Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

Kuna mtu kama kailaumu sirikali kwamba ndio chanzo cha yeye kutojiamini..I hope sijamuelewa otherwise ni vapour moja kubwa,mwishowe utailaumu sirikali kwa ukurutu wako ilhali we mwenyewe ndo usiyeoga..puhleeeez!

Huyu ndie anae taka tuchangamke? Yeye kauchapa usingizi, kapachika "nne" kavua viatu huku anafukuza mbu kwa miguu!

SIX.jpg

Nakumbuka wakati fisadi Rostam akichangia kwaya ya kanisa la Lutherani Kinondoni alisema yeye si kama fisadi fulani aliyekuwa na vimada kila kona, na aliyependa vibinti vidogo vidogo. Bila shaka mlengwa alikuwa fisadi Sitta, na kwa kauli yake mwenyewe hapo kwenye red, anatuthibitishia kuwa yaliyosemwa dhidi yake yalikuwa ya kweli.

Sita famous sana kwa totoz hilo halina ubishi!
Ila kuna kaukweli kwenye maneno yake although sidhani kama Fiesta ni kitu kibaya as long as siku zengine unapiga kazi, kupumzika muhimu.
Cha ajabu zaidi ni kwanini viongozi wetu wanatuburuza kwenye hii EAC kama wanajua hatuwezi ushindani?

mazingira ya kujiamini nani anayatengeneza kama si serikali!!kwa elimu ipi,tutapambana na mkenya????????????kasema nani ????acha tusubiri tuone,kuna watanzania wangapi wanafanya kazi kenya na ni wakenya wangapi wanafanya kazi tz ??na makampuni ni hivyo hivyo,sita kwa uchache anaweza kuwa kasema kweli hasa kwa upande wa fiesta hilo ni sawa kutwa kucha mikoa yote watu wanazunguka na fiesta tuu na wandaaji si wako hapa jf???wanachoangalia ni kupanda au kufanikiwa kwa biashara zao.

Hili ndio tatizo laku-reform Private sector before Public Sector; ingetakiwa tuombe wawekezaji kwenye sector za Umeme, Maji, Elimu, Afya, kabla ya kutafuta uwekezaji kwenye makampuni ya Bia, Sigara, Simu za mkononi, DSTV.... the result is a nation of uneducated but exposed youth society... sasa what do you think they are more interested in Economics or Big Brother?????

wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email za mawaziri waketu wanawaza fiesta. shortly ameniboa ile mbaya

hahahaaaaa,6 kwel mfyatukaj

naungana na wewe. Tembelea bookshop za hapa nchini halafu ulizia wauzaji wakuambie list ya wanunuzi. Watakuambia wengi ni wazungu na kama kuna watanzania basi wananunulia watoto wao vitabu walioko mashuleni.

Unategemea nini kwa taifa lenye uzembe wa kupindukia wa kusoma wakati dunia kila dakika inabadilika.

Sita ni bazazi wa kutupwa kwenye kupenda totoz ni soo amezaa nje kama kuku ndoa yake ni ceremonial tu huyu sioni ana tofauti na fiesta yenyewe na si ajabu anahudhuriaga akiwa amevaa jinsi kata k!!nyambAfffff

images

vijana wa TZ ni wafivu hawafanyi kaz wanawaza FIESTA we unafanya nini

Kudadadadadeeeki! That's what's up.

If you put others on blast be sure you ain't got shit sitting around in your closet.

Nimeipenda sana hii.

wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email za mawaziri waketu wanawaza fiesta. shortly ameniboa ile mbaya

Yeye anawaza kuanzisha chama akiwa ndani ya chama hajaliona hilo?

Nakumbuka wakati fisadi Rostam akichangia kwaya ya kanisa la Lutherani Kinondoni alisema yeye si kama fisadi fulani aliyekuwa na vimada kila kona, na aliyependa vibinti vidogo vidogo. Bila shaka mlengwa alikuwa fisadi Sitta, na kwa kauli yake mwenyewe hapo kwenye red, anatuthibitishia kuwa yaliyosemwa dhidi yake yalikuwa ya kweli.

Du ebwana hee ukosahihi mkuu

Sample ya Vijana wanaowaza fiesta!
1. Zitto Kabwe
2. Sugu aka Mbilinyi
3. Halima mdee
4..........
Kweli Sitta mkaree!

Aliyosema ni kweli!tunapaswa kujirekebisha,hata mambo ya siasa kuna jamaa kibao wanakuambia siasa ya nini hao waliopo waongo wote wanakula wewe tazama maisha yako binafsi,hapo ccm aaaah ndiyo wanatuchakachua kweli! ona kenya wanavyojua haki zao,wameelevuka na matokeo yake hata east africa tukizubaa wao watafaidika tutabaki kulalama tu,mambo mengine yanataka matendo sio maneno tu.mimi naona sitta alivyosema ni sawa tu,ndiyo maana chedema wanazunguka kufundisha watu,tunaambiwa wanaleta fujo sio kweli na hata sita ameunga mkono maandamano kiaina ndiyo maana amesema wataweka watu kila wilaya kuelimisha,lakini ile style cdm ndiyo nzuri ambayo mass inaelimishwa kwa wingi zaidi.

Mawazo ya kisiasa mda wote!

hakuwa na haja ya ku address biashara ya mtu na kuidharirisha fiesta...hakuona v2 vyote vbaya vyenye negatve impact km ngono,ulev,wizi,ujinga etc haku2mia busara

hapo kuidharirisha umemaanisha nini mkuu

Mhesimiwa sita ameongea jambo la msingi na la kweli kwa kiwango kikubwa... LAKINI ... nani hajui HILO?

Sita kama waziri na mbunge, Baraza la mawaziri na wabunge waote pale bungeni ..pamoja na Mheshimiwa Rias JK ..naongelea viongozi wa Taifa hili wamechukua jukumu gana la kweli na dhati katika kuondoa tatizo hilo?

Na hiyo michezo wanayofanya hapo bungeni ndio itatoa masahihisho na utatuzi wa matatizo ya msingi kama hayo?

Wake up Sita and all leaders of this nation before it is too late .... !!

They are allready too lait gay

Back
Top Bottom