. Alikuwa anazungumzia free labour market in east africa. Akasema wa kenya mfano hoteleers wana discipline yao hata uniforms zao kama huna moyo mgumu huwezi kuvaa pia wana "professional smile" mabinti wa kenya wanachukua kazi kirahisi ya mahoteli wkt dada zetu wapo. Binti anayefanya kazi hotelini mkenya na mzimbabwe hata ukimgusa bega anatabasamu lakini she is not as cheap as what you think.

watachangamkaje wakati english yenyewe ni ya ...i was,..i is...iam going yesterday....tujifunze this language of her majesty ndio tunaweza kucompete na waganda na wakenya,..hautasahau kiswahili chako kwa kujifunza hii lugha yao[/QUOTE

Kujua au kutojua kingereza hakuna significant contribution katika kujikwamua na hali hii tuliyonayo, wachina wanapiga kichina kwa kwenda mbele na wapo juu, wajapani kama kawa, wanorway, wajerumani etc wamecapitalize kwenye lugha zao lakini bado wapo juu.. sisi kunatatizo zaidi ya lugha. Ifike mahali tugundue kuwa ubora wa elimu yetu hautatutoa hapa tulipo, elimu yetu ni theoretical na inayomtaka mtu aweze kukariri na sio kujua facts/concepts behind issues.

Kuhusu la vijana kujikita katika FIESTA badala ya shughuli za maendeleo, partly yupo sahihi, lakini Sitta kama kiongozi wa serikali, serikali imefanya nini kuwaandaa vijana na mapambano ya maisha??au anataka kusema sio jukumu la serikali kuendeleza vijana?? Na kama vikongwe kama 6, kingunge, etc bado wanang'ang'ania madaraka, kwanini vijana wasijiliwaze na fiesta wakati wanasubiria wazee watoke kwenye utawala????

JAMANI THE SIX AMETOA ANGALIZO: Sisi wa TZ watu luxury sana hata maofisini watu tunavisingizio vingi mara napeleka mtoto shule kijana mkubwa kabisa above 18. kazi atafany nani? Kwa hili ndugu zangu tubadilike jamaa wanakuja kwa kasi kubwa.

kwa upande wa kujiamini ndo kabisa wajanjawajanja. ujanja wa mdomoni. angalia yale mashindano ya Inter university ya zain tunavyochemsha.Badala ya kujifunza vitu vya msingi tunaletewa mashindano ya kutunga verse university kweli? au mashindano ya wanachuo kuchoma mishkaki. au kucheza pool. mtasoma saa ngapi.

watachangamkaje wakati english yenyewe ni ya ...i was,..i is...iam going yesterday....tujifunze this language of her majesty ndio tunaweza kucompete na waganda na wakenya,..hautasahau kiswahili chako kwa kujifunza hii lugha yao[/QUOTE

Kujua au kutojua kingereza hakuna significant contribution katika kujikwamua na hali hii tuliyonayo, wachina wanapiga kichina kwa kwenda mbele na wapo juu, wajapani kama kawa, wanorway, wajerumani etc wamecapitalize kwenye lugha zao lakini bado wapo juu.. sisi kunatatizo zaidi ya lugha. Ifike mahali tugundue kuwa ubora wa elimu yetu hautatutoa hapa tulipo, elimu yetu ni theoretical na inayomtaka mtu aweze kukariri na sio kujua facts/concepts behind issues.

Kuhusu la vijana kujikita katika FIESTA badala ya shughuli za maendeleo, partly yupo sahihi, lakini Sitta kama kiongozi wa serikali, serikali imefanya nini kuwaandaa vijana na mapambano ya maisha??au anataka kusema sio jukumu la serikali kuendeleza vijana?? Na kama vikongwe kama 6, kingunge, etc bado wanang'ang'ania madaraka, kwanini vijana wasijiliwaze na fiesta wakati wanasubiria wazee watoke kwenye utawala????

watachangamkaje wakati english yenyewe ni ya ...i was,..i is...iam going yesterday....tujifunze this language of her majesty ndio tunaweza kucompete na waganda na wakenya,..hautasahau kiswahili chako kwa kujifunza hii lugha yao[/QUOTE

Kujua au kutojua kingereza hakuna significant contribution katika kujikwamua na hali hii tuliyonayo, wachina wanapiga kichina kwa kwenda mbele na wapo juu, wajapani kama kawa, wanorway, wajerumani etc wamecapitalize kwenye lugha zao lakini bado wapo juu.. sisi kunatatizo zaidi ya lugha. Ifike mahali tugundue kuwa ubora wa elimu yetu hautatutoa hapa tulipo, elimu yetu ni theoretical na inayomtaka mtu aweze kukariri na sio kujua facts/concepts behind issues.

Kuhusu la vijana kujikita katika FIESTA badala ya shughuli za maendeleo, partly yupo sahihi, lakini Sitta kama kiongozi wa serikali, serikali imefanya nini kuwaandaa vijana na mapambano ya maisha??au anataka kusema sio jukumu la serikali kuendeleza vijana?? Na kama vikongwe kama 6, kingunge, etc bado wanang'ang'ania madaraka, kwanini vijana wasijiliwaze na fiesta wakati wanasubiria wazee watoke kwenye utawala????
Patriote nakubaliana nawe 50+1 % lakini baada ya kuona vijana wa Ki Tz ni luxurious clouds wakatumia opportunity hiyo kuvuna fedha.Kabla ya fiesta walianzisha after scool bash serikali ikapiga marufuku.wakaanzisha fiesta. maudhui yake nini? watu wengi wa media walikuwa wachovu school sasa lazima wapate wavivu wenzao ili wawe wengi.

Ukwel mtupu tena katumia tafsida alitaka kusema ngono ila kaitumbukiza kweny Fiesta. Nenda moro weekend vyumba vyote vimejaa wanakuachia vya bei juu. Uzinzi mtupu.

naungana mawazo na all wajumbe bt each of us2naocoment, hv u discover who ua n wht du u wnt in life thn coment yako wil b mor miningful..nawasilsha

yaani anamaanisha kuilinganisha fiesta na uzembe wa vijana haukuwa mfano sahihi. Ukumbukwe kuwa fiesta ndiyo tamasha kubwa kuliko yote a/mashariki na kati na linaingizia taifa fedha nyingi sana ikiwa ni pamoja na kutoa ajira kwa vijana. Kusema vijana wanawaza fiesta ni sawa kwasababu inawaingizia pes.

mkuu hebu tujuze ni pato gani fiesta inaingiza serikalini? Je unadata za pato inaloingiza kwenye gavament? Au unaongea tu

I beg to differ,
Watu/wananchi wanajengewa mazingira ya uchangamfu na hawaambiwi eti "changamkeni."Hawa politicians wanajiweka tu kwenye nafasi za kuscore more points mbele za macho ya watanzania wasiofikiri kwa makini.

Waitresses mtawalaumu,lakini kama hawajajengewa utaratibu wa kupewa tips unategemea nini?Waitresses wanadharauliwa na wengi wamekuwa sexually abused,wengine wanategemea wanunuliwe bia na wateja badala ya tips ambazo zitawasaidia kwene maisha yao ya kila siku ili kuweza kujikimu,life kwao ni very frustrating kutokana na mazingira hayo ya kazi na ndo maana wananuna.Mpige bia uone.Ila kama unataka kumwendeleza,wawe wanapewa tipis badala ya kununuliwa pombe tu na nyama choma na kukaribishwa kwenye meza za wateja.
Na kutembea nao.

Na sisi badala ya kuwa tip,tunawanunulia bia tu na kuwatongoza.Kwani hamjui wengine wana familia zao na wana matatizo yao nyumbani yenye kuhitaji fedha?

Mifano iko mingi tu,lakini viongozi kuongea maneno haya kuna tofauti gani na yale ya JK kuwa wanafunzi wanapata mimba kwasababu ya vihere here vyao?

Wenzetu wa Kenya nao ni mazingira waliojengewa na ndiyo maana wako hivyo walivyo.Viongozi tulio nao ndio hao hao waliokuwepo mostly toka uhuru.Sasa leo ndo wamegendua kuwa watanzania wako hivi ama vile?

Sipendi unafiki!

Kudadadadadeeeki! That's what's up.

If you put others on blast be sure you ain't got shit sitting around in your closet.

Nimeipenda sana hii.
This is simple. yeye VI si kijana hapo palitakiwa KIJANA lakini kwa vile vijana mmelala mzee wa watu afanyeje. mtakapoamka kama vijana wengine duniani atawapisha na kwenda ISEVYA VIJANA MSILALE LALE LALE VIJANA MSILALE BADO MAPAMBANO.

kwa upande wa kujiamini ndo kabisa wajanjawajanja. Ujanja wa mdomoni. Angalia yale mashindano ya inter university ya zain tunavyochemsha.badala ya kujifunza vitu vya msingi tunaletewa mashindano ya kutunga verse university kweli? Au mashindano ya wanachuo kuchoma mishkaki. Au kucheza pool. Mtasoma saa ngapi.

mkuu ni kweli kabisa tanzania unakuta wasomi wazima wanashindanishwa kucheza pool au kurapu, hivi hii inafaida gani kwa taifa? Kenya huwezi kuta mashindano kama haya vyuoni.
Bongo unakuta sekondari zinashindanishwa kuimba bongofreva, badala ya kushindanishwa kwenye masomo.

naungana mawazo na all wajumbe bt each of us2naocoment, hv u discover who ua n wht du u wnt in life thn coment yako wil b mor miningful..nawasilsha
What do you mean by all but. that is silly hypocrite.

Mhesimiwa sita ameongea jambo la msingi na la kweli kwa kiwango kikubwa... LAKINI ... nani hajui HILO?

Sita kama waziri na mbunge, Baraza la mawaziri na wabunge waote pale bungeni ..pamoja na Mheshimiwa Rias JK ..naongelea viongozi wa Taifa hili wamechukua jukumu gana la kweli na dhati katika kuondoa tatizo hilo?

Na hiyo michezo wanayofanya hapo bungeni ndio itatoa masahihisho na utatuzi wa matatizo ya msingi kama hayo?

Wake up Sita and all leaders of this nation before it is too late .... !!
Na ndiyo maana mimi siwazimii kabisa viongozi wetu,yani bure kabisa,na hawawezi kukwepa lawama.Nani kawaambia wawe viognozi kama hawajui maana halisi ya kuwa kiongozi?Waelezee ni mipango gani ama hatua gani ambazo wameshawahi kuzichukua ili kuliondoa tatizo hilo na hapo ndo hutapata jibu.Ila ikija kwenye maneno ya kihuni hao ndo namba moja.Huwezi kupewa madaraka na wananchi halafu ukashindwa kuwapa mwongozo na badala yake unawalima vijembe kana kwamba wao ndo wanawatumikia ninyi viongozi badala ya nyie viongozi kuwatumikia wananchi.Nchi hovyo kabisa na viongozi ndo wamesababisha.

Wachangiaji wengi ni sisi vijana kwa hiyo dongo hilo letu tusikasirike jamaa wanakuja kasi. Rwanda na Burundi wametangaza nafasi 1000 za walimu wa kiswahili, hawajabahatisha wanataka wasomi wao wakijue kiswahili kusudi wakija kuomba kazi bongo iwe rahisi kwao kujua mazingira mapema.
Na kwa tabia zetu mgeni akija kwetu anajua kiswahili tunamkumbatia kama mtoto wa mjomba, na ardhi tutampa sisi wenyewe.
Jamaa wapo kimkakati zaidi miaka minne kwao au nane si tija wanajua wanachokitaka.

Back
Top Bottom